Search results

 1. M

  Iko wapi haki kwa mfanyabiashara anayetambulika kisheria?

  Nitangulie kwa kusema mie ni mfanyabiasha ninayefanya biashara kisheria. Masikitiko yangu ni kuhusu suala la kuruhusu wanaoitwa machinga kuziba biashara zetu, ivi sie haki yetu iko wapi? Mie nimepanga frem nalipa kodi ya frem, Mie ninalipia TRA mapato Mie nalipia leseni ya biashara Etc...
 2. M

  Eti Mwenge High School Inafungwa mpaka mwezi wa7 kisa haina chakula (wizara ya Elimu mko wapi?)

  Mimi kama mzazi naandika haya kwa machungu makubwa sana. Mwanangu alimaliza kidato cha nne 2011 na akafauru vizuri sana akapangiwa Mwenge High School iliyopo singida mjini, hii ni shule kongwe na maarufu tu. Kama kawaida walianza masomo ya kidato cha tano mwezi wa 7 na baada mwezi shule...
 3. M

  Vitambulisho vya utaifa vs sensa kipi kifanyike?

  Ndugu wana Jf Naomba kuuliza huenda nyie mmepata kuelewa ili mnitoe sintofahamu niliyonayo. Kwenye vyombo vya habari kuna tangazo linalihamasisha wananchi kujiandikisha juu ya vitambulisho vya utaifa. na huku serikali inaandaa sensa,mie nashindwa kuelewa kwanini seriakali itenge mapesa mengi...
 4. M

  Vazi la bikra maria

  Samahani sana kwa wale wenye kutawaliwa na jaziba. naomba nijibiwe swala langu hili linalonisumbua. Toka nizaliwe mpaka leo kila nionapo picha ya Bikra maria huwa naona vazi lake ni Hijabu, lakini nikiiangalia jamii ya wakristo sioni wanawake zao kujipamba kwa mithili ya mavazi ya Bikra maria...
 5. M

  Wana CCM mmejipanga vipi kulinda kura?

  CCM mliwazidi kete chadema kule Igunga na michezo yenu yote waliisoma, sasa naamini kuwa zamu hii ni zamu ya cdm kufanya manuvaz ya nguvu. Nauliza wana ccm je mmejipangapanga vipi kulinda kura? Na je mkishindwa kati Lusinde na Mbowe nani atakuwa mjamzito wa kudum? CCM lindeni kura akina slaa...
 6. M

  Sheria ya mfanyakazi kulipwa siku 7

  Habari zenu ndugu wana sheria. Napenda kujua juu ya hili suala. Nimepata kusikia kuwa mtu akipewa termination kazini eti kwa mujibu wa sheria ya kazi hapa nchini mtu huyo aliyepewa termination anatakiwa kulipwa siku 7 tu katika kila mwaka aliofanya kazi na hiyo kampuni. 1.swali langu ni je hii...
 7. M

  Naomba msaada wa kisheria

  Habari kwa wanaJf wote. Ndugu zangu naomba msaada juu ya suala lifuatalo: Kuna mdogo wangu alikuwa anafanya kazi na moja ya makampuni ya kigeni hapa nchini kwetu, na wakati anaajiriwa alibahatika kupata mkataba wa kudumu(Permanent contract), na alikuwa na takribani miaka 2 anafanya kazi na...
 8. M

  Mwanamke kufanywa kama mnyama ni aibu kubwa kwa tgnp-inkya unafanya nini?

  Ama kweli mwanamke anadharilishwa sana katika tanzania yetu. Jamani akina kaka msifanye hivo nao hawa ni binadamu siyo wanyama, msifanye udharilishaji huu wa kijinsia. Ivi ananile inkya unawajibika kweli? aise usipo angalia kila kukicha unachuma madhambi makubwa kwa cheo ulichojitwisha. ebu...
 9. M

  Je? Chadema mko tayari kurudi CCM kama haya yatafanyika?

  Nimekuwa nikifuatilia sana malalamiko yanayotolewa na ima viongozi au wanachama hai na mfu kuhusu malalamiko mengi juu ya CCM. Sasa napenda kuuliza, iwapo kama CCM ikiwatimua mafisadi wote na ikafanya yale yote ambayo cdm mnalalamikia, je mtakuwa tayari wote kurudi CCM?
 10. M

  Chadema kuajiri wanajeshi nini maana yake?

  Kwa wazalendo wa kitaifa naomba mniweke wazi kuhusu habari zilizochapishwa jana katika gazeti la Hoja kuhusu chadema kutangaza nafasi za ulinzi kwa watanzania waliopitia jeshini.Mimi binafsi nilivyoiona hiyo bahari ilinishitua sana na kunitia hofu kubwa na kunifanya nijiulize maswali mengi...
 11. M

  Napenda kujua kuhusu hili

  Ndugu zangu wa Jf napenda kufundishwa juu ya hili. Nilikuwa nikicheki katika link hii Illuminati Symbols nikaona katika nembo za hawa jamaa wanaojulikana kama freemason(Dini ya shetani) ni namba 666 na imeoneshwa kuwa namba hii ipo kwenye kofia ya Papa. Swali kuna uhusiano gani kati ya papa na...
 12. M

  Mambo ya Google

  Haya wadau hapa mie sijapata picha ya hawa jamaa wa google.
 13. M

  Mambo ya Google haya yamenishangaza

  Wadau hakika nimeshangazwa na kinachoonekana hapa chini kwenye picture hapo chini. Inamaana wadhungu wao hawaibi magari? try on ur pc
Top Bottom