Search results

 1. B

  Uchaguzi 2020 Chief kalumana Mgombea Ubunge wa CHADEMA Bukoba mjini akamatwa, Mabomu yapigwa uapishwaji wa Mawakala

  Chief kalumana inasemekana amakamatwa na polisi akiwa eneo la kuapishwa mawakala na mawakala wa chadema hawajaapishwa hadi sasa. ===== Jeshi la polisi mkoani Kagera limelazimika kutumia nguvu kuwatawanya wafuasi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiongozwa na mgombea ubunge jimbo...
 2. B

  CCM tuhubiri na Haki sio Amani tu

  Ukimsikiliza kila kiongozi ndani ya chama chetu cha CCM kuanzia kwa mgombea wetu John Pombe Magufuli na wengine wote hakuna anayetamani kugusia neno Haki katika mikutano yao kila mmoja anahubiri Amani tu, hii si sahihi. Amani ni zao la HAKI, hebu tuichambue kauli hii au sentensi hii kwa undani...
 3. B

  Nafasi ya kazi ya Msusi-Saloon

  Wanahitajika wadada wawili wenye ujuzi wa kusuka mitindo yote ukiwemo mtindo wa "YEBO" saloon ipo Mwanza -Nyamanoro, mshahara ni mzuri, unapewa, nauli, na pesa ya chakula tofauti na mshahara. Kwa wahitaji ni-PM. Karibuni Sana.
 4. B

  Serikali ya Wanyonge, bei ya vifaa vya ujenzi yapaa maradufu, kunani?

  Ewe Serikali ya wanyonge nini kinajiri huko kwenye viwanda vya vifaa vya ujenzi? mbona Bei inapaa sana na hatusikii tamko la serikali kuhusu kupaa huku kwa bei? Mathalani, kanda ya ziwa Cement ilikuwa inauzwa sh. 18500, baadae ikapaa hadi 19000, baada ya siku 5 ikapaa hadi 19500, baada ya siku...
 5. B

  Ushauri kwa CHADEMA na UKAWA

  Kwa kuwa Serikali ya awamu ya Tano imeonesha wazi wazi kutotaka mfumo wa vyama vingi kwa namna yoyote ile ile halali au haramu. Na kwa kuwa mazingira yote yanaonesha kuwa huko mbeleni hasa uchaguzi wa mwakani na wa 2020 mauaji kwa raia yatakuwa mabaya sana. Na kwa kuwa hakuna dalili yoyote ya...
 6. B

  Mwanza: Maduka mengi ya wahindi hayatumii EFD'S

  Maduka mengi ya raia wa kitanzania wenye asili ya kihindi hayatumii mashine za EFD's, TRA mkoa wa Mwanza sijui wanafanya kazi gani maofisini? serikali inakosa mapato, wafanyabiashara wanapata faida kubwa sana kwa kuiibia serikali. Mkoani mwanza, maduka yanayouza pikipiki, magodoro, TV, nk...
 7. B

  Sakata la Ukwepaji Kodi: Barrick kuanza Mazungumzo na Tanzania wiki ijayo

  Barrick Gold to talk with Tanzania about US$190-billion tax bill Barrick Gold president Kelvin Dushnisky speaks during the company's annual general meeting in Toronto on Tuesday, April 25, 2017. (Nathan Denette/The Canadian Press) TORONTO -- Barrick Gold Corp. (TSX:ABX) said in its quarterly...
 8. B

  Jeshi Tumieni Mbinu HII kuwakamata wauaji KIBITI

  Nashangaa huo ujasusi na upelelezi huko Pwani maeneo ya KIBITI, MKURANGA na RUFIJI kuchukua muda mrefu hivyo, sijui walisomea wapi huo upelelezi au ujasusi? Katika hali kama hiyo, na mkishawasoma wauaji mbinu wanayotumia na hasa huko PWANI basi ni rahisi kubadili mbinu zenu!! Kwa kuwa wauaji...
 9. B

  Marais wastaafu Tanzania huwapa wakati mgumu warithi wao.

  Marais wa Tanzania wanaostaafu kuanzia kwa Mkapa hadi Kikwete wamempa na wanaendelea kumpa wakati mgumu sana Rais Magufuli, hii ni kwa sababu, kila eneo ambalo Rais Magufuli anagusa, hakosekani mmojawapo na hasa hasa JAKAYA KIKWETE, sijui alienda ikulu kufanya nini? IPTL anatajwa sana JAKAYA...
 10. B

  Umoja wa Ulaya waitega Tanzania

  Baada ya Tanzania kuonesha kutokuwa tayari kusaini mkataba wa EPA, sasa Umoja wa Ulaya umebuni mbinu mpya ya kumlainisha Rais na Serikali kwa ujumla, sasa Umoja huo umeamua kutoa " Msaada wa Sh. Bilioni 490" kwa kipindi cha miaka 4 ijayo. Kumbukeni huu ni msaada na si mkopo, sasa serikali...
 11. B

  Rais Magufuli siasa si uadui, Una kifua kweli?

  Nimeshtushwa sana tena sana na taarifa kwamba, Rais Magufuli amewaonya wabunge wake wa CCM wanaogawa Muda wao kwa Wabunge wa Upinzani. Pia, Rais amemwagiza baba ya mbunge mmoja wa kike amuonye mwanaye kwa kitendo chake cha kuvujisha siri za Chama kwa huyo mbunge wa Upinzani, kwanza, mwanzoni...
 12. B

  Nimekuvulia kofia Rais Magufuli, hongera sana

  Heko JPM, sasa nakuvulia kofia, ni wazi kuwa sasa Kila mtu ndani ya CCM anakuogopa kama simba au chui, umefanikiwa kuwatikisa CCM na kupenyeza mambo yako uliyotaka yapite, na kweli yamepita, hongera sana. JPM kafanikiwa kuwajengea nidhamu ya uoga wenzake ndani ya CCM na tabia hii kaitoa...
 13. B

  Makonda kuwa Mgeni Rasmi siku ya Wanawake Duniani

  Tarehe 8 march mwaka huu, mkuu wetu wa mkoa wa Dar anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani yatakayofanyika kwenye uwanja wa Mwembeyanga TEMEKE jijini Dar. Hii ni kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar. Katika taarifa hiyo...
 14. B

  IGP Mangu awasimamisha kazi askari polisi 12 wanaodaiwa kujihusisha na mihadarati

  1.PF 14 IGP Ernest Mangu akiwa mubashara kupitia STAR TV, ametangaza kuwasimamisha kazi maofisa kadhaa wa Jeshi lake kupisha uchunguzi juu ya sakata la kujihusisha na mtandao wa madawa ya kulevya. Mbali ya kuwasimamisha kazi, IGP Ernest Mangu ameagiza uchunguzi ufanyike dhidi ya askari...
 15. B

  Mwijage Acha Sound, Msaidie Rais.

  Waziri wa Viwanda Charles Mwijage kweli nimeamini kwa "Sound" alizonazo, jamaa anapiga sound hata pasipostahili sound, mwanzoni nilidhani kuwa aliwahi kuwa mkuu wa propaganda sehemu yoyote kumbe hakuna...!! Mh. Waziri Nchi inahitaji viwanda siyo sound, fuata ushauri wa Mwenyekiti wa...
 16. B

  Kutoka Simiyu: Rais Magufuli kuhutubia wananchi

  Muda mfupi ujao, Rais Magufuli atakuwa Mubashara akihutubia wananchi wa Tanzania huko Simiyu, Kituo cha Star Tv kitakuletea matangazo haya mubashara kuanzia sasa. Nipo Nyumbani kwangu naangalia mahajiano mubashara kati ya mtangazaji wa Star Tv na wananchi wa simiyu wakati Rais akisubiliwa...
 17. B

  Tetesi: Mkoa wa Mara kugawanywa

  Kuna taarifa ambazo bado ni tetesi kuwa Mkoa wa Mara unategemea kugawanywa na kuwa mikoa miwili, Taarifa zinasema, kutakuwa na Mkoa wa Mara kaskazini na Mara kusini, hali kadhalika, wilaya kadhaa zitaongezeka ili kukidhi mahitaji ya kimkoa. Taarifa zinadai kuwa, Makao makuu wa Mkoa mpya wa Mara...
 18. B

  Majenerali Wamgeuka Yahya Jammeh, sasa kwenda uhamishoni

  Jenerali MUSA SAVAGE na Jenerali Badjie wamemgomea Rais wa Gambia Bwana Yahya Jammeh, wakisema tarahe 19 January 2017 wataanza kumtii Rais mteule ADAMA Barrow, linataarifu Gazeti la FREEDOM la Nchini humo. Taarifa zinasema, Jana Alhamis Ikulu ya Gambia kulikuwa na Kikao cha " SECURITY...
 19. B

  Rais Magufuli jifunze kwa Rais Tayip Edorgan wa Uturuki

  Rais wa Uturuki Bwana Tayip Edorgan aliomba mitandao ya kijamii nchini mwake ifungwe kabisa kwa sababu ilikuwa inaichafua serikali yake na yeye mwenyewe, Baada ya Muda mfupi, Jeshi lilifanya jaribio la mapinduzi, akiwa kwenye mapumziko kwenye mji mwingine hapo hapo UTURUKI, Muda mfupi baada ya...
 20. B

  Tunahitaji Electoral Votes kwa Tanzania

  Zina faida sana hizi Electoral Votes, Kwa Tanzania kila Mkoa utapewa idadi yake ya wajumbe (Utaratibu wa kuwapata wajumbe na sifa zao utawekwa kwa mujibu wa Sheria na kwa maridhiano ya wadau wote, Wajumbe hawa ni lazima wawe watu weledi, wasomi, wazalendo na watu Intelligent) Idadi ya wajumbe...
Top Bottom