Search results

 1. S

  Hayati Magufuli anashambuliwa kila kona. Siyo kesi, ila mambo yaende; yasipoenda wananchi watawazomea kila kona

  Lakini mkuu,tuliaminishwa mambo karibu yote ni pesa za ndani,na pia mapato yaliongezeka mara dufu sasa inakuaje aache deni kuliko wenzake waliokua na mapato machache na pesa za mikopo huoni either ni ufisadi au propaganda zilikua? Na kama si ufisadi kulikua na haja gani ya propaganda???
 2. S

  True story: Nimeamua kumkataa mtoto rasmi

  Jamaa ni hatari..kwa kifupi hawez waficha home kitu😂😂😂nna wasiwasi huu uzi pia taarifa yake ipo home😂😂😂
 3. S

  True story: Nimeamua kumkataa mtoto rasmi

  Kwa kifupi story inamuhusu jamaa mmoja ambae kikitokea kitu tu kwenye mahusiano yake 'anawataarifu home'😂😂😂
 4. S

  Kituko cha mwaka - Wananchi wa Vunjo wamtuma mwakilishi wao Bungeni kuomba kupewa rasmi ardhi na Serikali ili kufanya makazi mapya

  Kwani mzee kuna sehemu wachaga wamenyimwa kuishi mbona hueleweki?si taratibu za ardhi zinajulikana tu kwa mtanzania yyte anaweza kwenda popote au wanataka wapewe eneo waishi wao tu kama kabila lao?mbona wamejaa kimara kwani walipapataje?hao watu wote waliopo dar walihamiaje? Wewe hakuna ndugu...
 5. S

  Natafuta eneo la kuuza juice

  Natafuta eneo la kuuza juice ya miwa,nina mashine na banda na kila kifaa kinachohitajika hivyo natafuta eneo. Likiwa Tabata segerea stand itafaa zaidi Ni lazima kuena mzunguko mkubwa wa watu. Kwa yeyote mwenye eneo anichek dm
 6. S

  Je, Iran inaweza kugeuza Aircraft Carrier za USA kuwa Shipwreck?

  Walioandika ndio hawana imani sasa au kusoma hujui kaka😀😀
 7. S

  Je, Iran inaweza kugeuza Aircraft Carrier za USA kuwa Shipwreck?

  Walioripoti tu uhakika hawana sasa sisi tuamini vipi
 8. S

  Je, Iran inaweza kugeuza Aircraft Carrier za USA kuwa Shipwreck?

  Mbona hii habari haijakaa kama uhakika ila ni "yasemekana"?
 9. S

  Je, Iran inaweza kugeuza Aircraft Carrier za USA kuwa Shipwreck?

  Semanyie mnaojua mngekua mnasema wapi kadanganya ili na sisi tujifunze ingekua poa sana
 10. S

  Je, Iran inaweza kugeuza Aircraft Carrier za USA kuwa Shipwreck?

  Sasa sababu za kiusalama si ndo kufail kwenyewe boss ..au ulihisi nchi mbili zilipoteza pesa muda na raailimali nyinginezo ili ndege ije isimamishwe kwa sababu za kiusalama???
 11. S

  China yawawekea vikwazo viongozi 28 wa Trump ndani yake yupo Mike Pompeo

  Mkuu ssa kama ni pointless basi hata marekani kufungia watu pia si pointless au??
 12. S

  China yawawekea vikwazo viongozi 28 wa Trump ndani yake yupo Mike Pompeo

  Duh mzee umeielezea China kamaa Tabora yani..yani kama hawanabuwezo wowote inashangaza😀😀
 13. S

  Fahamu kwa undani nadharia ya ‘Lockdown YOYO effect’ , mchezo wa kujaza maji ndoo ilitoboka

  Laki hii sio fact ni mawazo yako tu, unless uthibitishe kwamba watanzania tuna kinga.
 14. S

  Fahamu kwa undani nadharia ya ‘Lockdown YOYO effect’ , mchezo wa kujaza maji ndoo ilitoboka

  Kwa hio kilichotusaidia bongo ni usafi?ambao hayo mataifa yameshindwa?
 15. S

  Msaada ugonjwa wa kuku

  Shukran mkuu
 16. S

  Msaada ugonjwa wa kuku

  Shukran boss alikuja mtaalamu hakua tofauti na wewe unachosema
 17. S

  Msaada ugonjwa wa kuku

  Nimepoteza wawili tyar,nimewaanzishia dawa ya typhoid waliobaki wako vizuri huyo niliewaonesha picha kafa juz na mwingine kafa jana hakuna mwingine bandani mwenye dalili kama hizo tena..so far nashukuru kidogo maana nilikua nawaza sana kama ni mdondo na chanjo haikufaa bas ningepoteza wengi...
 18. S

  Msaada ugonjwa wa kuku

  Shukran boss.
 19. S

  Msaada ugonjwa wa kuku

  Lakini wana chanjo mkuu kuna mtu ameniambia ni typhoid kutokana na kinyesi chao inawezeiana mkuu? Lakini ntafanya na ulichoniam ia
Top Bottom