Si kila mapokezi ya Rais lazima awekewe zulia jekundu.Hata marehemu Magufuli ni safari nyingi tu ambazo hakutandaziwa zulia ikiwemo ile ya Chato anakwenda kunywa kahawa.
Sawa,pamoja na majibu mazuri ya mhe.Waziri,nina swali dogo la nyongeza,
Hivi kwa nini wilaya hii iliitwa KIBONDO lakini jina la Jimbo lake likawa tofauti kwa kuitwa Jimbo la uchaguzi la MUHAMBWE?
Kibondo asili yake ni nini na Muhambwe asili yake ni nini?
Kwa nini jina moja tu lisiwakilishe...
Huwa tunafanya majaribio endapo kinachokuja kutokea hatukijui ama hatuna uhakika nacho,
Mungu anapokupa majaribu huwa hajui matokeo ya karibu hilo?
Na kama anajua majibu yatakavyokuwa, hilo jaribu huwa ni la nini?
Nikisema kuwa hizi habari za Mungu muweza yote,mjuzi wa yote na mwenye upendo...
Mungu mmoja na mtume wake?
Ni mtume yupi huyo ikiwa Muhammad alikuwa bado hajazaliwa?
Na je, Mungu mwenye uweza wote hakuwa na njia rahisi na ya haraka ya kujitangaza (ikiwemo kutamka tu maneno) tukamjua badala ya hii Caravan route ambayo mpaka sasa haijawafikia watu wote duniani pamoja na...
Kwamba Malkia Elizabeth akifa mrithi awe Prince William? Wamejuaje kama Malkia Elizabeth atatangulia kabla ya huyo Prince?
Halafu Canada wameshakua huu upuuzi wa kuendelea kutawaliwa na Mwingereza waachane nao.
Basi hukupaswa uweke jibu usilo na uhakika nalo.
Kwenye hizi nafasi za kisiasa hakuna ambayo ukiwa nayo inakuzuia kupanda ya juu yake.
Sana sana ukipanda juu itakufanya uiachie ile ya chini tu kama zina mgongano.
Hakuna sheria inayosema hivyo kwa ngazi ya mawaziri.
Utaratibu huo unaishia kwa Rais na Makamu wa Rais tu na kwenye baadhi ya taasisi zingine kama tume ya uchaguzi n.k.
Ashantu Kijaji ni mrangi wa Kondoa,Dodoma.