Search results

 1. M

  Kwenu wataalamu, ni upi uzuri wa gari hii aina ya Probox?

  Nunua pro box succeed tx g package hutojuta mkuu
 2. M

  Walimu nao wapewe Posho za mwezi kama maaskari

  Kwa hy kama askari analipwa Tsh 650,000/= kwa mwezi na mwalimu analipwa Tsh 350, 000/=kwa mwezi ni kwamba hawako sawa mkuu.
 3. M

  Walimu nao wapewe Posho za mwezi kama maaskari

  Askari polisi mwenye elimu ya kidato cha nne:-kipato chake kwa mwezi ni kama ifuatavyo hapa chini:- Basic salary ni Tsh.430,000/= Posho ya chakula Tsh.300,000/= Posho ya vinywaji Tsh.100,000/= Posho ya mavazi Tsh. ............/= Posho ya nyumba Tsh............./= Bado unaweza kukuta askari...
 4. M

  Nini sababu ya mabinti wa siku hizi wengi kuwa na michoro ya tattoo kwenye miili yao?

  Kwani haionekani kwa macho i.e mkononi,mguuni,shingoni and etc
 5. M

  Ulifikishaje Milioni 10 ya kwanza?

  Nilifanya biashara moja hivi ya hatari nikapata mtonyo wa 8.M faster,then nikaurudia huo mchongo nikapata 6.M faster!!jumla nikawa na-tatol ya Tsh.14.M kwa account!!kipindi hicho nilikuwa sidaiwi popote pale Tz!!nikazama kwenye taasis fulani hivi nikakopa 18.M net!! So 18.M+14M= 32.M. Nikaagiza...
 6. M

  Uhuru katika Mahusiano?

  Umeliwa hapo andaa kisado cha machozi.
 7. M

  Heri ya mwaka mpya (2021) wakuu wote jamvini.

  Moja kwa moja naomba niende kwenye mada wakuu (me/ke).Leo nimeona kidogo niweke wazi suala la single mother's katika relation ship hasa kwa wale wanaotaka kuoa but excuse me I stand to be collected and not insulted. Direct let us move to the point (s) hereinbelow:- 1/ Single mother's hawatakiwi...
 8. M

  Tatizo ni nini unapogundua mpenzi wako anakusaliti na ukimuacha hataki?

  Yes huwa inatokea sana unajua kabisa manzi analiwa sehemu nyingine lakini huwezi kumuacha au unajua kabisa penzi limekufa lakini haupo tayari kumuacha nafikiri hapa ni suala la kubadili tu fikra!!futa namba yake ya simu,punguza kukutana na watu wake wa karibu in short tafuta mahusiano yako Malta.
 9. M

  Mwaka 2021 nitaivunja ndoa yangu rasmi

  Kinachooumiza katika ndoa ni watoto aisee mimi mwenyewe nipo kwenye situation kama yako ni ngumu sana aisee we isikie tu!!ugomvi kila siku.
 10. M

  Poleni sana vijana wangu wa TMAA

  Na sisi wa Tsh.900,000/= tuelekee wapi?
 11. M

  Hanitafuti, simtafuti lakini huduma zote ananipatia

  Kwanini unasema nimeshaunguzwa?Je kama sijaunguzwa?
Top Bottom