Search results

 1. K

  Mkimaliza watumishi hewa, tuondoleeni na hili

  Waheshimiwa mmalizapo kuwapunguza hao watumishi hewa, mimi nashauri pia mfuatilie na wale wote wanaotumia vyeti vya taaluma vya marehemu na kujipatia ajira, pamoja na vyeti vya diploma, degree na masters vya bandia na huku wakijuwa elimu hiyo hawakuipata kwa kukaa darasani.
 2. K

  Viwanja vinauzwa eneo la kiseke B Mwanza Wilaya ya Ilemela

  Habari za jpili. Nina viwanja vitatu vipo pamoja vyenye ukubwa wa 15 x 30 sq meter, eneo la kiseke B. Maji na umeme vipo jirani kabisa na vilipo viwanja. Bei ya kuanzia ni 7m maelewano yapo kwa anayehitaji. Tuwasiliane kwa 0717008685.
 3. K

  Nashauri mjadala Hamphrey Pole pole vs Kafulila suala la Escrow

  Mheshimiwa Pole Pole ambaye umekuwa ukijibainisha kuwa mkweli na muwazi, ningependa pia uongelee suala la TEGETA ESCROW,RADAR SCANDAL na mengine mengi ambayo yametokea ndani ya Taifa letu kwani mimi binafsi nashindwa kuelewa kwa nn umejikita kwenye mada moja tu ya Rich Mond kana kwamba mengine...
 4. K

  Kafaulu sana lakini kapangiwa shule haina maabara

  Poleni na majukumu ndugu zangu. Naombeni ushauri wa mawazo ya nini cha kufanya au wapi pa kuanzia, kuna mdogo wangu mtoto wa Shangazi yangu, amemaliza form 4 Mzumbe na kubahatika kufaulu kwa daraja la kwanza na point 12 na katika combination yake ya PCB. ana B+,B+,A. Lakini amepangiwa...
 5. K

  Viwanja vyenye ukubwa wa 15x30 Kiseke B Mwanza viko sokoni

  Kwa anayehitaji viwanja vipo Kiseke B Wilaya ya Ilemela Mwanza, vinauzwa vyote vipo sehemu moja , gari linafika na umeme upo jirani kabisa, bei inaanzia 5milioni kwa kila kimoja ila pia inapungua kwa anayehitaji kuanzia viwili au kwa anayechukuwa vyote. karibuni tuwasiliane kwa 0717008685 /...
 6. K

  Eneo linauzwa kiseke b mMwanza

  Wadau poleni na majukumu naomba kuwapa taarifa kwa walioko naeneo ya Mwanza kuna eneo linauzwa ambalo lina viwanja 4 vyenye ukubwa wa 15x30 sq meters maeneo ya KISEKE B WILAYA YA ILEMELA. Gari linafika mpaka kwenye hilo eneo na umeme upo. Linauzwa lote bei ya kuanzia ni 25 milioni au kama...
 7. K

  Eneo linauzwa Kiseke B Mwanza (Ukubwa Ekari 1)

  Habari wadau kwa wale walioko maeneo ya Mwanza hasa wanaopafahamu KISEKE B wilaya ya Ilemela kuna eneo lenye ukubwa wa ekeri 1 halijapimwa lakini linauzwa, bei inaanzia milioni 25 maelewano yapo kwa anayehitaji baada ya kuliona. Piga namba hizi 0783250791 /0757849188. Ahsanteni
 8. K

  Eneo lenye ukubwa wa hekari moja linauzwa lipo kiseke b wilaya ya ilemela mwanza.

  Habari wana JF mwenye kuhitaji eneo maeneo ya kiseke B wilaya ya ilemela mwanza lina ukubwa wa hekari moja ni zuri na panafaa kwa makazi. Bei inaanzia milioni 20. kwa mwenye kuhitaji apige namba 0757849188 kwa maelezo zaidi na kama atahitaji kwenda kuliona sawa halina mgogoro wowote.
 9. K

  Kiwanja chenye msingi wa nyumba ya kisasa Goba mwisho kinauzwa

  Kina ukubwa wa 1800 sq meter,pamoja na msingi wa nyumba ya kisasa ,gari inafika mpaka kwenye kiwanja, kwa wenye kuhitaji wanaweza kuona baadhi ya picha za eneo kwa kuni- add kwenye whatsap kupitia namba hii 0716904091, au kwa kuni- pm ili tuweze kuongea mengi juu ya bei na vitu vinavyohusiana...
 10. K

  Kiwanja chenye msingi wa nyumba ya kisasa Goba mwisho kinauzwa

  Poleni na majukumu ndugu zangu,kiwanja chenye ukubwa wa sq m2 1800 na msingi wa nyumba kubwa ya kisasa ninakiuzwa. Kwa anayehitaji kuona huo msingi wa nyumba ani add kwenye whatsap kupitia namba hii 0716904091 niweze kutuma hizo picha na kwa mawasiliano zaidi ni Pm tuwasiliane kuhusu bei na...
 11. K

  Kiwanja na msingi wa nyumba kinuzwa goba.

  Kiwanja chenye ukubwa wa 1800 sq.meter na chenye msingi wa nyumba ya kisasa kinauzwa maeneo ya Goba.kwa aliyetayari tuwasiliane kwa PM tuweze kuongea kuhusu bei na kuweza kumtumia picha za eneo na ramani ya nyumba kama atataka vyote vipo. Naomba kuwasilisha.
 12. K

  Nawashukuruni nyote.

  Naomba nitumie muda wangu kuwashukuru wale wote walioonyesha nia ya kutaka kununua pharmacy ambayo nilisema ilikuwa sokoni. Nashukuru nimeshaiuza. Ahsanteni sana. Nimeona niwashukuru kwa kuwa wengine mlitoa ushauri ambao ulisaidia.
 13. K

  Pharmacy for sale

  For those who are interested and need to do business you may have a look on how it looks like, i would however need who are real serious so that we can avoid some sort of inconveniences and wastage of time.much appreciation
 14. K

  Pharmacy inauzwa

  Duka lipo kinyerezi mbuyuni kama unatoka airport ni upande wa kushoto kuna fremu 17 za biashara opp na nyumba za NSSF. Ndipo pharmcy ilipo, kwa mwenye kuhitaji ani pm tuweze kupena contacts. Ahsanteni sana.
 15. K

  Prof. Benno Ndulu, nasikitikia ukwapuaji wa kiasi cha shilingi bilioni 200 kutoka Benki Kuu ya Tanzania(BoT)

  Heshima kwako prof. Benno Ndulu, nimesikitika sana na hizi taarifa za ukwapuaji wa kiasi cha bilion 200 fedha za ki-Tanzania kutoka katika ofisi yako(BoT). Nasikitika zaidi kuona unakili juu ya ukwapuaji juu kwamba ulipata maelekezo toka ktk mamlaka za juu yako, nilidhani unayo mamlaka pia kwa...
 16. K

  Mwenye kuhitaji Pharmacy

  Wadau mwenye kuhitaji na anayeweza kuendesha biashara ya duka la dawa yaani pharmacy .Pharmacy imekamilika ww ni kufungua na kuanza kuuza ni ya kisasa, hii ni baada ya kuhamishwa kikazi nashindwa kuisimamia, kwa aliye serious ani pm.
 17. K

  siku ikifika mtanikumbusha

  Mgogoro uliotokea ndani ya CHADEMA ni afadhari kuliko mgogoro utakaotokea ndani ya CCM siku si nyingi na utakaopelekea mpasuko mkubwa na wengine kujiunga na kambi rasmi, take my words
 18. K

  ATM za CRDB

  Mara nyingi inapofika saa 12 au saa 1 usiku ATM za CRDB na baadhi ya bank nyingine zinakuwa hazitoi service (sorry ATM closed) hali hii kwa kweli inaleta usumbufu maana inaenda mpaka taktibani saa 3 hivi ndo huduma inarejea. Na anayekuwepo mara nyingi ktk hizo ATM ni askari wa ulinzi either wa...
 19. K

  huu sio utani juu ya haya

  Ofisi za serikali watumishi wengi wana degree, diploma na certifiates za kutendeneza/ kuchongesha na wala hawakuwahi kwenda ktk hivyo chuo, taasis na mashirika ya watu binafsi ndo usiseme, harafu tunalalamika utendani/ ufanisi wa kazi
 20. K

  Neno hili leo huenda ndo limetawala

  Vyumba vimejaa
Top Bottom