Search results

 1. Y

  Miradi ya NHC inafanyika kwa upendeleo

  NHC ni shirika la kitaifa,inakuwaje mkoa au mji mmoja unakuwa na miradi ya mabilioni ya shilingi inayoendelea halafu miji mingine haina hata mradi mmoja? Kuna maeneo kuna nyumba za NHC tena unakuta ni moja tu lakini inachukua miaka kukamilika wakati huko kwingine kunajengwa nyumba nyingi tena...
 2. Y

  Mhe mchungaji Peter Msigwa ambona wana wa Iringa Mjini hatukuelewi?

  Kiukweli umekuwa unajitahidi sana kupigania mambo ya kitaifa zaidi lakini jimboni kwako unakusahau..haitoshi kujivuna kwamba Iringa kuna maji ya kutosha kwa kuwa ule ni mradi uliokuwepo kabla yako,ni juhudi ya mbunge aliyekutangulia Monica Ngenzi Mbega. Kuna kero ambazo tumekuwa tunajipa moyo...
 3. Y

  Meya wa Iringa, Mkurugenzi mnafanya kazi gani? Mji unanuka kwa uchafu.!

  Kwa miaka kadhaa Viongozi wa Manispaa ya Iringa wamekuwa wakiongea mipango mingi ya kuifanya manispaa hiyo inawiri na kupendeza kimazingira,lakini kwa mtu anayeijua manispaa ya Iringa ambayo iliwahi kushika nafasi ya kwanza kitaifa kwa usafi wa mazingira na mara kadhaa ikishika nafasi ya pili...
 4. Y

  Manispaa ya Iringa, kutafuta wawekezaji siyo kazi ya Msigwa pekee, ni pamoja na ninyi

  Kuna siku moja nilikuwa namsikiliza Mstahiki Meya wa Manispaa ya Iringa akizungumzia mambo mbalimbali yahusuyo Halmashauri yake. Miongoni mwa hayo ni kwamba halmashauri imetenga eneo maalum kwa ajili ya uwekezaji,akasema hawamwelewi Mhe Mbunge ambaye kwa nafasi yake ana wigo mpana wa kutafuta...
 5. Y

  Zackaria Hans Poppe na Fredrick Mwakalebela wanafaa kuliongoza jimbo la Iringa Mjini

  Kama kweli Chama cha Mapinduzi Iringa kina nia ya kulirejesha jimbo la Iringa mjini ktk himaya yao..tunaomba wafanye wawezavyo 2015 watuletee HANSPOPPE au MWAKALEBELA. Kwa sisi tulio huku mitaani wawili hao wanatajwatajwa sana,watu wanawahtaji sana na wanaamini ndio wenye uwezo mkubwa wa...
 6. Y

  Hospitali za Tanzania bwana....

  Hapa niko hospitali ya rufaa Mbeya,kuna wagonjwa ambao wamefika tangu saa 1,mpaka sasa ni saa 4 bado huduma hazijaanza eti madaktari wapo kwenye kikao...kiukweli napata tabu kupata jibu kwamba..>ni kwa nini vikao vinafanyika muda wa kazi?wakti huohuo ikifika saa 6 tu watasema muda wa...
 7. Y

  Simba sports club mbioni kubadilisha jina na kuwa dar es salaam united

  Kutokana na mchakato wa kuboresha katiba ya timu ya Simba kuna taarifa kwamba moja ya mambo yatakayopelekwa kwa wanachama ni pendekezo la kubadilisha jina la timu hiyo kutoka SIMBA SC na kuwa DAR ES SALAAM UNITED SPORTS CLUB...wana msimbazi mnaonaje?
 8. Y

  "SIMBA KUBADILISHA JINA NA KUWA "Dar es salaam United Fc"

  Kufuatia mchakato unaoendelea wa kufanyia marekebisho katiba ya Simba,miongoni mwa mambo yanayosemekana yatafanyiwa marekebisho ni jina la klabu ya Simba sc kuwa Dar es salaam United...je wewe kama mdau wa michezo hususan Simba unaonaje na unasemaje kwa hili?
 9. Y

  Wajumbe wa bunge la katiba kumbukeni mnawawakilisha watanzania siyo vyama vya siasa.!

  Bunge maalum la katiba linaloanza wiki hii mjini Dodoma ni muendelezo wa harakati za kupata katiba mpya itakayokuwa msingi kwa kizazi cha leo na kijacho kwa takriban miaka 50 ijayo.. Wito wetu kwenu wajumbe wa bunge la katiba ni kwamba kumbukeni mpo Dodoma kwa ajili ya kazi mliyotumwa na...
 10. Y

  Katiba mpya iseme kuhusu watu wanaofisadi nchi wapewe hukumu gani?

  Katiba ya sasa inawawekea kinga miongoni mwa watu wanaofanya mambo ya kifisadi kwa kutumia vyeo vyao...Lakin pia watu wanaohujumu rasilimali za nchi kama wanaouwa wanyama na wauza madawa ya kulevya...tunahitaji katiba iseme watu hao wanaokamatwa na kuthibitika wametenda makosa wapewe adhabu...
 11. Y

  Mch. Peter Msigwa ni mpenda maendeleo au mpinga maendeleo? Je anawapenda wana Iringa?

  Nikiwa miongoni mwa waliompigia kura Rev Msigwa kuwa mbunge wa jimbo letu la Iringa mjini nikijiaminisha kuwa anaweza na atatufanyia makubwa kutokana na alivyokuwa akijinadi ktk kampeni zake. Imefika wakati nimeanza kushtuka na nahisi kwamba yawezekana mhe Msigwa si rafiki wa maendeleo ya...
 12. Y

  CCM Iringa mnatia aibu

  Kutokana na agizo la TFF kwa baadhi ya viwanja kwamba lazima vifanyiwe ukarabati,kiwanja kimojawapo kikiwa ni SAMORA MEMORIAL STADIUM cha mjini Iringa kiwanja ambacho ni miongoni mwa viwanja nchini ambavyo CCM inadai ni mali yake.,ccm Iringa ikatangaza kuwa itafanyia ukarabati uwanja ule...kwa...
 13. Y

  "chama cha mapinduzi iringa mnatia aibu" kuweni na ubunifu..

  Ni kituko kweli kwa chama kinachotawala ambacho kina vyanzo lukuki vya mapato..kulikuwa na maagizo ya tff kwamba uwanja wa samora ukarabatiwe ili uweze kukidhi kutumika kwa mechi za ligi daraja la kwanza..kiukweli nilicheka baada ya kuwakuta eti wanakarabati pitch kwa kukatua kwa jembe la mkono...
 14. Y

  Ni kweli kwamba Yanga ni timu ya CCM?

  Nimekuwa nikisikia habari zinazodai kwamba Yanga ni timu ya CCM,kwa evidence kwamba rangi ya kijani,njano na nyeusi ndo rangi zinazotumiwa na CCM lakin pia hata ktk mechi za Yanga nimekuwa nikisikia mashabiki wa yanga wakishangilia CCM...CCM..CCM.! mara wanapofunga goli..je kuna ukweli wowote...
 15. Y

  Moja ya mambo yaliyofanya lowassa alijiuzulu ni utendaji wa mawaziri wake,pinda je?

  Mkubwa Lowassa ambaye binafsi naamini ndo mtu pekee aliyebaki ndan ya CCM mwenye uwezo wa kufanya maamuzi magumu,na ni ukweli usiopingika kwamba tangu aondoke Lowassa ndo serikali ya Kikwete imeyumba hadi leo..alijiuzulu uwaziri mkuu kutokana na uzembe wa mawaziri wake yan Karamagi na...
 16. Y

  Lowassa,anne kilango malecela,lembeli,filikunjombe wateuliwe kuwa mawaziri

  ni mtazamo wangu jamani,kwangu mimi hayo ni majembe..
 17. Y

  Mstahiki meya wa manispaa ya iringa amani mwamwindi hatuoni kasi yako kiuongozi.!

  Inafahamika kwamba MSTAHIKI MEYA WA MANISPAA YA IRINGA MZEE WETU AMANI MWAMWINDI ndo bosi wa manispaa ya Iringa...lakin pamoja na kwamba tunampenda sana mzee wetu na tunathamimi mchango wa kimaendeleo kwa mji wetu ambao kumekuwa na maneno eti unaandaliwa kuwa jiji.,lakin ni busara sasa kama...
 18. Y

  Kwa nini manispaa ya iringa mnalegalega katika utekelezaji wa mipango ya maendeleo?

  Ni kituko na daima nimekuwa sielewi tatizo liko wapi? tatizo ni mkurugenzi ama meya au madiwani au ni nini? kuna mambo mengi ambayo imekuwa inafanyika kwa kubeep au muda mwingine kutofanywa kabisa...kwa mfano barabara zilizo chini ya manispaa zimekuwa mbaya as if hakuna uongozi,..kuna mradi wa...
 19. Y

  Fredrick mwakalebela tunakuhitaji uwe mstahiki meya wa manispaa ya iringa 2015..

  Wana wa Iringa mjini wanamwamini sana Mwakalebela,hali hiyo ilijidhihirisha katika kura za maoni za ccm 2010 ambapo mwakalebela alimbwaga aliyekuwa mbunge mama Monica Mbega kwa kura zaidi ya 800.,alipoondolewa kwa fitna tu za kisiasa ndo ikapelekea wana Iringa kuonyesha hasira zao wakamchagua Mh...
 20. Y

  Tunaomba captain zakaria hanspoppe agombee ubunge iringa mjini..

  Kwa wote wasiojua kuwa Zakaria Hanspoppe ni miongoni mwa wanajeshi wa nchi ya MKWAWA yan Iringa...nionavyo mimi Hanspoppe ni kati ya watu adimu sana wanaoweza kuifanyia makubwa Iringa Mjini...nawasilisha kwenu wadau!
Top Bottom