Search results

 1. G

  Halmashauri ya jiji la Mbeya mmeshindwa kazi

  Jamani wahusika soko la uyole ni hatari kwa wananchi serikali ya jiji mmeshindwa kujenga choo na kilichopo ni cha shimo na kimejaa kama picha inavyoonyesha hapo chini (samahani kwa picha ila ndo hali halisi) na cha ajabu zaidi hili ndiyo soko la pili kwa ukubwa jijini mbeya . Na lipo mtaa wa...
 2. G

  Msimamo wa CHADEMA kuhusu yanayoendelea Burundi ni upi?

  Jamani kama mtanzania nahitaji kujua msimamo wa chadema kuhusu hali inayoendelea Burundi ukizingatia chanzo cha ghasia zote nchini humo ni suala la mkuu wa kaya wa kule kubadili katiba ili agombee mara ya tatu. Na suala hili limewahi kufanywa na mwenyekiti wa chadema kwa chama chake hivi...
 3. G

  Serikali Mbeya yafyeka mahindi ya wananchi yaliyo karibu kukomaa

  Wakati watu wengine maeneo mbalimbali duniani wakifa na njaa watu wanaosemekana ni TANESCO mkoani mbeya wilaya ya Mbeya vijijini kijiji cha Izuo na kijiji cha Iyunga mapinduzi kata ya Iyunga mapinduzi tarafa ya Mbalizi wamefyeka mahindi ya wananchi yaliyokaribu na kukomaa yaani bado mwezi...
 4. G

  CHADEMA Mbeya kufanya Uchaguzi leo, wagombea ni zaidi ya 100

  Leo katika jiji la Mbeya CHADEMA watakuwa wakifanya uchaguzi wa kidemokrasia baada ya uliokuwepo kumaliza muda wake kuna wagombea wa nafasi mbalimbali zaidi ya miamoja huku nafasi ya mwenyekiti ikiwaniwa na watu wawili MWALWIBA (aliyekuwa kampeni meneja wa Sugu, mbunge wa Mbeya Mjini) na...
 5. G

  Jaji aliyemhukumu kunyongwa Sadam Husein naye anyongwa Iraki

  Judge who sentenced Saddam Hussein to death 'is captured and executed by ISIS' Raouf Abdul Rahman sentenced the dictator to death by hanging in 2006 He was reportedly captured and killed by militants last week Iraqi government is yet to confirm his death, but have not denied his capture...
 6. G

  Kikwete hama kwenye Ikulu ya Tanganyika hamia ikulu ya Tanzania

  Nijuavyo ikulu ya tanganyika ni ile ya magogoni dar es salaam ya TANZANIA ni ile dodoma nashauri rais wa jamhuri ya muungano wa tanganyika na zanzibar ahamie dodoma ili kumpisha rais wa tanganyika ambaye kwa vyovyote lazima atakuja mwakani ili kuondoa mgongano hasa kama wa muungano atakuwa...
 7. G

  TBC msituchezee akili onyesheni bunge la katiba lote live kwanini mnabana

  Kati ya vitu vinavyonitia wasiwasi ni TBC kushindwa kuonyesha live bunge la katiba na wakati vitu visivyo na maana kama sana huwa wanaonyesha live hapa inanipa wasiwasi hata nashindwa kuamini kama serikali ipo serious na suala katiba tunaomba muwe mnatangaza live kwenye tv na kwenye redio ili...
 8. G

  Bunge la katiba ilikuwa zamu ya wanawake sasa zamu ya wanaume sita anafaa zaidi

  Ndugu zangu watanzania bila shaka kesho linaanza bunge maalum la katiba na litakuwa na mwenyekiti wake na kwa kuwa ilikuwa zamu ya wanawake kuongoza bunge ni dhahiri sasa ni zamu ya wanaume na kuwa mzee samweli 6 alionekana kulimudu sana kuongoza bunge lenye mikiki ya akina slaa na sasa...
 9. G

  Mbeya waendelea na mgomo kutofungua maduka

  Hapa jijini mbeya wafanya biashara jijini mbeya wameendelea na mgomo wa kutofungua maduka wakigomea mashine za TRA na wengi wakijiuliza kwanini wawekezaji wasamehewe kodi sisi tunafungiwa mashine za kutukamua mbaya zaidi tununue wenyewe tena bei ya juu laki nane 800000 haiingii akilini hata...
 10. G

  SLAA: Siku hizi bomba la mafuta TAZAMA halina kazi tena Tanzania ila Zambia

  Hii ni kwa mjibu wa Dr. Slaa alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara jijini Mbeya katika viwanja vya Dr. Slaa maeneo ya Mama John amesema kuwa bomba la mafuta kati ya Zambia na Tanzania siku hizi halifanyi kazi kama ilivyokuwa malengo yake ya awali ya kusafirisha mafuta kati ya Zambia na Dar es...
 11. G

  picha za mechi ya simba na yanga leo tarehe 21/12/2013

  duuuuuuu simba noma kamla yanga hivihivi. mweeeeee
 12. G

  Baada meya mbeya jiji kufanya ufisadi azua vulugu na kuwaumiza madiwani wa chadema

  Wawili wajeruhiwa,walazwa Kisa kuhoji matumizi ya Milioni 95/- Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mbeya,Diwani Athuman Madiwani wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya, wamejeruhiwa vibaya hadi kulazwa katika Hospitali ya...
 13. G

  Ccm wako tayari kufa kwa ajiri ya zitto

  Tangu MM avuliwe vyeo naona ccm wamejitoa mhanga na inonyesha wako tayari kwa lolote ili kuona mwanacham wao anarudishiwa drip za damu zilizokatwa na Kamati kuu ya Chadema. Wako busy kutoa matamko, kuajiri vijana wahuni kufanya fujo, kuandika habri feki kwenye magazeti yao pamoja na kuwatumia...
 14. G

  Hivi ni Uongozi wa CHADEMA tu ndio umekaa mda mrefu madarakani!? CUF? NCCR? TLP? UDP? DP?

  napata wasiwasi kuona watu wanapotoshwa na wana potoka kabisa kuhusu suala la uongozi mkuu wa vyama vyetu na kwanini leo watu wanaisema CHADEMA tu ambayo kiukweli tangu kimeanzishwa huu uongozi uliopo ni wa awamu ya TATU, lakini vipi ule wa wenzao wa CUF Lipumba ni ni mwenyekiti wa ngapi tangu...
 15. G

  Mwanachdema unayemtetea zzk na timu zake ni mwanaccm halali kabisa.

  Kwa uhaini wa zzk na timu ya wahaini wake wote hata yule anayejiita msomi msomi wa chuo kikuu kama kuna mtu anatetea au kuhuzunika juu ya maamuzi ya kamati kuu ya chama basi wewe ni mwana ccm kwa maana kama ulikuwa hujui ya zzk na anayemtuma basi wewe chadema haupo na hujui kitu, zzk ametenda...
 16. G

  soma hapa kesi ya nguza viking na watoto wake tangu siku ya kwanza uelewe

  hii ni hatari, je swali linakuja, Mh. Marando ataweza kuwanusuru hawa wahanga?
 17. G

  Nyerere alinzisha viwanda hivi Mkapa na Kikwete wakaviua

  Miaka ya themanini na tano nilikuwa mtoto mdogo lakini nakumbuka tangazo la redio Tanzania dar es alaam la baiskeli za swala likisema hakuna baikeli inayokimbia kuliko hiyo na pia nakumbuka redio zenye housing ya mbao maarufu kama za mkulima au mninga siishi hapa na nakumbuka pia matololi ya...
 18. G

  Sofia simba waziri wa kikwete atumi gari la serikali kwa kazi za chama mikoa 3

  Sofia simba waziri katika serikali ya jakaya kikwete ametumia gari la serikali kwa shughuli za kichama katika mikoa ya Katavi Rukwa na Mbeya na anaendelea na ziara katika mikoa mingine sasa watanzania wenzangu je? Ni haki hii gari yenyewe prado inakula mafuta balaa ni kwanini asitumie gari za...
 19. G

  Anatafutwa receptionist and sales lady

  MJINDAMII INVESTMENT COMPANY LTD. BOX 2665 MBEYA, TANZANIA. JOB VACANCIES (2 P0STS) POSITION: RECEPTIONIST AND SALES LADY (FLIGHT TICKET) CRITERIA: DIPLOMA 0R CERTIFICATE LEVEL ADDITIONAL 1. COMPUTER LITERATE 2. GOOD COMMUNICATION SKILLS 3. SECRETARIAL SKILLS 4. AGE 18-25 YEARS...
Top Bottom