Search results

 1. N

  Salary slip

  Sorry guys nilifanya interview na NGO flani na nilifanikiwa kupitaa na waliniomba nisubmit baadhi ya documents na salary slip ...but pale ninapo fanyia kibarua walinitengenezea salary slip iliyo zua utata kwa Hawa waajir wapya je nifanye Nini ili nafasi yangu iwe salamaa??
 2. N

  Reference check

  Jee ikifikia hatua ya referees kuitwaa huwa inachukuaa mda gani kuitwaa kaziniu Sent using Jamii Forums mobile app
 3. N

  Baada ya usaili ni sawa kumpigia simu HR

  Sorry nataka kujua jee ni Haki kumpigiaa HR simu baada ya zoezi la oral interview? Na je baada ya oral lazima wakupigie simu if umekosa au umepataa? Sent using Jamii Forums mobile app
 4. N

  Kupungua kwa tumbo la mama mwenye mimba miezi 9

  Ndugu zangu naomba msaada wenu kitu gani kinapelekea mjamzito wa miezi tisa tumbo kupungua ghafla na kuwa dogo???? Sent using Jamii Forums mobile app
 5. N

  Nataka kuanza kuzungusha mitumba ya kike vyuoni

  Sorry guys nataka niwe nazungusha nguoo za kike za mitumba vyuoni je inaweza kunisaidia na kunifikisha sehemu nzuri...maana nimemalizaa chuo mpaka Sasa ajira. Ngumu.. Ushauri wadau Sent using Jamii Forums mobile app
 6. N

  Uchumba sio kufanya mapenzi

  Jamani nina mchumba wangu mwanzo tunaanza nilikuwa nafanya nae mapenzi sana lakini sasa kabadilika hataki nifanye nae mapenzi anadai uchumba sio kufanya mapenzi na anasema nikimlazimisha ataniacha uchumba ndo basi. Wadau mnishauri nifanyaje?
 7. N

  Police force update

  Wanazengo vp ni Lin huwa mchakato wa usail au kuitwa kwa wale wenye taaluma na form six wataanza kuita??tusaidiane ktk hilo
 8. N

  Niweken wazi plz et

  Et nikituma barua kwa njia ya posta ya kawaida ndani ya siku NNE inaweza kuwa imefika
 9. N

  Naomba kuelimishwa juu ya nafasi ya Afisa Mtendaji wa Kijiji

  Hivi wana forum mtu wa shahada hawezi omba kazi ya afisa mtendaji wa kijiji,??
 10. N

  Nilikuwa nataka kumtambulisha nimegundua ana mahusiano ya siri

  Wadau naombeni ushauri, Eti una mpenzi ambaye mnatarajia kutambulishana kama mwezi mmoja ujao then unagundua ana secret mahusiano na mtu mwingine eti anadai kutambulishwa. Please help
Top Bottom