Moja kwa moja naomba niende kwenye mada wakuu (me/ke).Leo nimeona kidogo niweke wazi suala la single mother's katika relation ship hasa kwa wale wanaotaka kuoa but excuse me I stand to be collected and not insulted. Direct let us move to the point (s) hereinbelow:-
1/ Single mother's hawatakiwi...
Habarini za Jumapili wakuu? Moja kwa moja bango linajieleza hapo juu.
Nina mchepuko wangu fulani hivi ambapo hadi kufikia sasa tuna muda kidogo katika mahusiano yetu. Off coz niseme tu nampenda lakini sijawekeza kitu chochote cha thamani kwake.
Issue iko hivi simtafuti kwenye simu na yeye pia...
Habarini wana jamvi heshima kwenu nyote ambao wote mnaendelea kupigania kupata mkate wa siku ili mradi tu mkono uweze kwenda kinywani.
Wakuu wiki iliyopita nilipata msala wa "main chick"wangu kumradhi kwa kutumia kiswa-english kwa kuzifumania sms za mwanamke mwingine kwenye "my cellural phone"...
Kumekucha na pilika pilika za hapa na pale ili mradi kupata mkate wetu wa kila siku ingawa mtaani hali si hali upande wa uchumi.Wana jamvi kuna habari kwamba Tanesco walitumia takribani bilioni 32 kukwepa kitanzi cha hukumu ya escrow.Hivi wadau Tanesco hawana washauri wa kisheria?na kama wapo...
Wanajukwaa naombeni ushauri wenu wa kitaalamu zaidi ila ulenge kwenye mambo yafuatayo:-ufanisi(performance),fuel consuption,durability,prices,spare parts haswa upatikanaji wake katika gari hizi tatu hapa chini:-
a/Toyota verossa.
b/Toyota mark x.
c/Toyota altezza.
Ushauri wenu ni muhimu sana...
Nimepata uhamisho wa kuhamia Mkoa Mpya wa Songwe kwa yeyote ambaye ana ufahamu wa kutosha naomba anijuze ni Wilaya gani kwa kufanyia kazi kwa kuzingatia unafuu wa maisha,ubora wa miundo mbinu,hali ya hewa and so forth napenda kuwasilisha mbele yenu wana jukwaa.