Search results

 1. C

  Nimerudi home nimemkuta wife anacheza mziki akiwa utupu

  Mkuu mi nikiona kiuno kama hichi simuachi aisee, kuna demu huku mtaani kwetu alikaa vibaya nikaona shanga kiunoni mpaka leo nikimuona nammezea mate
 2. C

  Nimerudi home nimemkuta wife anacheza mziki akiwa utupu

  Mkuu ungempiga hata kimoko angetulia
 3. C

  Nimerudi home nimemkuta wife anacheza mziki akiwa utupu

  Kumbe na wewe mtoto wafanya huo mchezo
 4. C

  Introverts Vs Relationship

  nimeishi na mwanamke ambae pia alikuwa introvet kama mimi tulikuwa tukikaa pamoja wala hatuongei hata siku nzima ila itokee shida au kumuulizia jambo zaidi ya hapo tunakaa kimya kunawasiliana kwa vitendo nikichoka kukaa ndani nikitaka kutoka namuhurumia sana akibaki peke yake kwa sababu muda...
 5. C

  Introverts Vs Relationship

  introvet wengi hawaendi na wakati hivyo mambo mengi ya kidunia hawayaelewi kabisa
 6. C

  Introverts Vs Relationship

  introvert tuwe tunajichanganya kuna wakati ninajihisi mpweke sana natamani kujichanganya nashindwa ila ikitokea nimefanikiwa kujichanganya kama watu wanaongea mada za kiutani utani naondoka huwa napenda watu waongelea kitu ninachokipenda mimi tu na huwa sipendi kuchangia napenda niwe...
 7. C

  Introverts Vs Relationship

  mbona kama unaniongelea mimi
 8. C

  Introverts Vs Relationship

  mimi mtu akinipigie simu huw siongei muda mrefu ,ikitokea ninae onge nae anaongea muda mrefu natamani amalize haraka kuongea huwa nachoka sana kumsikiliza
 9. C

  Masika imeanza...

  Waoh ushapata ilo kumbatio jamani
 10. C

  Nina tabia ya kukinai wanawake ninaokuwa nao katika mahusiano

  KIkubwa ni uvumilovi tu dogo watu tumeowa kwa sababu ya kuwa mvumilivu husipokuwa kuwa mvumilivu hutaowa
 11. C

  Hivi mbona wanawake siwaelewi?

  Nimeshapitia mkuu nimepata maujanja ngoja niyatumie
 12. C

  Hivi mbona wanawake siwaelewi?

  Ngoja nitumie hii mbinu akizingua basi
 13. C

  Hivi mbona wanawake siwaelewi?

  Hivi mbona wanawake siwaelewi? Kuna dada mmoja tunakaa mtaa mmoja, akiwa anaongea na wanaume wengine anapenda sana maswala ya mapenzi yaani anachekelea sana mara ashikweshikwe lakini akikutana na mimi anajifanya decent. Ukigusia maswala ya mapenzi anachukia sana na kujifanya mlokole na...
 14. C

  Natafta mwanasaikolojia aliyepo Korogwe

  Mambo mengi yametokea yananipa stress na sina namna ya kuyatatua
 15. C

  Natafta mwanasaikolojia aliyepo Korogwe

  Habarini wakuu, nahitaji msaada wa kisaikolojia naomba yeyote aliyopo korogwe au anayemfahamu mwanasaikolojia anipe contact zake, nina tatizo la stress siku ya tano sasa silali vizuri nipo kwenye dimbwi la mawazo, msaada wakuu
 16. C

  Hivi kwanini wanawake wanapenda kutembea wawili wawili

  Habari wakuu, katika mizunguko yangu ya siku zote mara nyingi nakutaka na warembo wengi sana, ila mara nyingi huwa wanatembea wakiwa wawili hivi ni kwanini nyie viumbe mko hivyo, kwanini mnapenda kuongozana kama kumbikumbi Huwa najiuliza ni kwamba wanaogopa mtongozo au nini? Wakuu nyie mnaonaje?
 17. C

  Asanteni wana jamiiforums

  Habari wakuu, ni matumaini yangu wote mko salama humu ndani, awali ya yote ningependa kuwashukuru wote kwa michango yenu mliyonipatia pindi ninapopatwa na majanga, mmekuwa mchango mkubwa sana kwa kunijenga kimawazo na kifkira nashukuruni sana sana wadau wangu mliyokuwa mkinipa mawazo, ushauri...
Top Bottom