Search results

 1. B

  Tanzania kuwa na Rais mwanamke?

  Kwa mujibu Katiba ya Tanzania yafuatayo baada ya kifo cha Rais aliyemadarakani hutokea kwa Makamu wa Rais 1. Ataapishwa haraka iwezekanavyo kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano 2: Atamalizia muda uliobaki
 2. B

  Uchaguzi 2020 Wapinzani hamkujiandaa vyema; mkishindwa msilete nongwa

  low IQ....kama huna cha kuandika soma post za wenzako
 3. B

  Uchaguzi 2020 Namna ya kumpigia kura Mgombea Urais Tundu Lissu

  Sawa sawa! Kura yangu anayo Tundu Lissu, bado kura 19,999,999 awe Rais mpya.
 4. B

  Uchaguzi 2020 Ushauri wa dharura kwa CHADEMA juu ya Wapiga kura hewa na vituo hewa vya kupigia kura

  Chadema na sisi tujipange kuiba kura kama wao wanavyopanga yaani...jino kwa jino
 5. B

  Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Pwani, Lindi na Mtwara

  Mwambie aongelee suala la TISS, DC na Wasimamizi wa uchaguzi kupanga njama za kuiba kura. Vituo hewa Mawakala wa upinzani watacheleweshwa kuingia ndani ya vituo ili kutoa mwanya kwa wasimamizi wa uchaguzi vituoni kuingiza kura fake ndani ya masanduku
 6. B

  Uchaguzi 2020 Chief kalumana Mgombea Ubunge wa CHADEMA Bukoba mjini akamatwa, Mabomu yapigwa uapishwaji wa Mawakala

  Chief kalumana inasemekana amakamatwa na polisi akiwa eneo la kuapishwa mawakala na mawakala wa chadema hawajaapishwa hadi sasa. ===== Jeshi la polisi mkoani Kagera limelazimika kutumia nguvu kuwatawanya wafuasi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiongozwa na mgombea ubunge jimbo...
 7. B

  Uchaguzi 2020 Msajili amwandikia barua Maalim Seif akimtaka ajieleze kwanini kapanda jukwaa moja na Tundu Lissu kule Kilimanjaro!

  Mbona leo Mrema kapanda Jukwaa moja na MAGUFULI huko Kilimanjaro? kama ana ubavu amwandikie na Magufuli sasa....hivyo visheria vyao vya kipumbavu walivyowatungia wapinzani mwisho ni tarehe 28 by any means
 8. B

  Uchaguzi 2020 NEC yaongeza muda wa kuwaapisha mawakala wa vyama vya siasa kwenye uchaguzi mkuu hadi tarehe 23 Octoba 2020

  Na wapewe Barua za kiapo na NEC ihakikishe barua za utambulisho wa mawakala chama au wakala anapewa nakala
 9. B

  Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Jina Langu Lipo Namba Moja, Usihangaike Kuangalia Kwingine

  Mimi hata sioni tatizo katika hili... Hivi kwani kuna mtanzania hajui kusoma au kuandika? au kuna mtanzania hamjui Lissu? kwani nikichukua karatasi hiyo ya kupigia kura nikashuka hadi namba ya mwisho nikaweka tick shida ipo wapi yaani?
 10. B

  Uchaguzi 2020 Maalim Seif: ACT Wazalendo hatuna mpasuko lakini Membe anataka kuwaaminisha Watanzania hivyo. Adai Mzee wa Ubwabwa ni bora kuliko Mgombea wao

  Ninachojiuliza ni kwamba, Membe yupo hapo Dar. inamchukua gharama gani kwenda kuwanadi hata wagombea ubunge wa chama chake hapo Dar? Maana nauli ni sh. 400 kutoka anapoishi hadi kwenye mikutano ya kampeni!!!
 11. B

  Uchaguzi 2020 Yanayojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Kilimanjaro na Tanga

  Ninachojiuliza ni kwamba, Membe yupo hapo Dar. inamchukua gharama gani kwenda kuwanadi hata wagombea ubunge wa chama chake hapo Dar? Maana nauli ni sh. 400 kutoka anapoishi hadi kwenye mikutano ya kampeni!!!
 12. B

  CCM tuhubiri na Haki sio Amani tu

  Ukimsikiliza kila kiongozi ndani ya chama chetu cha CCM kuanzia kwa mgombea wetu John Pombe Magufuli na wengine wote hakuna anayetamani kugusia neno Haki katika mikutano yao kila mmoja anahubiri Amani tu, hii si sahihi. Amani ni zao la HAKI, hebu tuichambue kauli hii au sentensi hii kwa undani...
 13. B

  Nafasi ya kazi ya Msusi-Saloon

  OK, Kwa aliye tayari anicheki kwa 0620 399 060
Top Bottom