Search results

 1. C

  Hivi mbona wanawake siwaelewi?

  Hivi mbona wanawake siwaelewi? Kuna dada mmoja tunakaa mtaa mmoja, akiwa anaongea na wanaume wengine anapenda sana maswala ya mapenzi yaani anachekelea sana mara ashikweshikwe lakini akikutana na mimi anajifanya decent. Ukigusia maswala ya mapenzi anachukia sana na kujifanya mlokole na...
 2. C

  Natafta mwanasaikolojia aliyepo Korogwe

  Habarini wakuu, nahitaji msaada wa kisaikolojia naomba yeyote aliyopo korogwe au anayemfahamu mwanasaikolojia anipe contact zake, nina tatizo la stress siku ya tano sasa silali vizuri nipo kwenye dimbwi la mawazo, msaada wakuu
 3. C

  Hivi kwanini wanawake wanapenda kutembea wawili wawili

  Habari wakuu, katika mizunguko yangu ya siku zote mara nyingi nakutaka na warembo wengi sana, ila mara nyingi huwa wanatembea wakiwa wawili hivi ni kwanini nyie viumbe mko hivyo, kwanini mnapenda kuongozana kama kumbikumbi Huwa najiuliza ni kwamba wanaogopa mtongozo au nini? Wakuu nyie mnaonaje?
 4. C

  Asanteni wana jamiiforums

  Habari wakuu, ni matumaini yangu wote mko salama humu ndani, awali ya yote ningependa kuwashukuru wote kwa michango yenu mliyonipatia pindi ninapopatwa na majanga, mmekuwa mchango mkubwa sana kwa kunijenga kimawazo na kifkira nashukuruni sana sana wadau wangu mliyokuwa mkinipa mawazo, ushauri...
 5. C

  Namna ya kumuomba mwanamke mtoke out

  Wakuu, habarini kuna mrembo mmoja nitokea kuzoeana sana nae, nitumie mbinu gani niweze kumtoa huyu mrembo outing au maneno gani nimwambie ili atambue nataka nimualike lunch
 6. C

  Namna ya kumuomba mwanamke mtoke out

  Wakuu, habarini kuna mrembo mmoja nitokea kuzoeana sana nae, nitumie mbinu gani niweze kumtoa huyu mrembo outing au maneno gani nimwambie ili atambue natakako nimualike lunch ,matusi hawaruhusiwi tafadhali
 7. C

  Natamani kuwa karibu sana na huyu dada lakini nashindwa

  Habarini wakuu, Kuna dada mmoja mzuri sana shombeshombe tunakaa nae mtaa mmoja. Ameamia hivi karibuni, anaishi mwenyewe. Nimetokea sana kuvutiwa nae, angalau niwe karibu nae, tuwe tunabadilisha mawazo, nimtoe hata outing chache. Kila nikijaribu kumzoea nashindwa zaidi ya kumsalimia basi...
 8. C

  Kwanini Asilimia kubwa wanawake ninaowapata usiku ni malaya

  Wakuu habari zenu, wakuu sijui ni Mkosi au namna gani yaani asilimia kubwa ya wanawake ninaokutana nao ni malaya, na wanawake wa mizinga sana, hivi inawezekana nini mimi peke yangu mwenye hii kazia au na wengine mnakutana nayo
 9. C

  Wanawake wanaopatikana kwa njia ya pesa wengi hawana mapenzi ya dhati

  habari, wakuu katika uchunguzi wangu nimepitia mahusiano mengi lakini kuna kitu nimegundua kutoka kwa wanawake, wengi niliowapata kwa njia ya pesa sikudumu nao muda mrefu, pesa zikishaisha tu na mapenzi nayo yanapungua, nawashauri wenzangu wanaohonga sana pesa kwa wanawake wawape kwa akiri...
 10. C

  Ni mara ya tatu sasa inashindikana

  Habari zenu wakuu, kuna jamaa yangu mmoja tuko jirani nae ametokea kumpenda dada mmoja muuza duka, lakini anashindwa kufunguka kwake kila akimuona hata wakikutana njiani hakuna chochote anachofanya zaidi ya kumsalimia ,anashindwa hata kumsimamisha njiani kuongea nae ya moyoni, nimemshauri...
 11. C

  Mpenzi wangu ananionyesha picha za xxx

  Wakuu habari zenu, kuna mpenzi wangu tuna muda wa miaka miwili sasa ninaishi nae leo wakati tukiwa faragha tukitaka kufanya majambozi katika utani utani kitandani tukiwa kunachekia simu zetu kanionyesha picha za uchi za mdada wa Facebook, nimeshindwa kumuelewa anamaanisha nini wakuu, nimeshindwa...
 12. C

  Mbinu gani nitumie nichukue namba ya huyu mrembo

  Habari zenu wakuu, kuna mdada mmoja nimetokea kumkubali sana shida ni moja kila nikimuona anakuwa na kampani na mtu mwingine Huwa atembei peke yake akienda dukani anaenda na dada ake, akienda sokoni au mjini anakuwa na marafiki zake Nifanyanini nipate hata namba yake marafiki zake ningekuwa...
 13. C

  Kila mwanamke ninayemtokea ni barmade

  Habar zenu wakuu, nimaimani wote mko na afya njema, wakuu kila mwanamke ninayekutananae mitaani na kumtongoza ni barmade hii nagundua baada ya siku tatu au nne baada ya kunikubalia, kuna wengine ni wahudumu wa gesti na wengine barmade , wakuu nakwama wapi mimi nimekata tamaa ya kutokea wanawake...
 14. C

  Wapi naweza kupata past papers za geography za mock mbalimbali o-level

  Habarini wakuu naombeni msaada wa kupata past papers mbalimbali za mock za somo la geography form four o-level
 15. C

  Naombeni mbinu za kumhonga huyu dada

  Habarini wakuu, kuna dada mmoja ni jirani yangu nimetokea kumpenda sana nimejaribu kuzungumza nae kuhusu hisia zangu kwake imeshindikana nitumie mbinu gan nimhonge ili anikubalie naombeni ushauri tafadhali
 16. C

  Hivi kila dada akiitwa anajua anataka kutongozwa?

  Habarini wakuu, Leo kuna sehemu nilikwenda kumcheki jamaa yangu mtaa fulani amehamia hivi karibuni ila sehemu anayokaa sipajui, katika pitapita zangu nikakutana na binti mmoja nikamuita anielekeze nimepotea njia, ile kumuita tu akasonya akaondoka, akapita wa pili nikamuita ananiangalia kwa...
 17. C

  Nitaishije na mwanamke muongo?

  Habarini wakuu, Huyu mwanamke ninayeishi nae ni muongo wa kupindukia, nimejaribu kumfatilia sana nyendo zake nimegundua mambo mengi amekuwa akinidanganya sana hasa kwenye suala la pesa, amekuwa nimekuwa ni mtu wa kutunga mambo sana ili anidanganye. Nifanyeje wakuu niweze kuishi na huyu mwanamke
 18. C

  Kumtongoza mwanamke unayemuheshimu ni shida sana

  Habari zenu wakuu, natumaini Pasaka kwenu imekuwa vyema, kuna mdada mmoja tulikuwa tukiishi nae mtaa mmoja alikuwa mzuri shombe shombe nilitokea kumpenda sana lakini alikuwa ananiheshimu sana na binti mwenye maadili sana, nilitafuta kila mbinu ya kumuingia lakini nashindwa na sijawahi muona...
 19. C

  Ukiwa na urafiki na mwanamke kubali yafuatayo

  Habarini wakuu haya ndio mambo mengi nime experience kwa hawa dada zetu ukiwa Rafiki yao kuna mambo lazima ukubaliane nao 1.kuomba vocha 2. Kuomba viehela vidogo vidogo 3. Kuagiza vitu kama chipsi na kazalika ila hela juu yako 4. Mara nyingi utumia maneno matamu kukulainisha ukubali 5.ukiomba...
 20. C

  Neno gani hukuteka kimapenzi? Mimi hutekwa na neno 'my'

  Habari wakuu, natumaini siku ya leo ni tulivu na Jumapili nzuri yenye baraka tele. Katika mahusiano ya kimapenzi nimepitia mambo mengi na kupata experience. Kuna neno hili la "MY" huwa linaniteka sana kimapenzi. Ikitokea tuna urafiki na mwanamke na katika chatting zake akitumia ili neno huwa...
Top Bottom