Search results

 1. N

  Pongezi kwa Tigo Tanzania

  Habari zenu Wakuu. Napenda kutoa pongezi kwa Mtandao wa Tigo Tanzania kwa kutambua wateja wao muhimu na kuwapa kipaumbele kwenye huduma zao. Juzi nilipiga simu Tigo huduma kwa Wateja(Namba 100) na kupokelewa na maneno yanayosema "Wewe ni mteja wetu wa Muhimu simu yako haitowekwa kwenye foleni"...
 2. N

  Msaada:Utaratibu na Namna ya kutuma maombi ya mkopo HESLB.

  Habari zenu wakuu,nina mdogo wangu amemaliza fomu 6 mwaka huu,nilikuwa ninahitaji kujua namna ya kutuma maombi ya mkopo maana naona karibia kila mwaka taratibu zinabadilika nimepitia website ya HESLB sijaona maelezo ya uombaji kwa mwaka huu,pia niona nyuzi za wadau wakiomba tu msaada katika...
 3. N

  Employment letter kutoka PCCB

  Habari zenu wana JF kuna dogo amepata kazi PCCB lakini hajapata barua ya hiyo ya call for employment ambazo, walisema wangetuma, dogo alitumia sanduku la barua la ofisi sasa imekuwa kero kila siku ananiulizia kama imefika na jana tu tumeangalia haijafika, hivyo nilitakakujua kama kuna mdau...
 4. N

  Habari za uhakika: Dozi ya Manure yakamilika

  MELWOOD,LIVERPOOL Habari za uhakika nilizozipata hivi punde zinasema kwamba dozi kwa ajili ya timu inayosumbuliwa na maradhi kadhaa ya manure imekamilika,na dozi hiyo itasaidia timu hii kuwa na amani na kubaki kusubiria tu kuona msimu ujao utakuwaje maana ndoto zao za kuwemo katika 4 bora ya...
 5. N

  Tukumbushane haya Majarida!..

  Nakumbuka miaka ya 90 na mwanzoni mwa 2000 kulikuwa na majarida ambayo yalikuwa gumzo mtaani kila yakitoka,majarida haya yalikuwa yakitoka mara moja kwa mwezi. Kulikuwa na Sani -burudisho la wasomaji,Bongo,Tabasamu,Ambha. Leo ningependa tukumbushane vichwa vya magazeti hayo...
 6. N

  Nokia Ovi Store Update!..

  Wakuu ninatumia nokia c3-01,ovi store yangu ilikuwa outdated nikifungua inaniletea current version niupdate lakini nikitaka ku-update ina-fail naambiwa "there is no secure connection" nimehangaika sana kutafuta hyo secure connection na suluhu ya hilo tatizo wapi. Ndipo nikaja kugundua...
 7. N

  PAYE:Hivi hawa wenzetu hata hii kodi hawalipi?..

  Leo nilikuwa pale kwenye ofisi za fastjet kukawa na mteja mmoja anahudumiwa akaambiwa siku ya safari anayotapa ipo tiketi ya kuanzia 59,000 jamaa akaanza kudai aaah,mbona mnatangaza ni tsh 32000 yule mhudumu akampa na vipeperushi akamwambia kwenye matangazo yetu yote tunasema hiyo ni bila...
 8. N

  Nani anaangalia mkasi?

  P-funk,majani,kinywele kimoja,mzee wa nazi nimependa jamaa anavyofunga hasa mambo ya malavidavi?..
 9. N

  Nimeumia sana,nimesikitika sana,nimefadhaika sana!...

  Wapenzi leo siku yangu imeisha vibaya kweli,baada ya kazi nikawa nimekumbuka song flan hivi la Westlife maaana mi ni shabiki wao toka kitambo enzi za cost to cost hadi Lighthouse.Sasa hilo song ninalo kwenye tape na walkman yangu ninaiona mzigo ikabidi niutafute Youtube hapo ndy balaa...
 10. N

  Aisee!Kumbe na huyu mzee yupo JF!...

  Jamani nilikuwa maeneo fulani mzee mmoja katika kutoa nasaha ili vijana wamuelewe vizuri si akatupia stori fulani hivi ya Mtambuzi kama ilivyo!... Nikatabasamu nikasema duh,kumbe na mzee yupo JF nikatamani ningemsoma nikajua na michango yake kule MMU lakini inawezekana pia alizisoma zamani...
 11. N

  Msaada: Zilipo ofisi za world vision Dar es salaam!...

  Habari za asubuhi wanajamvi,ninashida katika ofisi hizo za world vision hapa Dar es salaam lakini sifahamu zilipo na nimesha google sana bila mafanikio ninaomba anaefahamu anifahamishe wapendwa. Ninatanguliza shukrani.
 12. N

  Duh!...we mkareeee!..

  Jamani nataka kutoa heshima kwa jamaa amepita hapa mbele yangu nikajikuta ninamkodorea macho hadi anatokomea,jamaa amebeba ndoo kichwani sinashaka inamaji au mafuta halafu amepanda kibaskeli cha tairi moja speed 120,nimeshangazwa jinsi anavyokwepa mabonde njia zetu za uswahilini utapenda,mambo...
 13. N

  Heee Hamadi!...

  Cha kuokota siyo cha kuiba mwenye mali ni mjinga,jamani nimeokota 350 asubuhi hii ni bahati jamani ww mara ya mwisho uliokota pesa lini?...
 14. N

  Mwenye namba ya Banza Stone!..

  Jana nilisikia habari zilizonisikitisha sana kuhusu mwimbaji anayenivutia sana katika kazi zake Mwalimu wa Walimu Banza Stone kwamba alikiri katika radio hiyo amekata tamaa ya maisha na sasa anatunga nyimbo ambazo ikitokea akifa basi zitabaki kumbukumbu ya sisi mashabiki wake. Kwakweli...
 15. N

  What do you know about Julius Sello Malema?!..

  Always am eager to know about Julius Malema but i have failed to get enough time to find details information about this interesting South african young man only 31 yrs old. Today I heard from bbc that Military camp in South Africa are placed in precarious situation,because Julius Malema...
 16. N

  Wananchi Kwimba waigomea Tume ya kutoa Maoni

  Wananchi wa wilaya ya kwimba mkoani,wamegoma kutoa maoni katika tume ya kukusanya maoni baada ya mkuu wa wilaya hyo kutoa wito kwa wananchi kujitokeza. Wananchi hao wamesema kwamba hawawezi kutoa maoni ya katiba mpya wakati hiyo katiba ya zamani hawaijui inavyofanana toka iundwe hivyo hawawezi...
 17. N

  Huu si ubabaishaji wa NMB?!..

  Jamani NMB bank hivi hizi ATM zao kutoa noti za elfu 10 tu tatizo ni teknologia yao au ni uhuni tu,halafu sijawahi kusikia wakitolea maelezo swala. Mara nyingi miamala yangu inanitaka nitoe na elfu 5 nashindwa na nimechunguza ni ATM zao zote zilizoko posta,Magomeni,Temeke,ninaishia kutoa...
Top Bottom