pole kwa tatizo linalokusumbua, kwa maelezo uliyotoa naomba nikushauri kama ifuatavyo:
1. Tatizo la High blood Pressure halitibiki ,kinachofanyika ni kutumia dawa ili kuzuia uharibifu wa viungo vingine kama figo,moyo,macho na ubongo ( Stroke),
2.NI VIZURI UKIFAHAMU KUWA UNAWEZA KUTUMIA DAWA...
Pole sana kwa yaliyotokea, Ushauri wangu kwako :
1. Kubaliana na kilichotokea, amekuwa muungwana kukueleza ukweli ili ufanye maamuzi, ukitulia mtafute uongee nae kwa ajili ya closure, inawezekana na ni vizuri kuachana kistaarabu
2. Tafuta kitu cha kukushughulisha, kama huna kazi unaweza hata...
Kwa sababu sijui dawa aliyokupa daktari, nakushauri uendelee kuzitumia ulizopewa kwa kama ulivyo elekezwa na ufuate masharti na kuzingatia kurudi tena kumuona daktari wako kwa ajili ya follow up
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni jambo jema kuwa hatimae umegundua tatizo linalokusumbua, umefanya vizuri kuleta mrejesho, naimani daktari amekueleza matibabu ya tatizo lako
Sent using Jamii Forums mobile app
Zingatia huu ushauri, Umri wako bado mdogo sana,tafuta hela kwanza wanawake wapo wengi mno,don't be broke and heart broken, hutaweza kustahimili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana una tatizo la GERD ( Gastro Esophageal Reflux Disease) hili linafanana sana na vidonda vya tumbo japo matibabu yake ni tofauti kidogo, bado nashauri upate muda wa kumuona daktari bingwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana, kiuhalisia ni vigumu sana kutapika nyongo, kimaumbile nyongo (bile) inaingia kwenye mfumo wa mmeng'enyo wa chakula kwenye utumbo mwembamba hivyo sio rahisi kutapika nyongo labda kama una tatizo la utumbo kuziba, nakushauri umuone daktari bingwa wa magonjwa ya ndani (Physician) nina...
Mkuu kwa mujibu wa sheria ya mtoto Sehemu ya pili (a) inayozungumzia haki za mtoto,ukisoma kuanzia number 6 hadi 10 ipo wazi kuwa ni lazima na ni wajibu wa mzazi kumhudumia mtoto,haijalishi amezaliwa kwenye ndoa au vinginevyo,nimeambatanisha Sheria husika kurahisisha rejea.
Nenda Playstore, Pakua Google Contacts, ukishamaliza ku install nenda Settings, iruhusu ifanye backup kwenye Google account yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi nilitegemea matokeo ya aina hii,unapo aribu uchaguzi na kuwanyima watu nafasi ya kuchagua viongozi wanaowataka unawapa sababu ya kutafuta njia mbadala ya kupata viongozi , mchakato wa uchaguzi umepoteza maana na viongozi wanaotokana na uhuni wa aina hii hawana kibali (legitimacy) ya...