Search results

 1. M

  Zakayo Chacha Wangwe atawaza kuipeperusha bendera ya CHADEMA Tarime?

  Mtoto wa kwanza wa kamanda CHACHA WANGWE bwana ZAKAYO CHACHA WANGWE ametangaza nia ya kugombea ubunge wa tarime kwa tiketi ya chadema ndugu zangu wadau je taweza kuipeperusha vyema bendera ya chadema toeni maoni yenu
 2. M

  Tusiruhusu siasa kwenye msiba wa mama yake zitto kabwe

  Kutokana na siasa majitaka wanaoifanya wana CCM juu ya viongozi wa chadema hati hawakwenda kumuona mama yake Zitto na kumufariji Mbunge huyo wa Kigoma nakanusha na kusema kuwa niwaongo wanafiki na wadhandiki napenda tu kuwambia Watanzania kuwa viongozi hao walienda nyumbani na hata alipokuwa...
 3. M

  Mhere mwita autishia mgodi wa geita

  Akiwa katika kijiji cha Samina mkoani Geita Ndugu mhere Mwita ndipo alipokutana na wanafunzi wa Shantamine wakipata aza ya usafiri ndipo aliwaambia wanafunzi hao kama serikali isiposhughulikia tatizo hilo pamoja na Mgodi wa Geita basi ataitisha maandamano mkubwa wa kushinikiza mgodi utoe bus...
 4. M

  Mhere mwita, "Mwaka 2015 ni mwisho wa CCM kuitawala Geita.

  Kamanda Mhere Mwita ameyahongea haya Jana katika mhojiano na waandishi wa habari akijadili maendeleo ya Geita amesema kutokana na kusua sua kwa maendeleo ya geita japokuwa na utajir mkubwa wa dhahabu hii ni ishara kuwa cha cha chadema kinanafasi kubwa ya kulichukua jimbo hili iwapo watachagua...
 5. M

  Mhere Mwita kabomoa kambi ya CUF mkoani Lindi wanachama 60 wahamia CHADEMA

  Akihutubua mkutano huo juzi Kamanda Mhere Mwita kwa Jina jingine anajulikana kama Mwana Wa Geita amehutubia maelfu ya watu Lindi mjini kwa kipita hotuba yake iliokuwa ni kulaani juu kushuka bei ya korosho ambayo imeshushwa na serikali kutoka Shillingi elfu 2500 bei ya zaman mpaka shillingi 600...
 6. M

  Mhere mwita atagombea jimbo la Geita kwa chama cha Chadema

  Kutokana kwa matatzo ambayo yanatokea sasa hv Geita kama watu kupigwa kudhalilishwa na kuwawa na askali wa Mgodi kumemuuma sana kijana huyu wa wa Geita mhere mwita atagombea ubunge katika jumbo anaomba kuungwa mkono
 7. M

  Rais kuchagua wabunge watano walemavu je kwani yeye ni mlemavu.

  Kama mnavyojua rasimu ya pili ya katiba imetoka katika ibara ya 113.-(2)b rais atachagua wabunge watano amabao watakuwa walemavu kwanini kusiwepo na utaratibu maususi ambao utawapa fursa walemavu wenyewe kupita vyama vyao kupata viongozi ambao watafanya kazi kwa manufaa ya wajiri wake nawathirisha.
 8. M

  Mhere mwita atangaza nia ya kugombea ubunge JImbo la Geita kwa tiketi ya chadema

  Kamanda Mhere Mwita ameyatoa hayo alipokuwa akihutubia mkutano mkubwa wa kukijenga chama katika jumbo la Nachingwea aliyaongea kwa uchungu mkubwa alisema "kutokana na matatizo ya Nachingwea kushabiliana na Matatizo ya Geita sasa yanipasa niende kukomboa nyumbani Geita" Akiendelea kueleza...
 9. M

  Katiba ni mali ya watanzania sio kikundi au chama fulani isihodhiwe

  Napenda kuchukua fursa hii kumshukuru mwenyekiti wa tume ya Katiba Jaji Waryoba kwa kukamilisha rasimu ya pili ya katiba. Leo kazi imebaki kwa bunge la katiba mimi rai yangu kwa bunge la katiba naomba lifanye kazi kwa maslahi ya Watanzania wote sio vyama vyao ama vikundi vyao asanteni. Nawasilisha
Top Bottom