Search results

 1. T

  Siasa yaleta kilio kwa wakulima wa miwa bonde la Kilombero

  Kwanza niseme wazi, mimi ni kijana na mmoja wa waathirika wa siasa kwenye uvunaji wa miwa msimu huu, bonde la mto kilombero. Week moja imepita tangu ekari zaidi ya 2000 za wakulima wa nje wa miwa ziungue kwa dharula katika maeneo ya Matambiko, ilundo, msindazi na ruhembe na kusababisha hasara...
 2. T

  Mpenzi wangu ni mbinafsi sana

  Habari wakuuuu Nina changamoto kidogo na mpenzi wangu ambaye nimekuwa nae kwenye uhusiano Kama miaka minne hivi mpaka Sasa Wakati naanza nae uhusiano alinikuta niko vizuri kiuchumi, kifupi nilikuwa namgharamia kama ambavyo mwanaume anapaswa kumjali mpenzi wake kwa kila kitu, bila kujali ya...
 3. T

  Wizi na utapeli wa ubinafsishaji wa mashirika ya umma unaoendelea kufumbiwa macho na watawala: case study Kilombero Sugar Company.

  Habari wana jamvi, kwa mda mrefu kidogo nimejaribu kufanya uchunguzi kuhusiana na uuzwaji wa mashirika yetu ya umma ulivyofanyika miaka kadhaaa nyuma, nakiri wazi ubinafsishaji Ni Jambo jema kwa uchumi wa kisasa ila ulinde maslahi ya pande zote. Kilombero Sugar company Ni muunganiko wa viwanda...
 4. T

  Kuhusu mwendokasi Dar es salaam

  INASEMEKANA Pato lao kwa siku Ni zaidi ya million 75 tsh. Kusanyo la kituo cha kimara peke yake Ni zaidi ya Tsh 35 million. Mwendokasi ulipa Kodi ya barabara ya Tsh million 9 kwa serikali kila siku. Wakati madereva wanaajiliwa waliambiwa mshaara million 1, baaada ya kuanza kazi ikashuka...
 5. T

  Labda ndo sababu ya Taifa stars kwenda na bombardier uko cape verde

  Fahamu kuhusu kisiwa cha Cape Verde - JamiiForums
 6. T

  Nilichojifunza, usikopeshe pesa rafiki au usimkopee rafiki

  Yapata miezi miwili tangu nimkopee rafiki yangu pesa toka kwa shemeji yake ambaye ni mpenzi wangu, anachukulia poa kulipa ilo deni. Huu ni mwezi wa pili sasa na kuna wakati namuona ana pesa ya kuweza kulipa ila halipi na kila nikimkumbusha ujifanya hana pesa. Leo bi kidude kawaka sana kuhusu...
 7. T

  Wajuzi wa mambo, Puma energy Tanzania ltd ni kampuni ya serikali?

  Katika teuzi za leo nimeona mhe raisi ameteuwa mkurugenzi wa iyo kampuni... Na je hii kampuni ndo hii yenye vituo vya mafuta vilivyokuwa BP apo mwanzo? Sent using Jamii Forums mobile app
 8. T

  Msaada: Kuna number ya kujua kama gari yako inadaiwa kwa makosa barabarani?

  Naomba kujuzwa kama kuna number ya kutaka kujua kama gari yako inadaiwa kwa makosa barabarani. Msaada waungwana!
 9. T

  Umeme Hutumika Zaidi Sauti ya Redio Ifunguliwapo Kubwa zaidi au La?

  Katika kusikiliza redio, kunaweza kutokea swali kwamba je, umeme hutumika zaidi ikiwa redio itafunguliwa kwa sauti kubwa zaidi? Mtu anaweza kujibu kwamba hakuna hata haja ya kujadili jambo kama ilo, kwani redio hutoa sauti kutokana na umeme, hivyo ni dhairi umeme utatumika zaidi redio...
 10. T

  Maisha ya sasa ya Dar es salaam na ya zamani.

  Dar es salaam ni mji unaokuwa kwa kasi mno katika bara la Africa. Katika pilika pilika za maisha mji wa Dar es salaam upokea wageni wengi pengine kuliko jiji lolote hapa Tanzania. Miaka ya 2000, Jiji la Dar es salaam lilikuwa na idadi ndogo ya watu isiyozidi hata million tano naimani kwa sasa...
 11. T

  Hivi zile zaidi ya millioni mia tano za yule mshindi wa Big brother zimeyeyuka?

  Wakati huu wa maisha magumu na pesa imekuwa ngumu kupatikana, Nikawaza zile millioni mia tano za yule aliyekuwa mshindi wa shindano la Big brother Afrika, bwana Idriss Sultan ni kwamba ametumbua zile pesa zote zimeisha na kubaki kapuku bila ya kuwa na uwekezaji wowote mpaka sasa kubaki mweupe na...
 12. T

  Nafahaulisha chumba maeneo ya kimara mwisho mita mia tu kutoka barabara kuu kwa kodi ya miezi mitatu

  Habari wana jamvi, natafuta wa kumwachia chumba kwa kodi ya miezi mitatu iliyosalia. Chumba ni mpya na ina gypsum na ni mita mia ivi kutoka barabara kuu ya mwendo kasi. Na mwenye nyumba wala haishi hapo na hama kwa kuwa chumba hakina choo ndani. Nimepata chenye choo ndani kwa mwenye kuitaji ani...
 13. T

  Msaada wa kuelekezwa jinsi ya kutumia machine ya EFD mpaka ikatoa risiti

  Naomba msaada wa jinsi ya kutumia machine ya EFD mpaka ikatoa risiti tafadhali wapendwa
 14. T

  Naomba msaada wataalamu

  Nimedowload GTA V ili niweze cheza kwenye PC na nikainstall vizuri ila kila nikitaka kucheza inaniambia hii version sio kwa PC yangu nitafute version itakayoendana na PC yangu..nimeambatanisha na picha ya jinsi inavyoniambia je nifanyeje watalaamu..naomba msaada wakuu..
 15. T

  Wimbi la vijana wa Kilombero kukimbilia Dar es Salaam

  Kuna wimbi kubwa la vijana wa wa kutoka vijiji vya Msowelo, Ruhembe, Kidodi, Nyamvisi na Ruaha, kuja kwa wingi mjini Dar es salaam kwa kutafuta maisha kiasi ambacho kwenye ivyo vijiji hakuna tena vijana bali ni wazee tu wamebaki. Wengi ya wasichana waliotoka kwenye ivyo vijiji ni wafanyakazi wa...
 16. T

  Msaada mwenye nyimbo ya Vibration Sound-mwewe

  Nimekuwa nikiitafuta kwa mda mrefu sana nyimbo ya Vibration Sound ikiitwa mwewe bila mafanikio, naamini hapa wana jamvi mwaweza nisaidia naomba msaada wenu wakuu.....naipenda sana iyo nyimbo...asante.
 17. T

  Msaada: XINPUT1_3 dll is missing, wataalamu wa computer

  Nimedownloads games ila kila nikitaka kucheza inaniambia XINPUT1_3.dll is missing, je nifanyeje kusolve tatizo?
 18. T

  Mtandao gani wenye bundles za internet bora?

  Naomba msaada wa kufahamishwa mtandao upi wa simu una bundles nzuri na za bei nafuu? Mimi uwa napenda sana kudownload movies, series nk, sasa tangu voda waondoe kile kifushi cha masaa 24 kwa sh 1000 bila kikomo kwa sasa nimekwama sijui nitumie mtandao gani wa bundles zitakazonifaaa. Msaada...
 19. T

  Tigo wamenikopesha pesa

  Kuna huduma tigo wameanzisha ya kukopesha pesa kuanzia 10000 mpaka 20000 na kulipa ndani ya siku saba hadi 21 kwa riba ya 2000 mpaka 4000..Dahh tigo banaaaaa...
 20. T

  Je, wajua kuwa Mlima mrefu kuliko yote Duniani sio Everest?

  Mara nyingi tumefundishwa kuwa mlima mrefu kuliko yote Duniani ni mlima Everest unaopatikana uko bara la asia. Lakini wataalamu hawasemi mlima uo ni mrefu kuliko yote Duniani kama unapima milima kutokea kwenye usawa wa bahari. Ukweli ni kwamba kuna aina mbili za upimaji milima, njia ya kwanza...
Top Bottom