Search results

 1. N

  Hata kama demokrasia,ina mipaka! Mbona wanapiga kampeni?

  Hivi hamjawaona ama kuwasikia? Mbona zile ni kampeni za wazi kabisa. NEC mpo? Au ndo ule usemi kuwa NEC ni tawi la CCM? Sijui hali ingekuwaje kwa vyama vya upinzani. Hawa akina Lowasa,Membe,Nyarandu,Muhongo,Ngereja,Makamba Jr nk. Hawawaoni kuwa wanapiga kampeni kabla muda,kwa nini? Au kwa...
 2. N

  Nchi imefanywa kuwa rough paper! Nasema hapana

  Nasema rough paper kwa sababu kila mtu anataka kujifunzia mwandiko mzuri,kusovia hesabu nk. Hadi wenye tuhuma nao wamevuta fomu ya upresidaa ili aingie kwenye jengo jeupee kama sanda. Poleni sana watz kwa kuwa na umskini wa fikra. Mmebebeshwa sanduku la matatizo ukiwemo umaskini,elimu...
 3. N

  Kwa hili CCM wana wakati mgumu, Awamu hii

  Kwa mujibu wa katiba ya znz ya mwaka 2010,znz inatambulika kama nchi yenye wimbo wake,bendera yake na amiri jeshi mkuu. Suala la kuchakachua maoni ya wananchi kweny BMK,likiwemo la kuondoa serikali 3 litawaumiza siku zote. Na niseme wazi tu kuwa hamtapata nafasi ya kulisemea mahali popote. Na...
 4. N

  Nataka kujua wangapi wamepata zana ya maangamizi.

  Najua tupo katika zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura kwa mfumo wa BVR. Ni katika kipindi hiki au uchaguzi mkuu wa mwaka huu watu wamehamasika sana kuchagua nk. Watu wapo tayari kwa mabadiliko. Na kila mtu analijua hilo. Je,umejiandikisha? Binafsi nimejiandikisha na nina zana...
 5. N

  Niko full, Nina jambia la kuchinjia chama Uchaguzi Mkuu

  Niko tayari, nimejiandaa, niko tayari kwa mapambano. Tume ya taifa kupitia zoezi la uandikishaji wa wapiga kura,hatimaye nimepata jambia la kuulia mtu. Hii ni silaha hatari sana kwa CCM. Mwaka huu lazima iue mwanaccm yoyote kuanzia Udiwani, Ubunge na hata Urais. Sina mdhaha, naua watu watatu...
 6. N

  Niko full,nina jambia la kuchunjia chama mwezi wa kumi

  Niko ful,nimejiandaa,niko tayari kwa mapambano. Silaha ya mnyonge imepatikana,sio nyingine bali ni ile ya kupigia kura. Mimi naiita jambia,lazima mtu aumie awamu hii lazima achinjwe mtu awamu hii. Si mwingine,chama cha kijani lazima kife,ndo silaha yangu hii.. Nendeni mkajiandikisheee..
 7. N

  Kama tatizo kubwa la nchi hii ni ufisadi, basi, Dr Slaa anafaa kuwa Rais wa JMT

  Tumekuwa na matatizo lukuki ya kiuchumi,kisiasa na kijamii kwa muda mrefu,lakini matatizo yote haya ni matokeo ya tatizo sugu la RUSHWA na UFISADI. Bila rushwa na ufisadi matatizo mengine ya kiuchumi na kijamii yataondoka menyewe bila kutumia nguvu kubwa. Kutokana na vuguvugu la urais wa awamu...
 8. N

  Lowassa hajui matatizo ya Tanzania! Kikwete atakuwa bora kuliko Lowassa akiwa rais...

  Ni nchi chache sana zilizoendelea kupitia elimu kwanza mfano mzuri ni nchi ya china,korea kusini nk. Nchi zilizo nyingi zimeendelea kutokana na mapinduzi ya kilimo,nchi kama India,Marekani,Mexico nk. Nchi nyingine zimeendelea kwa kuwekeza kwa kiasi kikubwa ktk sekta mama (zinazoajiri watu...
 9. N

  Marafiki watamwangusha.

  Huwezi kujiita msafi wakati marafiki zako sio wasafi. Wanasema,ukitaka kujua tabia ya mtu angalia marafiki zake. Mtu mwenye nia ya dhati hupimwa kwa kauli na matendo yake. Yeye hana kauli ya kukemea maovu yanayoendelea hapa nchini. Hivi ana msimamo gani? Baya ama zuri kwake poa tu. Halafu bado...
 10. N

  CCM haiko tayari kubadilika,imeishiwa mikakati, imepigwa upofu.

  CCM iko katika hali mbaya kuliko wakati wowote ktk historia ya nchi hii. Hawasomi alama za nyakati. Kama wanasoma hawako tayari kubadilika. CCM imepigwa upofu,naifananisha na kipofu aliye ndani ya chumba chenye giza akitafuta kofia nyeusi. Wamekosa mikakati. Hawaoni hatari iliyopo mbele...
 11. N

  Namhurumia Rais Kikwete,anaumiza kichwa,yupo njia panda!

  Hili liko wazi. Halikitaji elimu hata ya ngazi ya cheti kulijua hili. Namhurumia sana JK,ana wakati mgumu sana. Anashindwa nani awe rais wa JMT kupitia chama chake. Hii ni hatari sana kwa rais wa nchi kuwa njia panda. Rais anakosa hata washauri. Mawaziri wake wametangaza kuutaka urais. Nani...
 12. N

  Jinsi ambavyo tunaweza kuondoa kama sio kupunguza tatizo la Rushwa

  Rushwa ni tatizo tena tatizo kubwa. Rushwa tunaikuza na kuifanya itamalaki wenyewe kwa udhaifu wa sheria zetu. Sheria haiwezi kusema kuwa anayepokea ama kutoa rushwa wana makosa,swali la kujiuliza,nani atamripoti mwenzie kuhusu rushwa? Jibu,ni hakuna. Sheria lazima imuonee mmojawapo na kumpa...
 13. N

  Ni lini wanaccm hawa watanyang'anywa uanachama?

  Yupo Edward Lowasa, Wiliam Ngeleja,Prof Tibaijuka,Gurumo,Andrew chenge na mahujumu uchumi mengine. Nauliza tu,ni lini hawa watu watafukuzwa uanachama ccm na/au kufukuzwa? Sababu za kufukuzwa ni kuwa maadili na uadilifu wao una mashaka makubwa. Mbona,mwansheria wa zanzbar,Himid mansour na Mzee...
 14. N

  Ni mwaka wa maamuzi magumu kibovu,haramu na kichafu hakitapita.

  Huu ni mwaka wa uchaguzi mkuu wa rais,wabunge na madiwani. Ni mwaka wa maamuzi. Ni mwaka wa kuleta mabadiliko chanya ya kisiasa kupitia sanduku la kura. Ni mwaka wa pekee ambao haujawahi kuwa na watz wenye mwamko mkubwa ktk kuleta mabadiliko ya kisiasa ktk nchi yao. Watz wamejiandaa vya...
 15. N

  Huyu mwanamke sio mwaminifu

  Hiki ni kisa cha mume na mke kuachana. Watu hawa walifunga ndoa mapema. Mke alianza kumfahamu mume baada ya kuolewa tu,hakuwahi kukutana na mwanaume awaye yote. Wamejenga familia pamoja,wamezaa watoto na kulea . Wameishi pamoja kama familia,wakiwakosoa majirani kwa kushindwa kuwa na...
 16. N

  Mitihani,majaribu na changamoto kwa CCM

  Ccm inakabiliwa na mitihani,changamoto na majaribu mengi sana. Kuondokana na haya sio kazi rahisi kama wengi wa wanaccm wanavyofikiria. Changamoto na majaribu haya,they have something called trade off yaani utatuzi wa changamoto au jaribu moja kunaweza kuzua changomoto nyingine au matatizo...
 17. N

  UKAWA mkishika dola,mulikeni awamu ya tatu na ya nne

  Namuomba Mungu CCM ianguke katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu na kukabidhi dola kwa UKAWA. Sina hamu na CCM,chama kilichojaa wezi na mafisadi,wanatamba hadharani kuwa ni magamba sugu,wao ndio wenye nchi nk. Hatuwezi kuendelea kuwa chini ya hawa majizi. Mfano Chenge kila kashfa yeye yumo,kila...
 18. N

  Makundi ndani ya CCM,ni anguko lisilokwepeka kwa wenye maono wameliona hilo

  Kuwepo kwa makundi ndani ya CCM ni anguko lisilohitaji elimu ya chuo kikuu bali wanaojua kuachanganya karata zao wameliona hilo. Uwepo wa watu wengi kutangaza nia ndani ya chama hiki cha CCM ni fikra zilizotawala kwa waliotangaza nia ya kugombea urais. Wameona bora kuwa rais katika kipindi...
 19. N

  Anayetumia pesa ili akubalike hana sifa

  Imekuwa ni kawaida kwa watu wanaosaka madaraka kutumia pesa ili kupata madaraka almaarufu kama rushwa na takrima. Kiukweli,huwezi kutumia pesa kushawishi watu,moja kwa moja jitambue tu kuwa huna sifa hata kidogo. Sifa za kiuongozi hazitangazwi huo sio utalii au biashara ya bidhaa au huduma...
 20. N

  Kwa JK,wezi ni watumishi wadilifu,waminifu na majembe.

  Waliopewa pesa in good faith wanaapa hadharani na kusema wao ndio majembe wa JK. Wezi na washauri wabovu,wanasifiwa na kikwete kwa utumishi uliotukuka,wamefanya kazi ka uaminifu na uadilifu. Shame on this. Nchi hii ni kama haina rais kabisa. Kazi ya rais ni kusifiwa wezi,kwa Lowasa hivyo hivyo...
Top Bottom