Search results

 1. Emmanuel J. Buyamba

  UCHAGUZI BAVICHA: John Pambalu aibuka kidedea Uenyekiti. Nusrat Shaaban Hanje ateuliwa kuwa Katibu Mkuu

  Baraza la vijana (Bavicha) la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) linaendelea na uchaguzi wake leo kwa ngazi ya kitaifa. Muda mfupi uliopita katika ukumbi wa Mlimani City limewapata viongozi wake wakuu ambapo Diwani wa Butimba jijini Mwanza, Bwana John Pambalu ameshinda Uenyekiti kwa...
 2. Emmanuel J. Buyamba

  Beta system katika apps.

  Wakuu, nilikuwa na install App ya Whatsapp kupitia Google play.Likaja neno downloading pending na hivyo kukwamia hapo kazi niliyokuwa naifanya. Niliposhuka chini ndipo nikakutana na maneno haya,"Beta system is full" Namna ya kufanya hapa sasa ndiyo nimeshindwa.Naombeni msaada wenu, Beta system...
 3. Emmanuel J. Buyamba

  Tatizo la nchi hii wala sio Maprofesa na Wasomi wengine,tatizo liko hapa

  Tokea kuanza kusomwa hadharani ripoti mbalimbali za kamati za uchunguzi wa madini, kumeibuka tafsiri ya kwamba wasomi wetu hawalisaidii taifa. Kwa upande wangu huu mtazamo nauona hauko sawa. Tatizo la nchi hii muda wote lipo kwenye mfumo mbovu unaolelewa na katiba mbovu ya nchi. Leo kiongozi...
 4. Emmanuel J. Buyamba

  Ukawa,la madiwani sawa ila vipi kuhusu hili!?

  WanaJf, Mtakumbuka kuwa uchaguzi wa mameya jijini DSM umeahirishwa kufuatia rafu za chama tawala kuleta madiwani toka Zanzibar ili tu kuzuia nguvu ya upinzani isishinde.Ktk mazingira sawia ya kidemokrasia,ukawa ndio wanapaswa kutoa mameya wa Kinondoni,Ilala na yule wa Jiji.Lakini...
 5. Emmanuel J. Buyamba

  Mkutano wa Godbless Lema - Kahama, Shinyanga 28 April, 2015

  Ndg wana JF na watanzania kwa ujumla, leo kutakuwa na mkutano mkubwa sana wa hadhara wa Chadema hapa kahama maeneo ya CDT. Mbunge wa Arusha mjini kamanda mpambanaji Godbless Lema atakuwepo kuwajaza ujasiri watu wa huku. Pia ataambatana na m/kt wa Bavicha taifa kamanda Patrobass K.Paschal...
 6. Emmanuel J. Buyamba

  Uchaguzi wa marudio kesho tar.16.12.2014 nchi nzima.

  Ndugu watanzania taarifa nilizozipokea hivi punde na kuthibitishwa na mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya Msalala mkoani ni Shinyanga ndio hizo. Inasemekana kuna waraka toka TAMISEMI makao makuu kwenda wilaya zote umetumwa mchana wa leo. Kiukweli hii Tamisemi haijawatendea haki wananchi...
 7. Emmanuel J. Buyamba

  CCM kuandamana nchi nzima iwapo.........,

  Ni kupitia Star tv habari usiku huu saa mbili.M/kiti wa kundi la Tanzania kwanza (nje ya bunge) linaloundwa na CCM ndg Matefu kasema wamepanga kuandamana ili kumshinikiza balozi wa Ujerumani nchini kuzikemea taasisi za kijerumani wanazozihisi kwamba zinavuruga mchakato wa katiba mpya nchini.MY...
 8. Emmanuel J. Buyamba

  CCM kuandamana nchi nzima

  Ni kupitia taarifa ya habari ya Star tv saa mbili usiku huu. Mwenyekiti wa kundi la Tanzania kwanza (nje ya bunge) linaloundwa na CCM ndugu Matefu kasema wataandamana kumshinikiza balozi wa Ujerumani nchini kuzikemea taasisi za kijerumani wanazozishuku kwamba zinavuruga mchakato wa katiba mpya...
 9. Emmanuel J. Buyamba

  Hawa ndio vongozi wa chadema mkoa wa shinyanga waliochaguliwa leo 23.08.2014.

  BAVICHA;mwenyekiti ni Crispin Simon Myeke wa solwa.Katibu ni Ezekiel Joseph wa msalala.BAWACHA;M/kiti ni Rachel Mashishanga wa shy town.katibu ni Winfrida Daud wa kahama.WAZEE;M/kiti ni Muhidin Mfwangavo wa msalala.Katibu alikosa sifa.KATIBU wa chama ni Zacharia Thomas wa kishapu na mkuu wa...
 10. Emmanuel J. Buyamba

  Hodiii Humuu Ndaniii

  Ndugu wama jf naja mazima, naomba mnikaribishe humu mdani.kwa vile ninyi ni wakarimu,natumai mtanipokea.
Top Bottom