Mwaka 2004 niliwahi kitembea kwa mguu usiku wa saa saba kutoka Boko hadi Salasala ndipo nikapata bodaboda ya kunirudisha Nyumbani Namanga Msasani. Ofcourse niliingia hme saa kumi kasoro alfajiri.
Haya mapenzi haya aisee unaweza hata kumpiga kofi jini ikibidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umeenda mbele sana.
Umewaza nje ya box. Lakini siyo kwamba nakuunga mkono bali umenipa tafakuri pana zaidi kuhusu uwezo wa akili na fananizi kiimani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kuweka kumbukumbu sawa, jaribu kuyaweka haya na mengineyo katika Vitabu.
Kuna mazito umeyazungumza kwa lugha nyepesi na ya kueleweka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu usirudie kosa hilo tena la kumuacha dereva mchovu awaendeshe.
Next time unapaswa kumshauri asimamishe basi sehemu salama alale kupunguza uchovu maana kama ulishuhudia kuyumbayumba kwa dereva ulikuwa uanelekea kushuhudia mwisho wa safari kabla ya kufika muendako
Miezi mitatu iliyopita nimenusurika kifo hapo Igawa. Nilikoswa koswa na basi lililoovateki lori nikanusurika kukimbiza gari korongoni
Alama za barabarani haziruhusu mwendo wa kasi wala overtake.
Mabasi yanakimbia sana eneo hilo hivyo ajali nyingi chanzo hao madereva. Pia DTO wa hapo amulikwe...