Search results

 1. M

  Kituko JNIA mgahawani: Immigration hii si sawa!

  Hata mimi nashangaa niliona wakati fulani wauza mgahawa uwanja wa ndege wametoka nje ya nchi na Watanzania wapo tu
 2. M

  M Pesa nirudishieni basi pesa zangu

  Mpesa hawafai nimeshakaa wiki mbili nasubiri pesa yangu irudishwe
 3. M

  Msaada: Tofauti ya software na version

  Hahahaaaa. Maelezo yametosheleza kabisa
 4. M

  Askofu Malasusa amestaafu au ameachishwa?

  Msameheni huyo alielaani mwenzie
 5. M

  Utitiri wa Madhehebu ya dini uchunguzwe

  KANISA la Babtist Tanzania limeshauri Serikali kuchunguza utitiri wa madhehebu ya dini na wahubiri nchini, kama wana usajili na vibali halali. Makamu Mwangalizi Mkuu wa Makanisa ya Baptist Tanzania, Mchungaji Michael Nhonya, ameomba ichunguze ikiwa wote wanatenda shughuli zao kwa mujibu wa...
 6. M

  Napenda sana kula mayai lakini sinenepi!

  Ndugu acha kula. Mayai ni hatari na hasa yakizidi
 7. M

  2G, 3G, H, H+, E, alama mbalimbali za Mobile Networks zinazowachanganya watumiaji wengi wa simu

  Hawa voda mbona wameondoa kifurushi cha internet bila kikomo na hawajasema, ukiweka sasa wamasema saa hiyohiyo kifurushi kimekwisha. Nataka nihamie hallotel
 8. M

  Peter msigwa mbunge wa Iringa asifu kasi ya Magufuli

  Ni vema kukubali na kumpongeza mtu anapofanya vizuri hata kama sio wa itukadi yako na humpendi.
 9. M

  Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

  Nakubaliana na kufuta sherehe na tabia ya kuchangisha wengine bila utaratibu lakini pia muda wa sherehe
 10. M

  Vibahasha vya khaki vinavyozuia harakati na kuua ndoto za vijana

  Bwana Yesu iponye nchi yetu ya Tanzania
 11. M

  Ajali Osaka

  Polisi wa usalama wa barabarani nisikilizeni! Huu sasa ndio wakati wa ninyi kufanya kazi kwa bidii na hasa hizo barabara za masafa marefu mikoani. Gari kama Hood ya Mbeya to Arusha, mabasi kama Ngorika ya Arusha Dar na hili la Mghamba la kwneda Mwanza Arusha, yaangalieni sana kwa umakini ninyi...
 12. M

  Ajali Osaka

  Jamani madereva wote naomba sana muwe makini wakati huu hasa wa sikukuu za mwisho na mwanzo wa mwaka, ndio maana ni vema kila bus kabla halijaondoka stendi pamoja na abiria wake kuchukua dakika angalau moja kumshukuru Mungu na kukabidhi safari mikono mwake. Tunawapa pole sana walioumia na ajali...
Top Bottom