Forums
New posts
Search forums
What's new
New posts
Latest activity
Members
Current visitors
Log in
Register
What's new
Search
Search
Search titles only
By:
Latest activity
Register
Menu
Log in
Register
Navigation
Install the app
Install
More options
Change Mode
Contact us
Close Menu
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser
.
Search
Search results
T
Spika Ndugai: Wakurugenzi wa TARURA na RUWASA wanalipwa mishahara mikubwa kuliko maDED mambo ya ajabu kabisa
Kumbukeni Ndungai mke wake ni DED wa Bahi- asije akawa na conflict of interest
The Elephant
Post #30
Today at 1:15 PM
Forum:
Jukwaa la Siasa
T
Mbunge Shabiby aibua ufisadi wa kutisha Ewura, Waziri wa Nishati Kalemani asema walishavunja mkataba na kampuni fisadi
Ukimwangalia Kalemani ni kama mtoto yatima- Hana confidence, kama vile amekata tamaa
The Elephant
Post #180
Today at 1:13 PM
Forum:
Jukwaa la Siasa
T
Kati ya Watoto 100 wenye umri chini ya miaka mitano mkoani Pwani, Watoto 24 wana Udumavu na hii imetokana na familia zao kuwa duni
Na hao huwaambii chochote kibaya kwa CCM wakakuelewa
The Elephant
Post #7
Today at 12:45 PM
Forum:
Habari na Hoja mchanganyiko
T
CAG Kichere atishiwa kifo baada ya kutoa ripoti iliyoibua madudu mengi, aongezewa ulinzi nyumbani na ofisini
Hayo ni maono ya Layman
The Elephant
Post #104
Today at 11:28 AM
Forum:
Jukwaa la Siasa
T
CAG Kichere atishiwa kifo baada ya kutoa ripoti iliyoibua madudu mengi, aongezewa ulinzi nyumbani na ofisini
CCM hamueleweki!! Mkiiba halafu taarifa rasmi ikija mnasema kiki, mkisemwa na upinzani mnasema wametumwa na mabeberu-
The Elephant
Post #44
Today at 10:27 AM
Forum:
Jukwaa la Siasa
T
Je, Rais Magufuli alikuwa na Pacemaker au Defibrillator? Ilidukuliwa?
Walioona hatari walikimbia nchi kama kina Tundu Lissu, VP jamaa TISS walimzuia asikimbie hatari
The Elephant
Post #945
Yesterday at 6:13 PM
Forum:
Jukwaa la Siasa
T
CAG agundua ufisadi wa Tsh milioni 364 Halmashauri ya Bahi ambayo mke wa Spika Ndugai ni DED
Ukoo wa panya- Baba ndevu, mama ndevu na mtoto ndevu
The Elephant
Post #94
Yesterday at 9:14 AM
Forum:
Jukwaa la Siasa
T
Spika Ndugai: Mbowe alikuwa Ulaya sasa katumwa na watu wake anapotosha kuhusu ripoti ya CAG
Spika hujatuhumiwa na CAG, waliotuhumiwa wapo na wanatakaiwa kujitetea wao sio wewe! wewe bila shaka unatakiwa kufanya kazi ya kuisimamia serikali kupitia kamati zako ulizotaja sio kujibebesha jukumu la kuelimisha wananchi
The Elephant
Post #54
Monday at 5:05 PM
Forum:
Jukwaa la Siasa
T
Ndugai: Mradi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo uendelee, Dkt. Magufuli alishauriwa vibaya
Kwa aina ya Wabunge walioko Bungeni na spika wao Ndungai usitegemee kizuri hapo-
The Elephant
Post #320
Friday at 8:37 AM
Forum:
Jukwaa la Siasa
T
Kwa madudu anayoanika CAG, kumbe Magufuli uongozi wake ulikuwa sifuri tu
Ukisema hivyo mama mwenyewe ataondoka kwa sababu yeye ndo alifuata baada ya aliyekuwa rais
The Elephant
Post #143
Apr 8, 2021
Forum:
Jukwaa la Siasa
T
Ndugai: Mradi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo uendelee, Dkt. Magufuli alishauriwa vibaya
Kuna watu fahamu zinaanza kurudi- ile Kinga yako ya kutokushitakiwa ameshauriwa vibaya?
The Elephant
Post #3
Apr 8, 2021
Forum:
Jukwaa la Siasa
T
Rais Samia Suluhu umeanza vizuri mno, ukitimiza haya hakika enzi yako haitasahaulika
Sabaya leo hufanyi kazi za umma? Kasikilize kero za wananchi kwanza ndo urudi nyuma ya kibodi
The Elephant
Post #2
Apr 8, 2021
Forum:
Jukwaa la Siasa
T
Yanayoendelea Wilayani Hai ni mkakati maalum
Kajituma mwenyewe, si Sabaya huyu?
The Elephant
Post #86
Apr 8, 2021
Forum:
Jukwaa la Siasa
T
DC wa Hai akiachwa, basi mjue kuna tatizo kubwa huko mbele
Mbowe huwa anampatia kumzungumzia huyu DC, Kwa ujumla hastahili kukaa kwenye ofisi ya Uma.
The Elephant
Post #96
Apr 8, 2021
Forum:
Jukwaa la Siasa
T
CAG aongea na waandishi wa habari - Aprili 8, 2021
Ndo maana Kigwangala ametolewa kwenye ile nafasi yake- see more...
The Elephant
Post #74
Apr 8, 2021
Forum:
Jukwaa la Siasa
T
TPA madudu matupu, PSSSF imefilisika, NSSF haina fedha, TASAC ubadhirifu mtupu sasa hawa CHADEMA wanapigana na Ufisadi gani?
Sasa tunamwamini zaidi Kigogo
The Elephant
Post #111
Apr 7, 2021
Forum:
Jukwaa la Siasa
T
Rais Samia, anza na Dkt. Abassi ameonesha dharau na kiburi kwako
Dr Abas kapotoka au kakengeuka kabisa
The Elephant
Post #10
Apr 7, 2021
Forum:
Jukwaa la Siasa
T
Dr.Mwinyi na Mke wa Seif
Huyu mzee ana busara sana
The Elephant
Post #4
Feb 27, 2021
Forum:
Jamii Photos
T
DC Gondwe: Tunajenga Flyover tatu Chang'ombe mataa, Uhasibu mataa na Buza. Hakuna kama CCM lazima tukubali!
Kama haya yote yanawezekana awamu ya tano CCM hamuwezi kukosa kesi ya kujibu kwa miaka mengine yote baada ya uhuru
The Elephant
Post #41
Feb 26, 2021
Forum:
Jukwaa la Siasa
T
Zuchu avaa kiatu cha zaidi ya Tshs. Milioni 2
We sema tu wasanii wanataka vitu exceptional- Hicho kiatu labda kama ina injini nitanunua mimi
The Elephant
Post #113
Feb 26, 2021
Forum:
Celebrities Forum
1
2
3
…
Go to page
Go
25
Next
1 of 25
Go to page
Go
Next
Last
Search
Top
Bottom