KABENDERA NA NATURE YA WATANZANIA
Vipi kuhusu Kabendera?Inamaana ukurasa wake ushafungwa?Kuna umuhim wa kuendelea kufanya SIASA Za kuhatarisha maisha yako ukitegemea wanasiasa wakupiganie?
Huwa nasema watanzania huenda wakashinda namba moja kwa UNAFKI AFRICA. Ni watu ambao usipokua makini nao...
Katika ajira zilizotangazwa Walimu wa secondary watakao ajiriwa ni 1374.Na kipaumbele ni waalimu wenye mahitaji maalumu na waliosomea elimu maalumu.
We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would...
Habari,Nimesikitika sana kuona mwanafunzi wa form three hawezi kuchora ramani ya Africa Mashariki na wala hajui Kenya, Rwanda au Burundi ziko sehem gani ktk Ramani.
Hata uandishi wa Essay tu ni shida,anaandika vitu vya ajabu hadi aibu.
Pitia document hapo chini then tujadili Tunatengeneza...
Habari Wanajukwaa.
Ni miezi kadhaa imepita Bila kusikia au kuona uchambuzi wa maswala ya kisiasa kutoka Kwa kada huyu mtiifu wa Chadema, Malisa Godlisten
Ilikuwa hakuna Jambo lisilompita, Yuko wapi huyu kada au nini kimempata?
Habari wana jf.Niende moja kwa moja kwenye Hoja yangu kuu,Nimekua nikifuatilia hoja mbalimbali za upinzani hasa KUPINGA kile kinachokuwa kinafanyika Tanzania. Lakini katika hoja hizi naweza sema hazina mashiko zaidi ya SIASA UCHWARA au NYEPESI,Hivi mtu anapinga kununua Ndege au ujenzi wa...
Habari Wanajukwaa,Leo katika kufuatilia BBC,nimesikia Korea Kaskazini imekubali kurekebisha SAA zake ziwe sawa na za Kusini.Yani Walikua wanapishana Nusu SAA.Sijaelewa hii imekaaje,Yani nchi inaweza amua SAA zake ziende vipi na wanaweza amua ziwe sawa na sehemu flani.Wajuzi wa mambo msaada...
Nakumbuka nilikua mtukutu hatari na matukio kibao nilikua nafanya plus suspension za kutosha.Kuna siku nilibeba begi kubwa la nguo nkabebea daftari mbili tu na pen.Nilichezea bakora ni hatari.
Kama unataka kuingia katika mahusiano basi kuna wanawake ni wa kuwaogopa sana.Na hii itakusaidia kulinda Heshima yako,Kuondoa stress zisizo na sababu za msingi na kukufanya uishi KAMA MWANAUME.
1)Mwanamke aliyekuzidi kipato
2)Mwanamke aliyekuzidi Elimu.
Hao watu hapo juu ni hatari sana na...
KWANINI CHADEMA WALISUSIA UCHAGUZI MDOGO ULIOPITA?
Sir Taylor
Habari Wakuu.Sote tunajua kwa kilichotokea uchaguzi mdogo uliopita.Kupitia kamati kuu chadema kiliadhimia kususia uchaguzi mdogo wa Longido,Singida na Songea,Kwa sababu walizodai ni kuwepo kwa kasoro nyingi ambazo NEC wanatakiwa...
SWALA LA UKOSEFU WA AJIRA NA NINI KIFANYIKE.
Na Sir Taylor
Habari ziwafikie;Waziri wa Elimu,Waziri Ajira na Vijana pamoja na Rais.
Kwanza ningependa kuwapa pole kwa majukumu ya kila siku katika kuwatumikia wananchi na Taifa letu kwa Ujumla.Najua mnapambana kweli katika kuhakikisha tatizo la...
[03/11, 08:48] Sir Taylor: KWANINI MAFISADI WALIOKO NA HATA WANAOTOKA CCM WANAKUWA NA JEURI YA KUSEMA KAMA MNA USHAHIDI NIPELEKENI MAHAKAMANI?
By Sir Taylor.
Habari ndugu zangu.Kama kichwa cha makala yangu kinavyoeleza,Kwa muda mrefu sana tumeona watuhumiwa ufisadi walioko na wanaohama CCM...
MAONI YANGU KUHUSU RIPOTI YA MAJADILIANO YA MAKINIKIA.
Na Sir Taylor.
Habari,Kwanza napenda Kutoa Shukrani na Pongezi za dhati kwa Mh Magufuli kwa kusimamia hili jambo hadi leo limefika hapa,Mimi mwenyewe nikiri wazi ilifika hatua nikawa naona giza katika hili swala,lakini kwa sasa naona...
Ni kijana, Nina mpenzi wangu ambaye tumedumu kwa miezi mitatu sasa.
Hatujawahi tambulishana kwa wazazi zaidi ya ndugu wa kawaida tu. Sasa tunataka tutambulishane kwa wazazi ili iwe official. Hatua zipi tunatakiwa kufuata ili kwenda kutambulishana kwa wazazi?
Na Sir Taylor.
Habari wadau,
Leo ningependa tuzungumze kidogo kama kichwa cha mada yangu kinavoeleza.
Katika swala zima la mahusiano hasa ya kimapenzi kuna vitu vinne ambavyo vyote kwa pamoja vinafanya mahusiano kuwa na nguvu au imara zaid,hakuna kitu kimoja ambacho kinaweza kuwa mbadala wa...
UKIONA VYALEA VIMEUNDWA.
Na Sir Taylor.
Habari wakuu,Kama methali inavosema hapo juu,Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu uchaguzi wa Kenya.Nimepitia maoni mbali2 ya baadhi ya wadau wengi wakipongeza hatua mbali2 zilizochukuliwa kuanzia tume ya uchaguzi,serikal na mahakama kwa ujumla katika...
JE NI AINA GANI YA MAHUSIANO YA KIMAPENZI UKO NA MPENZI WAKO?
Wanasaikolojia mbalimbali wamejaribu kuelezea aina za mahusiano ya kimapenzi ambayo wapenzi wawili wanaweza kuwa wanayapitia katika kipindi flani cha mahusiano yao.
Lakini kabla hatujaangalia hizi aina lazima tujue kuna vitu vitatu...
Ni takriban wiki mbili au tatu sasa tangu wakili msomi Fatuma Karume alipoenda kufungua kesi dhidi ya afisa wa polisi kwa madai ya kudharirishwa. Ni kesi iliyovuta hisia za watu wengi mno hasa kwa wafuasi wa vyama vya siasa.
Mara ya mwisho nilisikia tu wakili msomi Tundu lisu kuungana na...
Habari ndugu,
Toka swala la makinikia limeanza kumekuwa na hiki kitu kinachosemwa sana na wanasiasa na wasomi na hata wasio wasomi."MIGA"Kwa upande wangu bado ni kizunguzungu sana katika hili.
Hili jukwaa naamini linawataalamu na wajuzi katika hili.Naomba mwenye ufahamu anifafanulie
1.Nini...