Search results

 1. MAKOLE

  Wataalamu wa lishe naomba ushauri

  Habari, Naomba msaada kwa yeyote anayefahamu masuala ya Lishe. Nina tatizo kwa baadhi ya vyakula vinanisumbua mno hasa mboga za majani. Nikila naendesha mno. Msaada tafadhali
 2. MAKOLE

  Tatizo la mwili kupasua kwa watu wazima

  Habari Madaktari/ wataalamu wa afya na kinga. Wazee wangu wana umri wa utu uzima sasa 65-70s na wote wana shida sana ya kuumwa na miguu. Mzazi wa kiume anashida pia ya magonjwa ya moyo na pia ni mtumiaji wa dawa kali za presha. naomba kujuzwa endapo naweza kupata dawa ama ushauri wa kuweza...
 3. MAKOLE

  Naomba kujuzwa napoweza kupata vitasa vya Sienta

  Habari, naomba kujua naweza kupata wapi vitasa vya milango ya abiria vya sienta, Natanguliza shukrani
 4. MAKOLE

  Safiri salama, safiri kwa usalama kati ya Arusha Dar via Korogwe

  Nipongeze idara ya hali ya hewa kwa kazi kubwa wanayoifanya, Kwa hali ya hewa ilivyo kwa hapa Korogwe na kulingana na uzoefu wa hivi karibuni juu ya athari za mvua zinazoendelea kunyesha, ni vema wasafiri wanaotumia barabara kuu ya Arusha Dar kupitia Korogwe wakachukua tahadhari kutokana na...
 5. MAKOLE

  Isus Seashell Series mini Laptop ina shida kwenye Keybody

  Wataalam naomba msaada wenu, Ninayo Isus mini laptop inazingua sana kwenye keyboard. Mfano unaweza kubofya kifungo cha herufi U ikakurudisha kwenye start menu. Unaweza kubofya kifungo cha herufi X kikafungua browser. Hii shida inasababishwa na nini?
 6. MAKOLE

  Ushauri kwa wanaopanga safari/ wanaosafiri kati ya Arusha-Dar

  Kutokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha, kumekuwa na mkwamo wa safari haswa kuanzia Korogwe Mjini ambapo leo 26/10/2019 barabara hiyo imefungwa na kusababisha usumbufu mkubwa kwa wanaosafirisha huduma, bidhaa na watu. Hii ni kutokana na kipande cha barabara ya Segera-Korogwe kuwa na maeneo...
 7. MAKOLE

  1ST YEAR MZUMBE UNIVERSIT- MBEYA CAMPUS

  Samahani naomba ama mwenye ndugu au anayesoma mwaka wa kwanza au miaka ya mbele anipatie mawasiliano yake nna shida nahitaji msaada. Mjomba wangu amepangiwa chuo kwa mwaka 2018/2019
 8. MAKOLE

  Nondo nondo

  Wakuu kama kuna mtu ana connection na kiwanda cha nondo au anajua namna ya kununua nondo kutoka kiwandani tuwasiliane
 9. MAKOLE

  Mashine ya Kutengeneza Risiti.

  Naomba kujuzwa ni mashine gani nzuri kwa ajili ya kutengeneza risiti, printer za karenda na za tshirt, nikipata picha za mashine hizo nitashukuru sana. with thanks
 10. MAKOLE

  NACTE WAPIGA STOP USAJILI KWA UNDERGRADUATE

  Kwa wale wanaohitaji kuomba nafasi za udahili katika vyuo vikuu kwa kupitia mfumo wa udahili wa pamoja NACTE sasa hawataweza kufanya hivyo hadi Mwezi May mwaka huu baada ya matokeo ya kidato cha sita 2016 kutoka.... Habari kamili iko hivi: TAARIFA KWA UMMA TAREHE 11 MACHI 2016 Baraza la Taifa...
 11. MAKOLE

  Hati za mashamba 5 makubwa zafutwa Tanga

  Rais wa Jamhuri ya Muunganio wa Tanzania Mheshimiwa Dr. John Pombe Magufuli amefuta hati za mashamba matano makubwa yaliyokuwa na hati za miaka 99 chini ya umiliki wa wawekezaji wa ndani na nje ya nchi ambayo yamebainika kuwa hayaendelezwi na kusababisha baadhi ya wananchi kuathirika kwa kukosa...
 12. MAKOLE

  HESLB wametoa majina ya mkopo mwaka 2015/16

  Tazama kupitia HAPA
 13. MAKOLE

  Sekomu-joining instructions and admission letter

  UNAWEZA KUPAKUA NYARAKA HIZO HAPA Sebastian Kolowa Memorial University (SEKOMU)
 14. MAKOLE

  Msaada wa mawazo tafadhali:

  Naomba kushauriwa kuhusu jambo hili. ninalo group kule facebook lenye member zaidi ya elfu kumi na kila siku ninaongeza takriban wanachama mia moja. nawezaje kunufaika kibiashara na hili group?
 15. MAKOLE

  Mrisho Gambo, Tamaa ilimponza fisi

  Ilikuwepo hadithi moja ya fisi iliyozua kisa cha "Tamaa ilimponza fisi" Mnyama huyu alialikwa kwenye sherehe mbili tofauti na zote zilifanyika kwa wakati mmoja. Fisi hakuwahi kuwa na busara na alipokuta chakula katika sherehe ya mwanzo hakijawa tayari alikwenda kwenye sherehe nyingine ili kuwahi...
 16. MAKOLE

  Bado tunamhitaji waziri asiye na wizara maalum?

  Naendelea kujiuliza maswali ambayo sajapata majibu, labda nyie wenzangu mnayo na mnisaidie kujibu.... Hivi waziri wa sasa ambaye ni waziri asiye na wizara maalum naye anaongea bungeni? (kujibu maswali), Je, ana ofisi ambazo zinashughulika na masuala mbalimbali ya utawala katika nchi hii?? Je...
 17. MAKOLE

  Mwanafunzi auwawa kisa kakataa kuolewa!

  Habari kutoka Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro zinasema kwamba Mwanafunzi MWAJUMA A. VUZO wa kidato cha Tatu katika shule ya sekondari Makanya amepigwa na baba yake mzazi hadi kusababishiwa maumivu makali na hatimaye Jumamosi ya tarehe 14/2/2015 alifariki dunia na kuzikwa leo 16/02/2015...
 18. MAKOLE

  Nahitaji Tshirt!

  Natafuta Tshirt kwa ajili ya wanafunzi. kwa mwenye taarifa wapi zapatikana anipm ili tuwasiliane kwa mapatano ya bei, rangi na idadi.
 19. MAKOLE

  Mizengo Pinda: Chonde chonde Watanzania dumisheni amani

  Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewataka Watanzania na waumini wa dini zote nchini humo kudumisha amani na utulivu. Mizengo Pinda amesisitiza kuwa, Watanzania wanapaswa kukataa suala la kuiingiza nchi katika vurugu na kukataa vishawishi vitakavyosababisha uvunjifu wa amani...
 20. MAKOLE

  Nahitaji kontena

  Nahitaji kontena, iwe 20 ft au 40 ft. inbox me please!
Top Bottom