NHC ni shirika la kitaifa,inakuwaje mkoa au mji mmoja unakuwa na miradi ya mabilioni ya shilingi inayoendelea halafu miji mingine haina hata mradi mmoja?
Kuna maeneo kuna nyumba za NHC tena unakuta ni moja tu lakini inachukua miaka kukamilika wakati huko kwingine kunajengwa nyumba nyingi tena...
Kiukweli umekuwa unajitahidi sana kupigania mambo ya kitaifa zaidi lakini jimboni kwako unakusahau..haitoshi kujivuna kwamba Iringa kuna maji ya kutosha kwa kuwa ule ni mradi uliokuwepo kabla yako,ni juhudi ya mbunge aliyekutangulia Monica Ngenzi Mbega.
Kuna kero ambazo tumekuwa tunajipa moyo...
>>MKUU MIMI SIPIGII DEBE CHAMA CHOCHOTE,SISI TUNACHAGUA MTU ,HATUCHAGUI CHAMA...zamani na kwa sasa huko vijijin kama Isimani,Kalenga ndo bado wanaangalia kwenye kijani ndo wanapiga alama ya vema bila kujali mgombea ni nani<<
>>MKUU MIMI SIPIGII DEBE CHAMA,SIKU HIZI TUNACHAGUA MTU,HATUCHAGUI CHAMA...zamani sana ndo walikuwa wanaangalia kwenye kijani ndo wanapiga alama ya vema bila kujali mgombea ni nani<<
>>mwakalebela bado ni mwiba wao,na kama unataka kuamini tuombe mungu atupe uzima 2015 kama akijitosa utaona shughuli yake na utajua who is mwakalebela<<
Kwa miaka kadhaa Viongozi wa Manispaa ya Iringa wamekuwa wakiongea mipango mingi ya kuifanya manispaa hiyo inawiri na kupendeza kimazingira,lakini kwa mtu anayeijua manispaa ya Iringa ambayo iliwahi kushika nafasi ya kwanza kitaifa kwa usafi wa mazingira na mara kadhaa ikishika nafasi ya pili...
Kuna siku moja nilikuwa namsikiliza Mstahiki Meya wa Manispaa ya Iringa akizungumzia mambo mbalimbali yahusuyo Halmashauri yake.
Miongoni mwa hayo ni kwamba halmashauri imetenga eneo maalum kwa ajili ya uwekezaji,akasema hawamwelewi Mhe Mbunge ambaye kwa nafasi yake ana wigo mpana wa kutafuta...
Kama kweli Chama cha Mapinduzi Iringa kina nia ya kulirejesha jimbo la Iringa mjini ktk himaya yao..tunaomba wafanye wawezavyo 2015 watuletee HANSPOPPE au MWAKALEBELA.
Kwa sisi tulio huku mitaani wawili hao wanatajwatajwa sana,watu wanawahtaji sana na wanaamini ndio wenye uwezo mkubwa wa...
Hapa niko hospitali ya rufaa Mbeya,kuna wagonjwa ambao wamefika tangu saa 1,mpaka sasa ni saa 4 bado huduma hazijaanza eti madaktari wapo kwenye kikao...kiukweli napata tabu kupata jibu kwamba..>ni kwa nini vikao vinafanyika muda wa kazi?wakti huohuo ikifika saa 6 tu watasema muda wa...
Kutokana na mchakato wa kuboresha katiba ya timu ya Simba kuna taarifa kwamba moja ya mambo yatakayopelekwa kwa wanachama ni pendekezo la kubadilisha jina la timu hiyo kutoka SIMBA SC na kuwa DAR ES SALAAM UNITED SPORTS CLUB...wana msimbazi mnaonaje?
Kufuatia mchakato unaoendelea wa kufanyia marekebisho katiba ya Simba,miongoni mwa mambo yanayosemekana yatafanyiwa marekebisho ni jina la klabu ya Simba sc kuwa Dar es salaam United...je wewe kama mdau wa michezo hususan Simba unaonaje na unasemaje kwa hili?
Eti kuna wajumbe wa bunge la KATIBA wanadai posho ya laki 3 kwa siku haitoshi..hivi hawajui kuna watu nchi hii hawana hata mia mbili ya kununulia panadol...walipoteuliwa kabla hawaenda Dodoma walijua watalipwa kiasi gani cha posho...kama waliona ndogo kwa nini walienda huko Dom? na kama...
Bunge maalum la katiba linaloanza wiki hii mjini Dodoma ni muendelezo wa harakati za kupata katiba mpya itakayokuwa msingi kwa kizazi cha leo na kijacho kwa takriban miaka 50 ijayo.. Wito wetu kwenu wajumbe wa bunge la katiba ni kwamba kumbukeni mpo Dodoma kwa ajili ya kazi mliyotumwa na...
Katiba ya sasa inawawekea kinga miongoni mwa watu wanaofanya mambo ya kifisadi kwa kutumia vyeo vyao...Lakin pia watu wanaohujumu rasilimali za nchi kama wanaouwa wanyama na wauza madawa ya kulevya...tunahitaji katiba iseme watu hao wanaokamatwa na kuthibitika wametenda makosa wapewe adhabu...