Search results

 1. R

  Kwa viongozi wangu wa CHADEMA kitaifa kuhusu "CHADEMA ni Msingi"

  Kwanza napenda kutumia fursa hii kuwapongeza kwa uimara mnaouonyesha katika kukisimamia chama katika changamoto nyingi zinazokikumba. Ninyi ni wavumilivu na wenye msimamo katika mapambano haya makali dhidi ya maadui wa chama chetu. Hongera mwenyekiti wangu F. Mbowe pamoja na katibu wako mkuu Dr...
 2. R

  Kitila mwalimu wangu,kuwa mkweli utakuwa huru hata kwenye nafsi

  Mwalimu wangu Kitila Mkumbo hata kabla hujafukuzwa uanachama na chama changu CHADEMA,mimi nilikuwa mfuatiliaji mzuri wa makala zako katika gazeti la Raia Mwema. Hata baada ya kufukuzwa na chama, umeendelea kuandika lakini katika mtazamo tofauti. Eti unataka mbadala wa CCM na CHADEMA. Nakuunga...
 3. R

  CHADEMA tumetegua bomu letu,CCM msije kuthubutu

  Kati ya vitu vilivyokuwa vikiiumiza kichwa "think tank" ya CHADEMA ni huyu bwana mdogo Zitto. Mikakati yake miovu ya kuidhoofisha CHADEMA tuliijua siku nyingi tukambana kuaccess zile sehemu nyeti za chama. Lilipokuja kusanuka hili la "mkakati wa mabadiliko 2013" ikabidi tumbane hapo hapo. Na...
 4. R

  Nawaomba mnikaribishe kama mwanachama mpya hapa jf

  Ndg wanajamvi wote mm ni mwanachama mpya hapa JF niliyejiunga rasmi tarehe 19/12/13. Nimejiunga JF kwa lengo la mm kuchangia mawazo yangu katika ile Tanzania ninayotaka kuiona miaka 25 ijayo na kuendelea. Na pia kujifunza kutoka kwa wanajamvi wengine ili kuboresha uelewa wangu wa mambo kuhusu...
Top Bottom