Search results

 1. edwayne

  Wanaume wa dar tukutane hapa

  Kama kawa sisi ndo tunanunua mazao ya wapagazi wetu walioko mashambani na korosho tumewagomea sasa nyie Si vidume haya mzivundike... Tujipongeze wanaume wa dar
 2. edwayne

  Jinsi ya kupunguza unene (fats)

  ukimsikiliza huyu mtaalamu utaelewa njia ipi ni sahii kama unataka ongeza mwili au kupunguza mwili nyingine
 3. edwayne

  Nina swali

  Mtu ameenda Burundi anasema ameenda nchi za nje? Je yupo sahihi
 4. edwayne

  Jinsi ya kuja kusoma ulaya(Germany+France and some Scandinavian)

  Baada ya watu Jana kuniomba niwaelezee jinsi ya kupata nafasi kusoma ulaya. Kwa ujumla nchi nyingi ulaya hazilipishi ada kwa wanafunzi(ufaransa +Germany+ Finland+Norway{not sure}[Belgium ipo ila sio kubwa]). Tuanze na Germany Germany ina high education institution zipatazo 400(15 tu ndo...
 5. edwayne

  Suala la kudisco vyuoni Tanzania

  Yani katika vitu nisivyvielewa hapa duniani tena Tanzania ni swala zima la kudisco MTU anafaulu semester zote halafu anafeli somo moja semester ya mwisho eti anaambiwa amedisco na haruhusiwi omba hiyo course for 3 years au akaanze mwaka Wa kwanza . Mimi hapo sijaelewa hivi somo moja nifute...
 6. edwayne

  Lini wanawake wa Tanzania watafuata haya maandiko

  Wakati huo wanawake saba watamvamia mwanamume mmoja na kumwambia, “Chakula na mavazi tutajitafutia wenyewe, lakini wewe utuondolee aibu yetu, uturuhusu tuitwe kwa jina lako. Isaya 4:1
 7. edwayne

  African problem

  In Nevada, USA, there is an airplane graveyard. They have thousands of planes there. Boeing 747, Airbus, military planes and even helicopters. All these planes were flown there, so they are not bad, these planes are retired. You see, The world community will retired a commercial plane that is...
 8. edwayne

  Mnakumbuka tank la gesi lilipolipuka ubungo

  Wakazi WA dar WA Kitambo hiko mnakumbuka tank la gesi la songas pâle ubungo lilipolipuka Enzi hizo nipo primary(kabla ya 2004) nilikua naishi kigogo luhanga kwenye magheto toka mkoloni
 9. edwayne

  Uzi maalumu kwa wapenzi WA Javascript na framework zake

  Mimi ni mpenzi WA Javascript front-end natumia reactJs library and back-end natumia node.js with express.js Kama we ni mpenzi wa Javascript and it's framework uje hapa tubadilishane ujuzi.
 10. edwayne

  Waislamu wa Africa(Tanzania) mbona hamlaani mashambulio yatokeayo Somalia?

  Mimi nina swali dogo tu, mbona sijaona waislamu wa Tanzania na Africa kwa ujumla wakilaani haya mashambulio kwa watu weusi waislamu wenzao huko Somalia ila hupaza shingo na sauti kuhusu yanayotokea Palestina na Burma. Mbona waislamu wa africa ni wanafiki sana mnasikitisha sana. Humu sijaona uzi...
 11. edwayne

  Xbox one

 12. edwayne

  Nauza Xbox one used bei nafuu

  Nauza Xbox one used 500gb na cd 2 bure +fifa 16 kwa $350
 13. edwayne

  Chadema nimeshindwa waelewa

  Kuhusu sakata la Ben saa8 nimeshindwa elewa kuwa Chama cha chadema kinamawasiliano baina ya viongozi huku bavicha wapo busy na hashtag mbowe anasema ametekwa na kubenea amesema amejificha. Nashindwa elewa Kuna nini baina ya Hawa viongozi. Chadema mkitaka kurudi kwenye chart bora mlalamikie...
Top Bottom