Search results

 1. Inkoskaz

  House4Sale Semi Finished house going cheap

  At 13,000,000 yaani bei ya kiwanja .unaezeka na kuanza maisha Umeme na maji mlangoni Call 0626 600 000 or WhatsApp
 2. Inkoskaz

  Nahitaji Galaxy S6 Edge Plus

  Natafuta simu hiyo rangi yoyote iwe kwenye hali nzuri na vitu vyake vyote Budget 750,000 Nicheki 0683 60 60 60
 3. Inkoskaz

  Clouds TV, huyu Ngoma ni kimeo

  Mtangazaji Hassan Ngoma aliyekuja kuziba nafasi ya Hudson Kamoga katika kipindi cha Clouds 360 baada ya yule mwingine kuondolewa anaonekana kutoimudu nafasi vema kutokana na hoja zake wakati wa kujadili habari za magazetini kuwa zenye uelewa finyu ama potofu. Kwa mfano leo nimeona akizungumzia...
 4. Inkoskaz

  MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

  Wadau, Clip hii sijui ni shule gani lakini yaonekana ni hapa nchini kutokana na sauti ya dada inayosikika kwenye background. Hata kama huyo kijana amekosa vipi si angepelekwa vyombo vya sheria? Wana tofauti gani na wale wanakijiji walioua watafiti? Sheria ifuate mkondo wake, inaumiza sana...
 5. Inkoskaz

  TRA hapa mtapata wakwepa kodi wadogo tu

  Nimesikia Tamko la Kamishna wa elimu kwa mlipa kodi Bw.Kayombo akisema TRA watatoa zawadi ya asilimia 3 kwa watoa taarifa za ukwepaji kodi Taarifa yake mbeleni inajifunga kwa kutoa maximum limit ya zawadi hiyo kuwa Ni milioni ishirini tu Hii inamaanisha stahiki italipwa kwa kufichua kodi hafi...
 6. Inkoskaz

  Tuliozaliwa leo tuungane humu kujipongeza

  Tarehe kama ya leo wazazi wangu walinileta kuanza safari ya ulimwenguni Hadi hapa nilipofikia nina kila sababu ya kumshukuru muumba kwa kusema asante kwa yote aliyonitendea.....
 7. Inkoskaz

  Tanzia: Aliyekuwa Askofu Jimbo kuu Katoliki la Dodoma Mathias Isuja aaga dunia

  Askofu mkongwe mstaafu wa jimbo kuu katoliki la Dodoma Mathias Isuja, ameaga dunia usiku huu. Mungu aipumzishe roho yakekwa amani peponi.
 8. Inkoskaz

  Mzunguko wa pesa umekwama hapa

  Ngombe asiyelishwa anatoaje Maziwa? Kuna kilio cha muda mrefu cha wazabuni mbalimbali wa serikalini kuanzia Halmashauri,Manispaa,Wizara,Taasisi na Idara za umma kutokulipwa malipo yao stahiki kwa huduma walizotoa ama bidhaa walizosambaza Hali ilikuwa mbaya zaidi miaka michache iliyopita ambapo...
 9. Inkoskaz

  Naibu Rais wa Kenya William Ruto aondolewa mashtaka

  ICC leo hii wamemuondolea mashtaka Naibu Rais wa Kenya Bw William Ruto baada ya kuwa ushahidi haujitoshelezi na umevurugwa mno. Kesi ilikuwa ni kuhusu machafuko yaliyosababisha mauaji baada ya uchaguzi nchini Kenya mnamo mwaka 2007. Amefutiwa pamoja na Mwanahabari aliyeshitakiwa nae...
 10. Inkoskaz

  Kifuatacho Bondeni

  Mahakama nchini afrika ya kusini imeamuru Raisi Zuma kurejesha pesa alizotumia kukarabati mji wake zipatazo dollar milioni 25 Akihutubia taifa jana alikiri kuwa atatimiza amri ya mahakama kwa utiifu Nini maana yake? Mwizi kukiri kosa na kurudisha kidhibiti huondoa adhabu? Je heshima yake ndani...
 11. Inkoskaz

  Ventilation on MCC move is primed on wrong assumptions

  By Ali Mufuruki I have read some articles by concerned members of the public, government officials and politicians about US government’s recent decision to suspend all relations between our government and the Millennium Challenge Corporation (MCC). Sadly, however, articulate as some of these...
 12. Inkoskaz

  Wako wapi hawa watu

  VoiceOfReason Rev Masanilo Malaria Sugu Field Marshal PakaJimmy MariaRoza Michelle afrodenzi Preta Carmel Ms Judith King'asti Kigogo Polisi Keren_Happuch Dena Amsi Husninyo Matola Masikini Jeuri Blaki Womani AshaDii NILHAM RASHED Binti Sayuni WomanOfSubstance Matola Kimbweka Papizo Kaizer I...
 13. Inkoskaz

  Makali ya TANESCO kupungua

  Tanesco kuondoa Monthly Service Charge ya Tshs 5,520 Hatua hiyo inaenda sambamba na maombi ya kushusha gharama za umeme kwa takribani asilimia 1.1% Pia gharama za ulipiaji gharama ya form unapoomba umeme kuondolewa. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco Eng Feleschmi Mramba wakati...
 14. Inkoskaz

  Gianni Infantino aukwaa urais FIFA

  Hatimae mgombea wa kiti cha Uraisi wa FiFA mtaliano Gianni Infatuno ashinda uchaguzi baada ya marudio ya round ya pili muda mchache uliopita
 15. Inkoskaz

  Trump akichanja mbuga Jeb Bush ajitoa

  Mpambani wa awali kupata wagombea kiti cha uraisi marekani kupitia chama cha Republican unazidi kupamba moto baada ya mgombezi maarufu "Donald Trump" kushinda kura za South Caroline na huku mpinzani mmoja Jeb Bush (kaka yake na baba yake waliwahi kuwa maraisi pia) akijitoa baada ya kufanya...
 16. Inkoskaz

  RTO Kinondoni: Matumizi sahihi ya barabara katika makutano ya barabara ya Morogoro hasa Magomeni

  FROM RTO KINONDONI KUHUSU MATUMIZI SAHIHI YA BARABARA KATIKA MAKUTANO YA NJIA KTK MOROGORO ROAD HASA MAGOMENI Naomba nieleze kwa ufupi kuhusu matumizi ya barabara ktk makutano ya barabara ya morogoro/kawawa eneo la magomeni traffic lights. Nimeona nitoe ufafanuzi ili kusaidia uelewa kwa...
 17. Inkoskaz

  Miliki IPhone 5s simu yenye Security ya juu duniani

  IPhone 5S 32 GB(Memory kubwa) Gold Colour For Only $300 Contact 0689 222222
 18. Inkoskaz

  Azam bao la kisigino hilo

  Katika hii sintofahamu inayoendelea ya serikali na TBC kusitisha live broadcast ya vipindi vya bunge inaweza kuwa na advantages kwa kituo kipya cha Azam Kwa Azam kuonyesha live coverage ya mkutano wa bunge automatical wanagain viewers wengi zaidi jambo linalotafutwa na TV Stations zote duniani...
 19. Inkoskaz

  Ufafanuzi wa Nape juu ya TBC kubadilisha utaratibu wa kurusha LIVE matangazo ya Bunge

  Saa 3 usiku huu Waziri wa Habari/Utamaduni na Sanaa Nape Nnauye ataongea na waandishi wa Habari Fuatilia kujua atakachoongea hasa baada ya kulikoroga asubuhi ya leo ma kusababisha vurugu bungeni jioni Tune in Azam TV for coverage
 20. Inkoskaz

  Azam Decoder

  Nahitaji decorder mbili za Azam kwa anayeuza awasiliane na namba hii 0689 222 222.
Top Bottom