Search results

 1. M

  msaada! bunge linaoneshwa chanel gani?

  nimejaribu chanels kibao silioni mkutano wa bunge.au ndio halioneshwi kabisa?
 2. M

  mambo 7 wanayo udhi wanawake wengi walio kwenye ndoa

  1.kujifanya bize muda wa kuanza mech. 2.kuongelea siri za ndani kwa mashost wake 3.kuleta matukio ya kazini kwake home. 4.kuzungumzia matatizo ya kwao mara kwa mara 5.kupekua cm ya mmewe. 6.kumfokea hous garl 7.kuanika hovyo chup zake 8.kuwa ....ongeza..
 3. M

  usijaribu kufanya hivi kama huna mpenzi pembeni?

  usinywe konyagi kisha ukatafuna kitunguu swaumu, uwe mwanamke au mwanaume utapata tabu inakupandisha mara 100%. anayebisha shauri yake yakimkuta mimi simo.
 4. M

  igp,ondoeni uchafu huu wa pikipiki vituoni

  siku hizi ukitaka kufaham kuwa hiki ni kituo cha polis angalia mlundikano wa pikipiki sio sign post tena.kuna vituo vina pik2 hadi 50 et zimekamatwa nyingine zina miaka hadi zimeozea hapo,ni nch nzima tatizo hili lipo kunakitu gani nyuma ya pazia?
 5. M

  POAC ya bunge inatumiwa vibaya kwa maslahi ya kisiasa ndani ya CHADEMA

  Hatua ya mh. Zitto kuviita vyama vya siasa kujieleza mbele ya kamati ya POAC au kusitishiwa ruzuku kwa kushindwa kupeleka hesabu za vyama kwa muda wa miaka 4 mfululizo. Swali; ZZK alikuwa wap?au ndio janja ya kukwepa uchaguzi ndani ya CHADEMA?. Tujadili.
 6. M

  Bayern Munich vs Chelsea - August 30, 2013 (UEFA Super Cup)

  kama kawa kama dawa leo tunawaua tena kama tulivyofanya last uefa final chini ya mateo mida ya saa 3.45 .jose m. amedai hakuna sababu ya kuleta wasiwasi ni kichapo tu.usikae mbali na tv kuhakikisha mauaji.sisi ndio sisi wengine mafisi. FT: Bayern 2 - 2 Chelsea Bayern wins by 5 Penalties over...
 7. M

  Msaada. natafuta jina zuri la kike

  wakubwa wa humu mmu. Mungu kanijalia mtoto wa kike, natafuta jina la kumpa sitaki kumpa jina la urithi au la vitabu vya dini, nahitaji jina la kipekee zaidi.msaada kwa mwenye jina zuri la ki english au kibantu.natanguliza my thanx
 8. M

  Swali: Kutoka katika ukoo wa kichief kuna tija gani kwa taifa la letu la sasa ?

  Kumekuwa na tambo nyingi kwa watu waliotoka ktk koo za kichief wakijiona kama bado wananguvu, wengine hutumia kama cv. Je kuna nguvu gani ya uwezo tofauti kwa watu hawa, wamelifanyi taifa nn kwa siku za karibuni? Kuna haja ya kuwatukuza kama zamani
 9. M

  So sad Angeline Jolie

  msanii aliyejishindia tuzo kibao ,alitamba na muv kibao kama vile salt,ameondolewa matiti yake yote mawili kumuepusha na cancer,julie mwenye watoto sita pia ameondolewa kizazi chake huku mumewe brad pitt akimsifia kwa ujasiri.chanzo bbc.
 10. M

  Mauridi Baraka Kitenge hivi ni kweli haya? utamshinda king Muswati?

  Nimepewa habari ambayo inashtua kuwa jamaa ana wake sita ingawa wengine wapo nje ya nchi. Kwa maisha ya kawaida hapa Tz na magonjwa haya huogopi?.kwa sisi wapenzi wa soka bado tunahitaji mchango wako mkuu.Punguza speed uishi miaka mingi.
 11. M

  Sauda Mwilima umejikoboa umekuwa mbayaaa

  Tangu nilivyokuona Star Tv mwanzoni ulikuwa na weusi mzuri wa asili. Siku zinavyokwenda umekuwa zaidi ya mzungu, unadhani kuwa mzungu ni ishu. Jua weusi ukitoka ukirudi ni makovu. Ushamba unawatesa madada wa Tz kama hamkusoma shule. Ujinga ni maradhi. ======
 12. M

  Hali tete Ubungo bus stand

  Nipo hapa Ubungo gari hazitoki wala kuingia watu wanatembea kwa miguu umbali mrefu kuna jam ya kufa mtu nimealifiwa kuna ajari imeblock njia zote,ni pik2 tu hapa .Mwenye maelezo zaidi atujuze. Ushaur; usipite Morogoro Road kama unaweza.
 13. M

  Kwa sisi wapenzi wa kitimoto

  Kwa wapenzi wa nyama ya nguruwe, ktk kutafuta kitimoto kwa muda mrefu sasa nimegundua kuwa sehemu nyingi ambapo nguruwe anapikwa ni pachafu mazingira yake hayalidhishi. Hii ni kwa nn? Au kuna mtu humu anafahamu sehemu safi anapotengenezwa nikajionee
 14. M

  juma haji duni.ndani ya star tv.muda huu na hati ya muungano badala ya afya

  waziri wa afya zanzibar [cuf] juma haji dun .anashindwa kujibu maswali ya wizara anaanza kuomba hati ya muungano .hii ime kaaje?
 15. M

  Ndg James Mbatia ndani ya ITV sasa!

  Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi Mheshimiwa James Mbatia yupo ndani ya ITV katika kipindi cha Kipima Joto. Jamaa kawaida yupo makini sana na ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja. Nawasilisha.
 16. M

  kwanini wapinzani wakishindwa uchaguzi hudai wameibiwa kura?

  Tangu uchaguzi wa vyama vingi Tanzania 1995,vyama vya upinzani havijawahi kukubali kuwa vimeshindwa na kudai vimeibiwa kura. 1.wasiwasi huu unatoka wapi?. 2.uliwahi kutolewa ushahidi juu ya hili,kura zinaibwaje? 3.iliwahi kungundulika na uchaguzi ukarudiwa.
 17. M

  NCCR Mageuzi kuimarika sana kabla ya 2015 zaidi ya CHADEMA

  mwaka 2010 nccr mageuz ilipata viti bungen.mkosamal,machar,kafurila vit maalum na baadaye mbatia.sasa vijana weng wanashawishika kujiunga na weng kutoka cdm wanakodai kuna udin.ukabila,ukanda.na kuna tetesi kuwa baadhi ya viongoz watajiung.md usifute
 18. M

  yusuph manj.naomba radhi wana yanga

  mwenyekiti wa clab ya young african yusuph manj amewaomba radh wanachama wa clab hiyo kwa kuisababishia clab hiyo hasara ya mil 30 na pia walikurupuka kumuuza shaban kado.ameomba radh ktk kikao kinacho mida hii .chanzo r.f.a
 19. M

  Msaada: Nitapata wapi hospital ya mifupa tofauti na MOI?

  nilimpeleka ndugu yangu muhu2 kitengo cha mifupa[moi] wananizungusha pesa nimelipa mizunguko kibao mgonjwa hajapata huduma na mm naona bora nitafute hosp nyingine.wana jf kuna uwezekano kwa siku mbili tatu kupata ufumbuzi.nisaidien
 20. M

  itv. kuna ukweli juu ya taarifa hizi

  wakuu,kila nikitazama taarifa ya habari [jiji letu] itv saa 12 jioni kila siku nakuta matangazo ya watu 5 au zaidi wanao ripotiwa kupotea,maswali nayo jiuliza 1.wanakwenda wapi?2 hari hii ni dsm tu.3.wanapatikana kwa ¤/¤.naomben mawazo yenu plz
Top Bottom