Search results

 1. Asherymdudu

  Apigwa na askari hospitalini akisubiri kununua dawa za mama yake mzazi katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Shinyanga

  Kipande kifupi cha video tulichotumiwa na Lydia Lefi, Mkazi wa Shinyanga cha tukio la Walinzi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga kumchapa mikanda kijana ambaye amedai ni mdogo wake kwa kosa la kupitiliza muda wa kuona wagojwa katika hospitali hiyo. Kwa mujibu wa maelezo ya Lydia anasema...
 2. Asherymdudu

  Osama Bin Laden katika picha

  Mvulana aliyevaa shati la kaki (brown) wa pili kushoto ni Osama bin Laden hapo akiwa na umri wa miaka 14. Picha hii ilichukuliwa mwaka 1971. Osama bin Laden aliuawa kwa kupigwa risasi na kikosi maamlum cha Marekani May 2 2011 Nchini Pakistan. Sent using Jamii Forums mobile app
 3. Asherymdudu

  Maswali yanayohitaji majibu baada ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imemwekea vikwazo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Christian Makonda

  Naona watu wanajadili zuio la Makonda kuingia Marekani badala ya kujadili sababu zilizopelekea hilo zuio. Wenye akili ndogo wameanza kusema "Kwani Marekani ni mbinguni? Kwani asipoenda atapungukiwa nini?" Hii ni comment ya Mbunge mmoja wa CCM kule Twitter. Lakini hoja si Makonda kuzuiwa...
Top Bottom