Search results

 1. S

  Msaada wa nafasi ya kibarua/kazi

  Wadau habari za asubuhi, Kama ilivyo mm ni muhanga wa kukosa ajira miongoni mwa vijana wengi hapa Tz, hivyo ninaomba kwa mwenye connection ya nafasi ya kazi anisaidie, popote pale ninafanya kazi walau inilipe kuanzia 200k kwa mwezi nitashuku na pia nitatoa dau la Tsh 80k kwa atakayenisaidia...
 2. S

  Jinsi gani nitajiunga na chuo kusoma USA

  Habarini wanaJF, Mimi ni mhitimu wa kidato chasita mwaka 2017 lengo la kuja hapa mbele yenu ni kuomba ushauri kwa wenye experience ya kusoma nchini USA kwa maana mwakani nataka nijiunge katika chuo mojawapo hasa katika state ya FLORIDA advance na secondary nmesoma masomo ya arts HKL na matokeo...
 3. S

  Huu ni ugonjwa gani?

  Habarini za usiku ndugu na rafiki zangu? Bila kusita niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Mimi ni kijana mwenye umri miaka 26 nina mchumba wangu anasumbuliwa na tatizo, maumivu ya mara kwa mara chini na pembeni ya kitovu na maumivu hayo huvuta mpaka shingoni na mwili mzima, maumivu...
 4. S

  KWA WATAALAMU WA ECONOMICS KWA UJUMLA HII INAWAHUSU

  Kwa mtaalam wa economics naomba kujua kuhusu Explanation about any 5 SCHOOL OF THOUGHT OF ENTREPRENEURSHIP Sent using Jamii Forums mobile app
Top Bottom