Search results

 1. M

  Nitapata wapi mtumba grade A jeans tupu kama suruali au sketi fupi au makoti ya jeans?

  Habari, Naomba kujuzwa ni sehem gani nitapata mtumba grade A kwa Dar es salaam. Natamani kuanza biashara hii ya mtumba lakini jeans tupu na PIA inahitajika mtaji wa kiasi gani? Pia soma:Chimbo la belo za mtumba grade A pasipo na matapeli na waongo zinapatikana wapi kwa Dar es Salaam?
 2. M

  Kwa wenzetu mliotoka chuo mkajiajiri hapo hapo mlifanyaje? Au mkaajiriwa kwa miaka hii ya ajira ngumu?

  Watu wanasema kuna baadhi ya kozi kupata kazi ni mziki mnene mfano: Human resource, BBA, public adm na nyingine za social studies na arts. Kwahiyo wengi tukimaliza chuo huwa tunakaa tu nyumbani. sasa tuleninmaujuzi tufanye nn au tujiakiri vipi? Baada ya kumaliza chuo?
 3. M

  Tabia zipi ukiziona kwa mwenza wako zinakufanya usitamani ndoa?

  Kwa Wanaume na Wanawake. Mimi binafsi mwanaume akiwa na sifa sifa mbele za watu huwa sitamani kuolewa naye.
 4. M

  Nifanyeje niolewe na mwanaume wa Arusha ambaye ni Muislam?

  Jamani napenda mbegu za kiarusha Mimi ni mtu wa Morogoro (Mluguru)short and beatiful. Young girl 23 years. Nipeni mbinu za kuwa na Muarusha au Moshi Boys ambaye ni Muislam wapo maeneo gani?
 5. M

  Ninaweza kuwa makeup artist kama nitasomea kwa miezi 3 ?

  Habari Jamani naombeni mniambie jamani ninaweza kusomea makeup kwa miezi 3? Nikawa makeup artist? Na je nitapataje wateja kama sina saluni? Na je makeup inalipa kwa maisha ya sasahivi???
 6. M

  Umri sahihi wa msichana kuolewa ni upi?

  Msichana anatakiwa aingie kwenye ndoa akiwa na umri gani na pia aanze kuzaa akiwa na umri gani? 20, 21,22, 23, 24, 25,26 au 27?
 7. M

  Skills (ujuzi) upi ni muhimu kwa vijana kuwa nao kwa kipindi hiki cha hali ngumu?

  Skills au ujuzi upi ni muhimu kuwa nao kijana wa kitanzania mwenye umri kuanzia 18 na kuendelea labda mwisho35 (awe ana soma au yupo mtaani.)vyovyote vile ilimradi kijana. Nia na madhumuni ya uzi huu ni kwamba kujulishana skills mbali mbali za kusomea au kujifunza ili kuendelea kupigania maisha...
 8. M

  Vyakula vipi vinaleta wateja?

  Ukiwa unataka kufungua restaurant au mgahawa. Unatakiwa uwe na ujuzi wa vyakula vya aina gani? Vile vile ni vyakula vipi ni pendea sana na vinaleta wateja?
 9. M

  Naomba ushauri kuhusu kujifunza Gari ya Manual kwa Msichana

  Mimi ni msichana nina umri wa miaka 23. Nimemaliza chuo nikaona ngoja nisomee udereva driving school moja hivi hapa Dar. Sasa hapo wanafunza manual tu. Mpaka sasa nina week moja, tushafundishwa gia ya kwanza ya pili na ya tatu na reverse (gia ya kurudi nyuma). Kwa ujumla naendelea vizuri kwa...
 10. M

  Dalili za mapenzi kufa

  Naombeni kuzijua dalili za mapenzi kufa. Yaani utajuaje kama mapenzi yako yashakufa au yanataka kufa?
 11. M

  Kitu gani kimekukomboa katika maisha tangu umalize elimu?

  Tangu umemaliza chuo ni kitu gani umefanya kimekukomboa katika maisha? Mimi ndo kwanza nmemaliza chuo. Hamna chochote nlichoanza kufanya but nafikiria kuanza biashara ya urembo. Kujua kupaka makeup na kuuza vifaa vya makeup. Kwahiyo kwa muda huu nasubiri maoni yenu ili tupeane moyo. Wewe...
 12. M

  Hivi kila mwanaume anataka kuoa mwanamke ambaye haendi club wala hanywi pombe?

  Marafiki zangu wakiume huwa wanasema kwamba. “ hatuwezi kuoa wadada tunaolewa nao pale kidimbwi au tips”. Au wanasema hivi wale madem tunaowabambia kule club element pale watawaoa kina nani?” Swali langu: Hivi kwanini wanaume wanapenda nasty girls yani wale ambao hawana aibu mfano anaweza...
 13. M

  Hivi ni kweli wanaume hawapendi kuombwa hela?

  Wanaume hii tabia ya kuombwa hela ni wote hampendi au wale walala hoi tu? Naomba kujua kwanini wanaume hawapendi kuombwa hela.
 14. M

  Naomba kujuzwa jinsi ya Kupata Kazi Halmashauri/ Manispaa

  Ndugu zangu Naomba kujua jinsi ya kupata kazi halmashauri yoyote Tanzania. Je, bila connection unaweza kupata kazi? Manispaa? Nimesoma Human Resource nmemaliza mwaka jana. Sina connection.
 15. M

  X wake Rafiki yangu anataka aje kutoa mahari kwetu😩

  Nina rafiki yang ambae nilisoma nae advance tukawa tumepangiwa room moja so alikua roomate wangu hatukua bestfriends but tulikua friends hata umbea tukapiga wote. Yeye alikua ana date na mkaka mmoja hivi lakini yeye rafiki yangu alikua hana hisia za mapenzi na huyo mkaka After advance...
 16. M

  Mwanaume mwenye wivu unaishi nae vipi?

  Habari. Uzi huo unajieleza nipendi mbinu za kuishi na mwanaume mwenye wivu na pia ni jinsi gani utamfanyia mwanaume wako ili azidi kukupenda?
 17. M

  Mwanaume ambaye anaonesha ana nia ya kuoa anakuaje?

  Ndugu, Naombeni mnitajie mienendo au tabia za mwanaume anaeonesha nia ya kuoa
 18. M

  Ni ipi Scholarship Nzuri Kwa Aliyesoma Degree Ya Human Resource Management.ili kujiendeleza na Masters?

  Naomba kujua taratibu za Scholarship kwa aliyemaliza degree ya HRM. njia za kupata scholarship
 19. M

  Ninatamani nifanikishe ndoto yangu ya kuwa Mhadhiri

  Ndugu zangu, Mimi ni ndugu yenu nimemaliza chuo mwaka huu nina Degree ya Human Resource Management. Nimesomea Morogoro Mzumbe nina GPA ya 4.2. Kwa muda mrefu nilikua natamani sana kuwa mwalimu wa chuo kikuu kwa hiyo natamani kupata mawazo yenu kwamba kwa jinsi gani nitaweza kufanikisha ndoto...
Top Bottom