Search results

 1. Mgibeon

  Wale Wote Ambao ni Wanachama, Wakereketwa, Mashabiki, Vishanta, Visokorokwinyo, na Wafiachama wa CCM lakini hatuna lolote tukutane hapa!

  Wakuu, mimi nilizaliwa katika familia yenye misimamo ya kisiasa tangu enzi za tanu. Babu yangu mimi aliwahi kuwa diwani kwa miaka 15 na pia alitumikia akiwa mwenyekiti wa kijiji chao kwa miaka ya kutosha, Lakini yote kwa yote hakuwahi kupata chochote wala lolote zaidi zaidi anasema'ga' "katika...
 2. Mgibeon

  Rais Magufuli timua hao wasimamizi watatu waliotuangusha!

  Hawa watu watatu ndiyo wamesababisha tumeshindwa kutimiza adhma yetu sisi kama chama kuchukua kata zote. Ikiwa tumeweza kufanya ya kufanya tukashinda kata 40 wao wameshindwaje kufuata maelekezo? Ifike mahala tuwe serious, tunaposema tunataka nchi nzima iwe CCM ni lazima watu wote waelewe hivyo...
 3. Mgibeon

  Ndugu zangu CHADEMA, Kufumbatia Maji Kama Jiwe Ni Ujinga

  Dear Comrades kwanza poleni sana kwa majukumu mazito na changamoto zilizopo mbele yetu, pia Tuendelee kumchangia Ndg yetu Tundu Lissu kwa chochote tunachobarikiwa na Mwenyezi Mungu pasi na kusahau Maombi na Dua zetu juu take. Iko hivi, ukifuatilia kwa undani mawazo na matumaini ya wengi wetu ni...
 4. Mgibeon

  Kwamba Wahutu na Watutsi siku hizi nao ni Watanzania?

  Nilikua nafuatilia hotuba za muheshimiwa Rais alizokua akitoa huko Kigoma na Tabora wakati alipoenda kuzindua miradi mbalimbali ikiwemo barabara na miradi ya maji. Katika kuongea kwake akasema kwamba Tanzania wakati inasisiwa na Baba wa Taifa ilikua na makabila 121, na katika jambo kubwa...
 5. Mgibeon

  Niuzie Rav4 Old Model

  Wakuu, natafuta gari tajwa hapo juu, masharti yangu ni machache Tu, 1. Gari iwe katika hali nzuri. 2.Iwe namba C au D kabisa. 3. Iwe ya milango 5 4. Iwe Dar au mikoa ya karibu na Dar. Bajeti yangu ni 8mil. Kwa mawasiliano njoo PM. Kuweka namba JF sikuhizi ni risk Sana.
 6. Mgibeon

  Si vema kuilaumu serikali juu ya yule "mchora nembo" ya Taifa letu

  Inasemekana kwamba Enzi hizo baada ya kuchora hii nembo ya taifa tuifahamiyo, huyu marehemu mzee wetu alipewa eneo/kiwanja na Hayati Baba wa Taifa letu kama shukrani ya mchango wa alichoifanyia Tanzania yetu. Na eneo/lenyewe alilopewa Ni hapo Sinza lego(karibu na ilipokua dagaa-dagaa), sijui...
 7. Mgibeon

  Mbona Muhongo Hakuitwa Mezani Kuomba Msamaha mbele ya Mungu na Watanzania Wote Halafu Aanze Upya?

  Inasikitisha Sana, mtu ambaye umemtuhumu kua Ni mwizi eti Leo unamwambia Njoo Nyumbani, Uombe Msamaha na urudishe ulichoiba halafu tuanze upya! Inapatana na Akili Kweli? Hawa wameshababisha sio hasara ya pesa Tu, wamesababisha hasara kubwa ambayo haiwezi kulipwa na pesa. Ikitokea mtu akakwapua...
 8. Mgibeon

  WAZO: Nafikiria kuandaa Mapokezi ya Mbunge Wetu(KAWE) siku atakaporudi Dar.

  Baada ya muwakilishi wetu kufukuzwa Bungeni na Mabwana Wale, Nimeona nivema Niandae Msafara wa waenda kwa Miguu na wenye Vyombo vya Moto utakaoanzia either Ubungo Mataa Au Bunju B pale darajani ikitegemea Shujaa wetu ataingia Dar Akitokea Upande gani. Mimi kama Mwana-KAWE nimejihisi Ni kama...
 9. Mgibeon

  Kadri unavyozidi kupanua ndivyo watu wanavyozidi kutamani

  Hiyo ni Kauli aliyotamka Mama yetu kipenzi Msomi Prof Tibaijuka leo alipokua akichangia katika Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini 2017/2018, Kauli hiyo ilifuatiwa na shangwe, nderemo na vifijo vya wabunge wa CCM mpaka mama akaomba alindiwe muda wake. Sasa kitu najiuliza kwanini waheshimiwa...
 10. Mgibeon

  Yaani huko Ruge Tumeshammaliza Kabisa (Power of Karma)

  KARMA hua haiongopi, ni Natural Justice, Jana kwa mara nyingine Tena Bashite Kaumbuka. Wengi humu hawakusikia wakati hayo maneno kuhusu Ruge kumalizwa, ila yeye Ruge na team yake waliyasikia nadhani ni kutokana na kua ni field yake so kila sauti inayosikika kwake anaisikiliza ndio maana...
 11. Mgibeon

  Kwa vyerehani vinne na 70mil ya kufufulia General Tyre Sera ya viwanda ilikuwa ni ulaghai

  Kama mlivyosikia kwamba ukiwa na vyerehani vinne tayari ni kiwanda, yaani ukiwa na vyerehani 40 una viwanda 10. Hii issue imenikumbusha mwaka 2013, kuna rafiki yangu flani alikua anafanya kazi kwenye kampuni flani ya wahindi ina deal na security, firefighting na mambo ya cartrucking, sasa wao...
 12. Mgibeon

  Tumchangie Rais Jamani, Hali Mbaya

  Kabla machozi ya Kagera hayajakauka vizuri limetokea like la lucky vicent, kimsingi kilichotokea sio siri. Sasa ukitafakari kwa akili ya kiwango tu cha changarawe Ni kwamba Serikali yetu imekwama kifedha inahitaji msaada, kufeli kwa zaidi ya 60%ya bajeti ya 2016/2017 sababu kubwa Ni ukosefu wa...
 13. Mgibeon

  Yu wapi Mshana Jr?

  Wakuu, huyu "mtaalamu" wetu kapotea ghafla, hata hakuaga, kwa mwenye ukaribu Naye atujulishe tafadhari maana sio kawaida yake kua kimya hivi.
 14. Mgibeon

  Waraka wa Kwanza Kwa Ndugu yangu, Comrade, mstahiki, muheshimiwa sana, Mshika Mpini Mshana jr

  U hali gani bosi wangu, shaka sina unaendelea vema kabisa na harakati za ujenzi wa taifa, Naandika waraka huu nikiwa na nia na lengo la kukumbusha tulipotoka ila sio kukukosoa. Ndugu yangu mshana jr ni dhahil-shahil kwamba katika maisha yako yote hukuwahi kuwaza kukamatia nafasi uliyonayo sasa...
 15. Mgibeon

  Dereva wangu, Hii ni Scania 113H- 310, tuliza akili

  Kwanza pole kwa kazi nzito ya kulenga madaraja na kupambana na full and sports lights, vicheche na madereva wanaosinzia njiani. Kiukweli hii Ni Kazi nzito Sana, na Mimi kama turnboy Wako najua jinsi shughuli hii ilivyo pevu, na hizo kelele za hao jamaa wa kwenye Trailer huko nyuma zisikutishe...
 16. Mgibeon

  Kuna Meli Ngapi Leo? 30! Umesema Ngapi? 30 Mkuu

  Refer to the heading above, hayo yalikua ni mazungumzo ya JPM na Jamaa wa pale bandarini. Yaani President anauliza kwa msisitizo ili kuonesha kwamba bado anakusanya hela ya kutosha. Halafu anauliza tena kwamba sasa wale waliokuwa wanasema Meli haziji hamna mizigo hizi ni nini? Sikia Mkuu...
 17. Mgibeon

  Asante sana Wahariri wa magazeti kwa kufanikiwa kumfanya mkuu aelewe

  Toka jana wajuvi wa mambo wanasema lile tukio la kule gatini ilikua "TAKE ONE......... ACTION". Nia na madhumuni ya director ilikua ni kupata COVERAGE ya NGUVU Leo Asubuhi magazetini. Lakini ni kama kama vile mmeambizana (sijui utaratibu Wenu wa Kazi ukoje) yaani asilimia ya Magazeti kubwa...
 18. Mgibeon

  Mbowe please Huu Ndio Muda wa Kuleta UKUTA

  Ni kweli Kwamba UKUTA upo na utaendelea kuishi Ndani ya Nafsi zetu. Tunateseka sana ndani ya mioyo yetu, hatuna wa kutusaidia, bora watuuwe kuliko hivi. Inauma sana nchi kuendeshwa kwa MFUMO wa namna hii. Angekuwepo Dkt Slaa am very sure tungeingia Barabarani bila kujali bunduki zao. Ila najua...
 19. Mgibeon

  Nape Moses Nnauye; Shujaa wa awamu kandamizi

  Hongera sana Nape, binafsi sijawahi kukupenda ila kwa hili nimekupenda sana na umejiwekea heshima ya hali ya juu. Maisha sio uwaziri. Maisha popote tu, wao wako wawili, sisi tuko wengi na tupo nyuma yako. Tangu Juzi watu walikua wanakushauri ujiuzulu ili kulinda heshima yako ila nadhani wewe...
 20. Mgibeon

  Mawakili wa Wema Sepetu, Tumieni Fact hiyo ya Clouds

  Katika kile kinachosemekana ni kuwatishia SHILAWADU warushe "Kipindi chake", ripoti ya uchunguzi wa Sakata Hilo ikasema kwamba Mh. Daudi Albert Bashite aliwatishia kwamba wasiporusha "kipindi chake" atawaingizia kwenye orodha ya washukiwa wa madawa. Tafsiri yake ni kwamba hata wale waliokwenye...
Top Bottom