Search results

 1. N

  Salary slip

  Ndio titles niliwekaa Kama internship
 2. N

  Salary slip

  Iko tofaut na za wengine na ndio walicho kionaa kwani wameajir watu wengine kwenye NGO niliyo nafanya kibarua kulinganisha payslip hazilandani kabisa mkuu .. sijajua mpaka Sasa my wayfoward ili niilinde position yng maana wenzangu nilio piga nao niterview wameanza kazi
 3. N

  Salary slip

  Hapana tulikuwa tunasign contract ya miez mitatu mitatu Kaka sio kwa maneno
 4. N

  Salary slip

  Yaaa nilikuwa ni kibaruaa na malipo yangu yalikuwaa ni ya kulipwa kwa kupitia JDR system na sikuwa na contract .. contract zetu zilikua ni za miezi mitatu mitatu
 5. N

  Salary slip

  Sorry guys nilifanya interview na NGO flani na nilifanikiwa kupitaa na waliniomba nisubmit baadhi ya documents na salary slip ...but pale ninapo fanyia kibarua walinitengenezea salary slip iliyo zua utata kwa Hawa waajir wapya je nifanye Nini ili nafasi yangu iwe salamaa??
 6. N

  Reference check

  Jee ikifikia hatua ya referees kuitwaa huwa inachukuaa mda gani kuitwaa kaziniu Sent using Jamii Forums mobile app
 7. N

  Baada ya usaili ni sawa kumpigia simu HR

  Mzee hapo tumepitaa somaa vizurii Sent using Jamii Forums mobile app
 8. N

  Baada ya usaili ni sawa kumpigia simu HR

  Hi ndio ya pili kikubwaa nilipo toka hawakuniambia ...je nikimtumia HR email ya kumuuliza nitakuwa nimekoseaa Sent using Jamii Forums mobile app
 9. N

  Baada ya usaili ni sawa kumpigia simu HR

  Sorry nataka kujua jee ni Haki kumpigiaa HR simu baada ya zoezi la oral interview? Na je baada ya oral lazima wakupigie simu if umekosa au umepataa? Sent using Jamii Forums mobile app
 10. N

  Kupungua kwa tumbo la mama mwenye mimba miezi 9

  Sijakuelewa hapa please Sent using Jamii Forums mobile app
 11. N

  Kupungua kwa tumbo la mama mwenye mimba miezi 9

  Ndugu zangu naomba msaada wenu kitu gani kinapelekea mjamzito wa miezi tisa tumbo kupungua ghafla na kuwa dogo???? Sent using Jamii Forums mobile app
 12. N

  Nataka kuanza kuzungusha mitumba ya kike vyuoni

  Ansante kk Sent using Jamii Forums mobile app
 13. N

  Nataka kuanza kuzungusha mitumba ya kike vyuoni

  Nipo Dodoma kaka Sent using Jamii Forums mobile app
 14. N

  Nataka kuanza kuzungusha mitumba ya kike vyuoni

  Nipo dodoma kaka Sent using Jamii Forums mobile app
 15. N

  Nataka kuanza kuzungusha mitumba ya kike vyuoni

  Kukopesha Ni swala la uaminifuu Sent using Jamii Forums mobile app
 16. N

  Nataka kuanza kuzungusha mitumba ya kike vyuoni

  Sorry guys nataka niwe nazungusha nguoo za kike za mitumba vyuoni je inaweza kunisaidia na kunifikisha sehemu nzuri...maana nimemalizaa chuo mpaka Sasa ajira. Ngumu.. Ushauri wadau Sent using Jamii Forums mobile app
 17. N

  Ajira Utumishi - Recruitment portal

  Thanks mkuu mpaka sasa Nina 62% je na sehem nyingine nimesha jazz tayar
 18. N

  Ajira Utumishi - Recruitment portal

  Wapendwa plz nijuzeni kidogo kola nikijaza katika kipengele cha professional qualifications haisave info plz msaada kwa yeyote alie wahi kuaply online via recruitment portal anisaidie manake sijakamilisha 70% ili nitume maombi
 19. N

  Uchumba sio kufanya mapenzi

  Daaa ansanteni kwa ushaur sema nimempenda damni but najitahidi kumpotezea but roho ngumu..wadau mwenye neno ra busala la kumwambia huyu gashi anisaidie afu sio siri anagegedwa na wengine inavoonekana na mm hataki na kama kugegeda tu Niko vizur ishu kwake ni kwamba kwao et wachumba hawagegedani...
 20. N

  Uchumba sio kufanya mapenzi

  Jamani nina mchumba wangu mwanzo tunaanza nilikuwa nafanya nae mapenzi sana lakini sasa kabadilika hataki nifanye nae mapenzi anadai uchumba sio kufanya mapenzi na anasema nikimlazimisha ataniacha uchumba ndo basi. Wadau mnishauri nifanyaje?
Top Bottom