Habari,
Naomba kujuzwa ni sehem gani nitapata mtumba grade A kwa Dar es salaam.
Natamani kuanza biashara hii ya mtumba lakini jeans tupu na PIA inahitajika mtaji wa kiasi gani?
Pia soma:Chimbo la belo za mtumba grade A pasipo na matapeli na waongo zinapatikana wapi kwa Dar es Salaam?
Watu wanasema kuna baadhi ya kozi kupata kazi ni mziki mnene mfano: Human resource, BBA, public adm na nyingine za social studies na arts.
Kwahiyo wengi tukimaliza chuo huwa tunakaa tu nyumbani.
sasa tuleninmaujuzi tufanye nn au tujiakiri vipi? Baada ya kumaliza chuo?
Jamani napenda mbegu za kiarusha
Mimi ni mtu wa Morogoro (Mluguru)short and beatiful. Young girl 23 years. Nipeni mbinu za kuwa na Muarusha au Moshi Boys ambaye ni Muislam wapo maeneo gani?
Habari
Jamani naombeni mniambie jamani ninaweza kusomea makeup kwa miezi 3? Nikawa makeup artist?
Na je nitapataje wateja kama sina saluni?
Na je makeup inalipa kwa maisha ya sasahivi???
Skills au ujuzi upi ni muhimu kuwa nao kijana wa kitanzania mwenye umri kuanzia 18 na kuendelea labda mwisho35 (awe ana soma au yupo mtaani.)vyovyote vile ilimradi kijana.
Nia na madhumuni ya uzi huu ni kwamba kujulishana skills mbali mbali za kusomea au kujifunza ili kuendelea kupigania maisha...
Ukiwa unataka kufungua restaurant au mgahawa. Unatakiwa uwe na ujuzi wa vyakula vya aina gani?
Vile vile ni vyakula vipi ni pendea sana na vinaleta wateja?