Search results

 1. mrangi

  Balaa kwa mangi

  Hii ni sanitizer tosha ya ndani kwa ndani Naona imetungia vilivyoo Mshana Jr Ova Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 2. mrangi

  Kwa wale mnaodaiwa fine za magari lipeni

  kwa wale mnaodaiwa fine za magari yenu sahv Hata ukilipaki chini ya mwembe linafatwa tu Mpaka mlipe madeni Ova
 3. mrangi

  Kiendacho kwa mganga hakirudi!

  Haya wale wazee wa kufatilia pesa za desi,qnet etc habari ndiyo hiyo mwana fa ft Ay Ova Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 4. mrangi

  Dereva kiherehere

  Ukisikia dereva kiherehere ndiyo huyu Na ukiherehere umemponza! Ova
 5. mrangi

  Vodacom mmepunguza MB na kuongeza gharama

  Hivi nyie Vodacom naona mmepunguza MB na mmeongeza gharama au kampuni zote za mitandao zimepunguza MB? Mmeamua kufinya MB. Mbona mnakandamiza hivi? vodacom Ova
 6. mrangi

  Kajiongeza

  Aise huyu jamaa kajiongeza naona kawajali wateja na watumiaji wa ugoro Ova
 7. mrangi

  Twende kazi

  Mpela Mpela mpk kieleweke Ova wangari Mathai Ova
 8. mrangi

  News Alert: Shule ya Kinondoni Muslim inawaka moto Kinondoni

  Nimepewa code mitaa hiyo kuna moto. Mwenye kujua zaidi atupe taarifa Ova ====== Mwenyekiti wa serikali ya mtaa Kinondoni Shamba amesema alipoongea na wanafunzi wamesema chanzo ni umeme lakini bado haijathibitishwa rasmi. Amesema moto unaendelea kusambaa kwa sababu baada ya kutoa taarifa...
 9. mrangi

  Uchaguzi 2020 Hussein Msopa maarufu kama 'Sheikh Sharif Majini' amechukua fomu ya kugombea Ubunge jimbo la Handeni Vijijini kupitia CCM

  Hussein Msopa maarufu kama 'Sheikh Sharif Majini' amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Handeni Vijijini Mkoani Tanga kupitia CCM.
 10. mrangi

  Kijani inang'aa

  Wapiga kura Kazi kwenu hapo Mtampa au Ova
 11. mrangi

  TRA Makumbusho na tatizo la mtandao

  Watu wamekuja kulipia kodi za majengo. Muda tu mtandao umeelemewa Wateja wame stuck naona hii ngoma kurudi mpaka Jioni. Uzi tayari Ova
 12. mrangi

  Wazushi wamekutana

  Hapo haponi mtu, wazushi jazz band Wapo kazini Ova Sent using Jamii Forums mobile app
 13. mrangi

  Pande za tandika leo

  Nko na temba tunaikata kvant taratibu Dah kwenye kikao temba Ana tape measure Ana Pima mkao wa mita moja moja hataki utani Hii coonaaa hiii Ova Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 14. mrangi

  Mapema sanaa

  Kama Kawa spidi Ile ile kwa mangi Ova Sent using Jamii Forums mobile app
 15. mrangi

  DTB kwenye kupambana na corona wana vitu vya ukweli

  Katika bank zote Hawa jamaa nawakubali Kwenye kupambana na corona Wana vitu vya ukweli Kuanzia sanitizers zao na mambo mwngine Najivunia Sana kuwa mmoja wa wateja wao Bank ya wajanja Ova Sent using Jamii Forums mobile app
 16. mrangi

  Corona imebadilisha majira au

  Jumatatu iko kama weekend Yaani sasa hivi kila siku inaonekana kama tuko weekend Au naona Mimi pekee yangu hii hali Ova Sent using Jamii Forums mobile app
 17. mrangi

  Mambo ya Convid19 bongo

  Kama kawaida mzee Wa misele Leo nlikuwa na pilika moja Nkaenda makaburi Ya kino(kanumba) nmefurahi kuona mpaka Ndani hapo wameweka ndoo ya kunawa Ehh..... Ngoja nsogeee break point nkachonge na mzee maende..... Later Ova Sent using Jamii Forums mobile app
 18. mrangi

  Mambo ya Convid19

  Kama kawaida mimi mtu wa misele Kwenye misele nakutana na mambo mwngi Naona mdg Mdg wabongo tunaanza kujifungia Leo nlienda duka moja naona mteja na muuzaji kumewekea mpaka Ova Sent using Jamii Forums mobile app
 19. mrangi

  Naona watu wanaji isolate

  Mdogo mdogo wabongo pilika zinapungua Hata kwenda kwenye Maofisi naona siyo kwa sana Ova Sent using Jamii Forums mobile app
 20. mrangi

  Karantini Kuna majamboz

  Hiiii Ova Sent using Jamii Forums mobile app
Top Bottom