Search results

 1. M

  UKAWA anzeni kuandikisha wapiga kura wenu

  Tume ya uchaguzi ndo yenye jukukumu kikatiba kuandikisha, kuhakiki na kubandika majina ya wapiga kura. Jukumu hilo kwa hira za kisiasa linaonekana kuwalemea Lubuva na team yake. Chakusikitikisha UKAWA wameliona hilo na kuishia kulitolea tamko tu! Tunataka vitendo.....mojawapo ya mambo ya...
 2. M

  CCM imefanikiwa?

  Mtakumbuka ktk ilani ya uchaguzi, ukawa kwa maana ya chadema na cuf walikuwa na agenda ya kuwapatia watanzania katiba mpya. Chadema ilienda mbali zaidi kiuchumi na kielimu ikiwaaidi watanzania elimu bule kuanzia msingi hadi chuo kikuu na punguzo la vifaa vya ujenzi. Inavyoonekana...
 3. M

  B/news: Wananchi Kitoma wakataa hujuma za uchaguzi

  Baada ya msimamizi kushindwa kutangaza mshindi wa Chadema kijiji cha Kitoma, kata Rukururaijo jimbo la Kyerwa, wananchi wameamua kuvamia makazi ya mgombea wa ccm aliyetangazwa baadae kuwa mshindi na kufyeka migomba yake na nyumba kubomolewa. Polisi wameelekeo huko jioni hii na updates...
 4. M

  B/News: Wananchi Kitoma wakataa kuchaguliwa M/kijiji

  Baada ya msimamizi kushindwa kutangaza mshindi wa Chadema kijiji cha Kitoma, kata Rukururaijo jimbo la Kyerwa, wananchi wameamua kuvamia makazi ya mgombea wa ccm aliyetangazwa baadae kuwa mshindi na kufyeka migomba yake na nyumba kubomolewa. Polisi wameelekeo huko jioni hii na updates...
 5. M

  Katibu CCM na wafuasi wake 126 wahamia CHADEMA

  Leo ktk mkutano wa chadema kijiji kipya cha Nyabikurungu kata mpya ya Rukukuraijo wilaya ya Kyerwa jimbo la Kyerwa chadema imevuna wanachama 126 kutoka ccm. Hili limetokea kutokana na ubabe wa DIwani fisadi kufanya upendeleo ktk kura zao za maoni.
 6. M

  Tunatenganishaje maovu ya serikali na chama tawala (CCM)

  Hivi punde nimemsikia Nape akiwa Mwanza anatoa rai kwa viongozi wa serikali kuweka mambo sawa; kutatua matatizo ya ardhi, maji...ili wananchi wawe na imani na serikali. Malalamiko kama haya ameyatoa Kinana pia ktk mikutano yake. Amethubutu kuwaita wateuliwa wa rais mizigo. Hivi ni kweli haya...
 7. M

  Yatokanayo na zoezi la 'wahamiaji haramu'

  Ng'ombe wanakufa ktk vituo vya polisi (kasulu na kigoma mjini)! Ndo nafasi ya wezi kuiba kwa kutumia magari kwa sababu ngo'mbe hakuna anayewajari wakiwa mikononi mwa polisi ktk vituo hivyo. Tnz tulisha-sign mikataba ya haki za wanyama? Kuna chama au wanaharakati wa haki za wanyama? pls...
 8. M

  Ajali!! Ajali!! Ajali!!

  Kwa ujumla ajali zimekuwa nyingi na watanzania wengi wanaendelea kupoteza maisha. Viongozi wetu nahisi wamechoka sasa kutoa rambi rambi zao kwa wakuu wamikoa na familia husika ktk ajali hizo. Inavyoonekana jambo hili linakaribia kuonekana la kawaida kwa watanzania na serikali yao. Hivi hatuwezi...
 9. M

  Mh. Lema: Omba mwongozo wa Spika-Rais akilidanganya Taifa (wana-CCM inakuwaje?

  Wakati huu siyo waziri Mkuu pekee bali hata Rais amelidanganya Taifa (na wana-CCM wenzake) Hii ni kwasababu zifuatazo:- 1) Rais alimjua mmiliki wa DOWANs ila akwambia wana-CCM wenzake huko Dodoma kuwa hamjui mmiliki wa DOWANs. Hata kama hakumjua na vyombo vya usalama havikujua? Kama ni...
Top Bottom