Search results

 1. N

  My confession: Hornet is Positive

  Pole sana. Nakusihi uanze dawa mapema.
 2. N

  CRDB, fanyieni kazi tatizo la business transactions, nmeshindwa kupata huduma

  Mkuu nakuunga mkono, CRDB inazingua sana. Mimi nimeshajaribu kujiunga na Internet Banking zaidi ya mara tano kwa matawi matatu tofauti hadi leo kimya. Kila baada ya kujaza fomu naambiwa nitapokea email hadi leo tangu nijaze fomu ya mwisho mwezi umeisha email haijafika. Nadhani hawa jamaa...
 3. N

  Uefa Champions League: Leo ndio hukumu ya Real Madrid

  Watu wanaroho ngumu, eti Madrid fomu yao imekuwa sio nzuri.Wakati ametoka kuwafunga kwenu tena Kipa ndye aliwabeba Buyern walikuwa wanakufa hata 5. Leo hakuna nafasi ya buyern kumfunga madrid anakuja tu kukamilisha ratiba. Hawa ndio madrid mabingwa wa kihistoria na mwaka huu wanaweka historia...
 4. N

  CHADEMA na UKAWA wataanguka vibaya sana 2020 tofauti na awamu zilizopita

  Dah:confused::confused::confused:!.. Hii dunia ya ajabu sana yaani watu wameshachagua serikali ya kuwapatia maji,madawa hospitalini,wanafunzi hawana madawati lakini bado wanataka wapinzani waongelee tena mambo hayo. Sasa wataongelea wapi wakati nasikia mikutano ya hadhara imezuiwa,mikutano ya...
 5. N

  Pongezi kwa Tigo Tanzania

  Habari zenu Wakuu. Napenda kutoa pongezi kwa Mtandao wa Tigo Tanzania kwa kutambua wateja wao muhimu na kuwapa kipaumbele kwenye huduma zao. Juzi nilipiga simu Tigo huduma kwa Wateja(Namba 100) na kupokelewa na maneno yanayosema "Wewe ni mteja wetu wa Muhimu simu yako haitowekwa kwenye foleni"...
 6. N

  Mama Samia Suluhu anajielewa sana na ana roho safi

  Hivi alishaghairi kupiga chini kazi?!.
 7. N

  Become A Satellite Tv Installar; Make Money installing DSTV,AZAM,FTA

  Mkuu ungeanzisha uzi wako lingekuwa jambo la busara sana,Ni bure pia kuanzisha uzi wako ukatangaza hiyo huduma yako.
 8. N

  MJADALA: Kusoma Engineering Tanzania ni kujipunguzia siku za kuishi

  Nimeelewa sasa,kuna mshikaji wetu tulikuwa tunamuita Engineer tangu Olevel na hakuwa na mpinzani katika masomo ya hisabati na fizikia lakini baada ya kufaulu vzr kabisa form 6.Hakutaka masifa tena ya Engineer akaenda zake kusoma Uhasibu hivi sasa tayari ana CPA yake na ameajiriwa sehemu nzuri...
 9. N

  Hudson Kamoga wa Kipindi cha 360 ya Clouds TV ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya

  The only source of knowledge is experience. Albert Einstein.
 10. N

  Rais Magufuli amteua Ally Hapi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni

  Hivi hizi nafasi za kurudisha fadhila na kupozea makada zitafutwa lini, mbona nazo zinaongeza matumizi tu yasiyo ya lazima?.
 11. N

  Young Africans vs Toto

  Jamani vipi,Mnyama bado kapakatwa?..
 12. N

  Wasanii wakali zaidi katika storytelling songs

  kisa demu na sitaki demu - Msitu wa vina
 13. N

  CUF kupewa majimbo 35, NLD 5, NCCR Mageuzi 15 ni haki?

  Bhah Gamba leo unawatakia mema UKAWA kweli haya ni maajabu!..
 14. N

  Hii yaweza kuwa sababu ya CHADEMA kumkubali Lowassa

  Dah,kweli wewe Jinga!..
 15. N

  Msimamo: Nitasimama na Majemedari Ninaowajua, Tuliopigana Vita Pamoja Nao...

  Kwenye Siasa hakuna Adui wa Kudumu wala rafiki wa kudumu.
 16. N

  Msaada: Tofauti ya Diploma na Ordinary Diploma

  wanachukua kwa ku-reseat mitihani ya 4m6 na kupata principal za kuingia chuo lkn siyo kwa kutumia cheti cha diploma..
 17. N

  NACTE imevishusha hadhi Vyuo 16 nchini na Vitatu vimefutiwa usajili

  du hawa mawingu mm ndiyo siwezi kuangalia kabisa sauti kama inatoka kwenye shimo hivi wenyewe hawaisikii?..
 18. N

  Ni mkoa gani ambao tume imemaliza kuandikisha wapiga kura?

  Mtwara wamemaliza!.. Kwa wilaya ambayo mm nipo zoezi zililifanyika kwa mafanikio bila malalamiko yoyote.Mimi binafsi nilikuwa ninatembelea vituo vya uandikishaji vya mijini na vijijini mambo yameenda vyema.
 19. N

  Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

  HUyu May huwa wanamsifia nn mbona mm nimemuona kama Bolt tu yy ni kukimbia tu ulingoni!...
Top Bottom