Search results

  1. R

    Ajali ya noah na bajaji-tegeta wazohill

    Kutokana mwendo kasi wa Gari ina ya Noah T278 CSV,iimegonga Bajaji T851 BVE.na kusababisha hali mbaya sana kwa watu wawili,dereva na abilia. Mwanzo gari ilikimbia eneo la tukio,lakin kwa ushirikiano wa magari na pikipiki waliweza kumkamata dereva wa noah na sasa yupo kituo cha police wazohill...
  2. R

    Hivi kiingereza ni ishara ya maendeleo au ulimbikeni?

    Niko ktk folen ya hapa lugalo hospital.nesi anaita jina mkaka hivi anasimama kwa mikogo huku akitembea kama pepe kale vile,ingawa mwili hana kivile!who's calling me?anauliza swali kwa wagonjwa wenzie!naam kamuona nesi kila nesi akiuliza swali yeye anajibu kizungu.basi watu wanamtolea macho naye...
Top Bottom