Search results

 1. Z

  Ni kama wapinzani wamekata tamaa na vyama vyao

  Kama wamefikia hatua ya kumtakia Rais utendaji mwema basi wanafanya vizuri, waendelee hivyohivyo. Mafanikio ya Rais ni mafanikio ya taifa.
 2. Z

  Halima Mdee na wenzake 18 wapanga kuihujumu BAWACHA, washitukiwa

  Wanafeli vipi wakati mgogoro umetamalaki hapo...
 3. Z

  Godbless Lema ukimbizi: Kaingia jela ya kufikirika

  Ukimbizi sio permanent kwenye nchi gani? Hizi nchi ukija kama mkimbizi ukipokelewa it is just a step towards uraia. Usichanganye residence permit na permanent residence. Residence permit can be a long stay visa. By long stay, it means the visa is longer than 90 days. Mkimbizi ana haki ya...
 4. Z

  Godbless Lema ukimbizi: Kaingia jela ya kufikirika

  Basi wewe ndio huelewi. Ukimbizi unatoa haki zaidi kuliko residence permit. Mkimbizi ana haki almost like raia.
 5. Z

  Godbless Lema ukimbizi: Kaingia jela ya kufikirika

  Kupata kibali cha ukimbizi is a long process. Lissu yuko kwenye process ya kuomba kibali cha ukimbizi. Wakati wa kungoja maamuzi ya mwisho, muombaji hupewa residence permit. Hiyo ndiyo aliyokuwa nayo Lissu.
 6. Z

  Godbless Lema ukimbizi: Kaingia jela ya kufikirika

  Tundu Lissu hahitaji matibabu ya muda mrefu ya kuishi Belgium. Matibabu ya kitu gani yanayomlazimisha kuishi Belgium? Vilevile Tundu Lissu hana kiasi cha pesa cha kumfanya epewe residence. Mtu anayepewa residence on the basis of kiasi cha pesa ni kwa misingi kuwa atawekeza na kutengeneza...
 7. Z

  Godbless Lema ukimbizi: Kaingia jela ya kufikirika

  Kibali cha mkazi on what basis?
 8. Z

  Chama cha Madaktari acheni wizi kwenye kutoa leseni za Madaktari wapya

  Chama cha madaktari (MAT) hakihusiki na usajili wa madaktari. Usajili hufanywa kwa mujibu wa sheria chini ya Medical Council of Tanganyika (MCT). You may want to edit your heading if you intend to talk about MCT.
 9. Z

  Malipo ya Wabunge ni kufuru

  Umeongelea makadirio ya mapato. Sasa toa makadirio ya matumizi. Halafu utoe tathmini ya kinachobaki.
 10. Z

  Godbless Lema apata hifadhi ya kisiasa nchini Canada

  Lema hawezi kuishi Canada. Anachotafuta ni shule za watoto wake. Watoto wakishasettle shule Lema lazima atarudi Bongo. Hakuna mkimbizi hapo, kuna baba anayetafuta namna ya kusomesha watoto...
 11. Z

  ACT-Wazalendo kushiriki SUK: Maoni ya Tundu Lissu

  Ndio maana kila akiongea anakuwa na hasira.
 12. Z

  Majibu ya ACT-Wazalendo kwa hoja za Tundu Lissu

  Hivi vyama ndio vilitaka kuungana!
 13. Z

  Suphian Juma: Nimeng'atuka ACT Wazalendo

  Kabla hujaanzisha thread hii hakuna aliyekujua. Thread ikiisha tu wote wanakusahau. Basically, you are irrelevant...
 14. Z

  Kwanini wafuasi wa CHADEMA wanaumia na uamuzi wa ACT-Wazalendo kujiunga na SUK Zanzibar?

  CHADEMA imekuwa genge la wanaharakati linalosukumwa na mijadala ya mitandaoni.
 15. Z

  ACT-Wazalendo kushiriki SUK: Maoni ya Tundu Lissu

  Mtu anayeandika hivi ndio alitaka kuwa Rais wa Tanzania! Ndio maana Tundu Lissu anapuuzwa na kila mtu anayejielewa.
 16. Z

  Nchi wafadhili sasa muamue kusimama na wanasiasa au wananchi

  Tundu Lissu yuko very frustrated kuona anapuuzwa na kila mtu.
Top Bottom