Wakuu tangu nianze kuishi na huyu bibie amani imepungua ndani kisa ni Mimi kunywa pombe, kabla alijuwa na alikuwa ananiona nakunywa hadi tukaanza kuishi pamoja.
Simtukani, simfanyii fujo, matumizi nampa, every thing nahudumia ila tu akiona nimelamba gambe anamind sana.
Wazoefu wa hizi mambo...
Wakuu bila shaka hamjambo!
Aisee! Mimi ni mfanyakazi wa shirika moja nafanya kazi kwa kuzunguka the whole week. Nachojishangaa hii kazi nahisi kabisa siitaki ila nafanya tu basi.
Kuna siku siendi nasingizia uongo wowote nashinda ndani. Kuna muda nahisi kama nimelogwa kabisa. Mshahara ni wa...
Nawasalimu sana wakuu!
Ebanae ukipitia nyuzi zangu mbili za mwisho kuandika, nimetaja mgogoro mimi na mke wangu. Itoshe kusema nimefanikiwa sana kupitia ushauri wenu ukiwemo.....wadau walisema....
A. ACHANA NAE
B. MCHUNGUZE NA KUMPA MITIHANI
C. BADILIKA WEWE
Nilipata wakati mgumu kumuacha...
Wasalaaam!
Sifa na utukufu kwa muumba wa mbingu na nchi, wote tuseme Amen!
Kwa wenye changamoto hajatuacha yuko nasi jana, leo na kesho.
Wakuu huu ni mrejesho kutoka kwenye thread yangu iliyokuwa na kichwa "AMENIAMBIA " hujanijua vizuri eee" niliyo ileta hapa week kadhaa zilizo pita.
Ni uzi...
Wakuu wasalaam!
Bila shaka hamjambo, kwa wenye changamoto poleni!
Wakuu nina miezi 8 kwenye mahusiano ila nimeanza kuishi nae miezi 4 iliyopita, ni binti 26 yrs mimi nina 33 yrs.
Issue kubwa amekuwa na kauli za kibabe sana kiasi zimenifanya kila mwezi na postpone kupeleka mahari kwao kwa...
Wakuu bila shaka mnamalizia weekend vyema kabisa, kwangu haijaenda vizuri kwa sababu ya hili nalolileta kwenu tusaidiane mawazo wana nzego wenzangu!
Issue iko hivi, serious nampenda huyu binti naekaa nae (mke) lakini nachokiona kwa sasa ni mapicha picha. Siku 4 nyuma tulipata mgeni ambae...
Wakuu habari za weekend!
Moja kwa moja kwenye mada, nimekuwa nikisotea mke wa kuoa muda mrefu sana hata humu nilishawahi kutafuta japo sikupata nimekuja kumpata mtaani kwangu.
Huyu binti ananipenda sana na mimi nampenda, akasema nitume mtu kwao nikatuma mshenga, wakati huo kila mtu alikuwa ana...
Wakuu bila shaka hamjambo!
Kuna mzee kaniambia kijana siku hizi ndoa zenu mkigombana mwezi unaisha hamjapatana. Hii ni ajabu sana. Nikamuuliza kwa nini mzee, akasema tatizo ni aina ya nyumba na vitanda mnavyotumia, sisi zamani tulijenga nyumba yenye vyumba vilivyotosheleza wanafamilia hakuna...
Wakuu haka ka weekend ka leo kazuri nimetulia home napitia pitia threads humu. Ila kuna kitu nimegundua, najua kuna watu humu walishapata wenza na wengine wamekosa kabisa
Baada ya kupitia threads zao wale naoweza kuwaita clients (wateja wanao tafuta wateja wenzao) nimegundua wengi umri wao...
Habari za wakati huu wakuu, bila shaka hamjambo na kheri ya sikukuu ndugu zetu Islamic members over the World.
Moja kwa moja kwenye mada. Aisee tusichukulie poa kabisa kuna watu wanateseka sana zaidi ya maumivu ya kuungua moto sababu ya mapenzi.
Unakuta girl au boy kakata tamaa kabisa hana...
Habari wana jamvi?
Ni kawaida kusikia watu wanatafuta KE wa kuoa au wanawake wanatafuta ME wa kuwaoa.
Nilicho experience mwenyewe katika safari yangu ya kutafuta mke kama walivyo wenzangu ambao hamjaoa, nimegundua MKE anatokea kama bahati na hasa mwanaume ukiwa serious na makini sana bila...
Wana jamvi hamjambo, poleni na harakati za maisha !
Lengo la UZI huu naomba ushauri kutoka kile nitakacho kieleza hapa chini.
Mimi mwajiriwa wa shirika dogo la kijamii tangu mwezi wa kwanza mwaka huu, salary basic ni laki 6 hivi, take home kama laki 4 na 90 hivi ,sasa tangu nianze kazi hadi...
Wakuu habari za muda huu, kuna thread moja niliwahi post kwenye love connect nikitafuta wangu wa moyo.
Bahati nzuri kati ya wakiokuja nilikongwa nyoyo na binti mmoja (30yrs) safii alinipendeza moyoni na machoni, tukaweka appointment tukakutana mawasiliano yakaendelea charting hadi usiku wa...
Wasalaam, wakuu bila shaka mko poa j5 hii, moja kwa moja kwenye lengo la uzi huu.
Jana nimepata simu mpya kupokea sauti ya KE akajitambulisha, ilinichukua sekunde kadhaa kumkumbuka
Oooh, nambie, akasema ana shida, nikamuuliza shida gani? Akasema kuhusu jamaa (mpenzi) wake, yaani anadai jamaa...