Search results

 1. C

  Natafuta kijana mwenye uzoefu wa mauzo

  Natafuta kijana mwenye uzoefu wa mauzo au hana uzoefu lakini akionyeshwa fursa anaweza kuchakarika kuigeuza bidhaa kuwa fedha. anaweza kuwa na elimu ya kidato cha Nne, Sita, cheti au stashahada kwenye masoko. aliye tayari kujituma na kukabidhiwa biashara ili apambane. Uaminifu unatakiwa kwa...
 2. C

  Ujumbe wa Askofu Dk. Stephen Munga kwa kusanyiko la viongozi wa dini Ikulu

  Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania [KKKT] huko Tanga, Dk. Stephen Munga ameandika ujumbe unaotafakarisha. Ujumbe huo ameupost katika ukurasa wa facebook wa askofu mmoja aliyeandika maoni yake kuhusiana na kauli ya mmoja wa wachungaji waliohudhuria kikao baina ya viongozi wa dini...
 3. C

  Kagame na Museveni wametangulia kumpongeza Uhuru

  Tume ya taifa ya uchaguzi Kenya imemtangaza Rais Uhuru Kenyatta wa chama cha Jubilee kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika Jumanne. Rais Kenyatta alipata kura 8, 203, 290.. ambayo ni asilimia 54 naye mpinzani wake mkuu, mgombea wa muungano wa upinzani wa National Super Alliance Raila...
 4. C

  ACACIA warns of mine closure unless Tanzania lifts export ban

  Acacia Mining, one of the largest gold producers in Africa, will be forced to close its flagship mine in Tanzania unless the government lifts an export ban that has seen the company chew through almost half its cash pile in the past six months. The FTSE 250 company, which is majority owned by...
 5. C

  Mikataba inasainiwa "gizani", Ripoti inakabidhiwa hadharani! Tuendelee kushangilia?

  Kuna mambo yanatafakarisha sana. Na hili ni miongoni mwa mambo hayo! Leo ripoti ya pili ya "wataalamu" (wanasheria na wachumi) inakabidhiwa kwa Rais. Tangu juzi kumekuwa na hamasa kubwa mitandaoni ya kututaka wananchi leo tukae mbele ya tv kutazama tukuo hilo. Kuna tuswali twa kujiuliza: 1...
 6. C

  Mikataba inasainiwa "gizani", Ripoti inakabidhiwa hadharani! Tuendelee kushangilia?

  Kuna mambo yanatafakarisha sana. Na hili ni miongoni mwa mambo hayo! Leo ripoti ya pili ya "wataalamu" (wanasheria na wachumi) inakabidhiwa kwa Rais. Tangu juzi kumekuwa na hamasa kubwa mitandaoni ya kututaka wananchi leo tukae mbele ya tv kutazama tukuo hilo. Kuna tuswali twa kujiuliza: 1...
 7. C

  Msaada kwa walio UDSM

  Wakuu, heshima kwenu! Nina mtoto wa mdogo wangu anasoma hapo UDSM mwaka wa kwanza. Alibahatika kupata mkopo, lakini namlipia malazi. Kinachonishangaza ni kwamba tangu semister hii ianze mpaka leo anadai hawajaingiziwa pesa kwa hiyo inabidi nimpe pesa ya kula kila siku. Nimeona semister...
 8. C

  Mwenye makala hii iliyochapwa na Mawio

  Wakuu, heshima kwenu. Baada ya vyama vya siasa kupata wagombea wake katika nafasi za urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 uliomuweka madarakani Mheshimiwa John Pombe Magufuli, kuna makala ilichapwa katika gazeti la Mawio ambayo ilimchambua mmoja wa wagombea kuhusu tabia na matendo yake...
 9. C

  Mauzo ya hisa DSE yashuka vibaya

  Mauzo ya hisa katika soko la hisa -Dar es Salaam Stock Exchange yameshuka kwa kiwango cha kutisha. Mwananchi Online wameripoti kuwa taarifa ya DSE imesema mauzo yameshuka kwa asilimia 87 kutoka Sh Bilioni 4 hadi Sh milioni 500 Chanzo:Mwananchi Online
 10. C

  Mbowe asakwa na polisi

  Mwenyekiti wa Chadema, aitwa kituo cha polisi Chanzo: Mwananchi online
 11. C

  Madawati na maadili ya watoto wetu

  Wazo la kuandika uzi huu ninalipata nikiwa katika ghorofa ya kwanza ya jengo la ofisi za halmashauri ya wilaya moja mkoani Arusha. Nimesimama nikiwa ninasubiri kuingia kupata huduma katika ofisi mojawapo katika jengo hili. Kwa chini ninaona lundo la madawati yakipakiwa kwenye gari. Nilipododosa...
Top Bottom