Search results

 1. Z

  Kamati kuu CHADEMA, haijajadili Ubunge wa Aida Khenan

  Leo CHADEMA imetoa uamuzi wa kuwapa wabunge wake 19 wa viti maalum nafasi ya kuomba msamaha ili waendelee kuwa wanachama. Katika tamko lao, hawajakaripia wala kujitenga na Mbunge wa Nkasi Kaskazini Aida Khenan. Hapo awali, CHADEMA ilitoa amri kwa Aida Khenan kutokushiriki Bunge. Hata hivyo...
 2. Z

  Maamuzi ya Wakinamama yasiingiliwe

  Viti Maalum vya wabunge Wanawake vimewekwa ili kulipa fursa kundi hilo la jamii kwenye ulingo wa siasa. Mantiki yake ni kuwa, katika vurugumechi za siasa, wanaume huwazidi wanawake kutokana na sababu mbalimbali za kijamii na kitamaduni. Katika kuheshimu misingi ya malengo hayo ya kuwa na viti...
 3. Z

  Uchaguzi 2020 Maisha baada ya uchaguzi yameanza

  Wana JF, Tunashukuru Mungu uchaguzi wetu umekuwa huru na haki. Sasa maisha baada ya uchaguzi yameanza rasmi. Neno linalotamkwatamkwa sana katika kipindi hiki cha maisha baada ya uchaguzi ni "mawakala". Napenda kuwakumbusha wanasiasa na vyama vya siasa kutambua yafuatayo kwa ajili ya chaguzi...
 4. Z

  Wagombea Ubunge wa CHADEMA wanapata wakati mgumu kuomba kura

  Mgombea Urais wa CHADEMA mwaka huu amekuwa akipinga jitihada za serikali kusambaza umeme, maji vijijini na mijini, kuboresha huduma za afya, elimu na ofisi za umma, kuimarisha miundombinu na huduma za usafiri wa majini, anga na nchi kavu. Kutokana na kauli za mgombea huyo wa Urais, wagombea wa...
 5. Z

  Uchaguzi 2020 Tundu Lissu baada ya Uchaguzi

  Uchaguzi Mkuu wa Rais na Wabunge unazidi kukaribia. Wapinzani wanaoonekana maeneo mengi ya kampeni ni Tundu Lissu na Prof. Ibrahim Lipumba. Kumekuwa na mijadala katika maeneo mbalimbali nchini juu ya hatma ya wagombea hawa baada ya uchaguzi kuisha. Kwa upande wa Lipumba, kwa vile amekuwa...
 6. Z

  Wa kwanza kumkumbuka Kikwete

  Ingawa makundi mbalimbali nchini yatamkumbuka sana, vyama vya upinzani vitakuwa kundi la kwanza kumkumbuka na kummiss Rais Kikwete. Kikwete ni Rais pekee aliyeuvumilia, kuupa uhuru na kuupalilia upinzani njia ya kujiboresha. Iwapo wapinzani wangekuwa makini, wangenufaika sana na uhuru huu...
 7. Z

  Kwanini UKAWA itashindwa vibaya?

  Katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2015 ushirikiano wa vyama wa UKAWA utashindwa vibaya. Hali hii ni bayana kwa wale wote wanaofuatilia hali ya kisiasa tangu CCM ilipomchagua mgombea wake mpaka hivi sasa. Sababu kubwa itakayowafanya UKAWA washindwe vibaya ni kubalika kwa mgombe wa CCM Dk. John...
 8. Z

  Dr. Slaa is officially jobless

  Dr. Slaa ameingia rasmi kwenye kundi la watu jobless nchini. Wakati Mbowe alipowatangazia wajumbe wa baraza kuu la Chadema kuwa Dr. Slaa anaachwa na mawimbi na muda kuna jambo hakulisema kwa ukamilifu. Katika muda huu ambao Slaa hatashiriki shughuli za chama, hatalipwa mshahara wala posho...
 9. Z

  CCM bahati ya mtende

  Vyama vya upinzani Tanzania havijajenga uhuru wa mawazo unaoruhusu ushindani wa kisiasa ndani ya vyama hivyo, ndio maana mashabiki wa vyama vya upinzani wanapata shida kuelewa kinachoendelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi kwenye kumtafuta mgombea wake wa urais. CCM imefanya kazi nzuri kuliongoza...
 10. Z

  Material za Slab ya ghorofa...

  Wakuu, Kuna materials kwa ajili ya slab tunauza. Ni complete set kuanzia marine boards (50), ,mirunda (300), mbao 2x4 (100),1x6 (40), 1x9 (45). Vifaa vimetumika mara moja tu. Hii set inatosha kwa slab ya sq. m. 160. Vifaa viko Kibada karibu na nyumba za NSSF na NHC. Kwa mawasiliano zaidi piga...
 11. Z

  Dr. Slaa, chagua maneno...

  Dr. Slaa ni mwanasiasa mlaghai. Siku za hizi karibuni Dr. Slaa amekuwa akisema maneno bila kupima maana na ujumbe unaobebwa na maneno hayo. Matokeo yake, Dr. Slaa amekuwa sababu ya mitafaruku kutokana na kauli zake. Hali hiyo tuliishuhudia hata hapa JF ambapo sasa hivi Dr. Slaa anapaogopa...
 12. Z

  UNAFIKI unatawala Bavicha...

  Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai. Miezi kadhaa iliyopita jumuiya ya vijana ya Chadema, Bavicha, ilitangaza kumvua uongozi na kumfukuza uanachama aliyekuwa makamu mwenyekiti wa jumuiya hiyo Bi. Juliana Shonza. Kosa lake lilitangazwa kuwa ni "usaliti". Aliyefichua...
 13. Z

  Dr. Slaa sio msomi?

  Dr. Slaa ni mwanasiasa mlaghai. Tangu sakata la kumnyima Zitto fursa ya kugombea uenyekiti kwenye uchaguzi ujao lilipoanza, Dr. Slaa amejiweka pembeni kama vile hauhusiki. Pamoja na kwamba Dr. Slaa analipwa mamilioni kila mwezi kwa ajili ya kuitumikia Chadema, kazi nyingi za Chadema...
 14. Z

  Kambi ya Upinzani Bungeni IVUNJWE...

  Baada ya Mbowe kusema mbele ya watanzania kuwa Zitto Kabwe ni mnafiki, itakuwa ni unafiki zaidi kwa Mbowe kuendelea kufanya kazi na Zitto kama Naibu Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni. Hii ni sawa na siku Kikwete akisema hadharani kuwa Pinda ni mnafiki na kumvua vyeo vyote vya CCM lakini...
 15. Z

  Uwekezaji Kwenye Mafuta na Gesi: Haraka ya nini?

  Nauliza haraka ya nini? Mboni tuko mbioni? Kuyafukua madini, mwaka huu si mwakani? Ukifuatilia mijadala inayozunguka uwekezaji kwenye mafuta na gesi, utagundua kuwa wapo watanzania (tena wasomi) ambao hawajatambua kuwa rasilimali tunayoizungumzia ina uwezo wa kubadilisha kabisa hali ya maisha...
 16. Z

  Uwekezaji Kwenye Mafuta na Gesi - Gharama Ziko Ndani ya Uwezo Wetu...

  Tuambiane ukweli. Tukishaambiana ukweli, tufanye maamuzi. Tukishafanya maamuzi, tukubali kuishi na matokea ya maamuzi yetu. Kumekuwa na kauli kuwa uwekezaji kwenye uchimbaji mafuta na gesi ni wa gharama kubwa kiasi kwamba wawekezaji wa ndani hawana uwezo wa kumudu gharama yake. Kauli hii...
 17. Z

  Uwekezaji Kwenye Mafuta na Gesi - Tuongeze Umakini...

  Nimemsikiliza Rais Kikwete akitoa ufafanuzi juu ya jinsi wawekezaji katika uchimbaji wa gesi na mafuta watakavyolipa gharama zao za uwekezaji. Hata hivyo, katika maelezo ya Rais kuna jambo halijatolewa ufafanuzi. Rais anasema, kinachofanywa sasa na serikali ni kujenga uwezo wa kuhakiki...
 18. Z

  Uwekezaji kwenye mafuta na gesi - tuongeze umakini...

  Nimemsikiliza Rais Kikwete akitoa ufafanuzi juu ya jinsi wawekezaji katika uchimbaji wa gesi na mafuta watakavyolipa gharama zao za uwekezaji. Hata hivyo, katika maelezo ya Rais kuna jambo halijatolewa ufafanuzi. Rais anasema, kinachofanywa sasa na serikali ni kujenga uwezo wa kuhakiki mapato...
 19. Z

  Mtei - Mbowe - BoT; Connecting the dots...

  Mwenyekti wa kwanza wa CHADEMA, Mzee Edwin Mtei, alikuwa Gavana wa BoT. Mwenyeti wa sasa wa CHADEMA, Mh. Freeman Mbowe, alikuwa mwajiriwa wa BoT. Kabla ya kupata uenyeti wa CHADEMA, Mh. Freeman Mbowe, alimuoa mtoto wa Mwenyekiti wa kwanza wa CHADEMA, Mzee Edwin Mtei. Mwenyekiti wa sasa wa...
 20. Z

  Mangula kawapiga bao wapinzani...

  Kwenye Siasa hakuna vitu vinavyotokea tu hivihivi. Kila jambo unaloliona ujue limepangwa. Katika mazungumzo kati ya Ikulu na viongozi wa vyama vya siasa, Mangula alionekana tofauti kabisa na wengine wote waliohudhuria mkutano huo. Yapasa kujiuliza kwanini Mangula alikuwa tofauti? Jibu lake ni...
Top Bottom