Search results

 1. J

  Nahitaji mwanamke asiyezaa

  Kama wewe ni mwanamke mgumba umri 18 - 30, basi mie nilikuwa nakutafuta wewe! Kiufupi ni kwamba nataka kuoa ila sina mpango wowote wa kuwa na mtoto (yaani mpango wowote). Kwa minajili hiyo basi mwanamke anaenifaa zaidi mie ni mwanamke mgumba ili tujenge maisha pamoja. Niweke angalizo: 1...
 2. J

  Nakuja na swali kwa dada zangu 40+

  Habari za muda huu wanachama wenzangu wa Jamiiforums. Mimi kuna jambo huwa linanitatiza SANA. Huwa linanitatiza kiasi cha kunipa maswali mengi sana kichwani. Na leo naomba niwaulize dada zangu wa 45+. Unakuta kuna mama/dada wa miaka zaidi ya 40 au 45 au pengine hata miaka 50 anajaribu...
 3. J

  Wana-MMU hebu niambieni mimi ni mwanaume wa ajabu?

  Habari zenu wana-MMU. Nataka maoni yenu katika hili swala. Swala hili linaonekana la ajabu kutokana na mila na tamaduni zetu za ki-Afrika ila SIO DHAMBI kabisa. Mimi siitaji kuja kuwa na mtoto katika maisha yangu yote ila nataka kuoa niwe na mke TU. Hii ni kawaida sana kwa nchi za ulaya na...
 4. J

  Zawadi nzuri kwa mswazi mwenzangu

  Kuna mwanamke wa uswazi hapa kwetu, uswazini nimetokea kumpenda. Nikamsimamisha maeneo fulani kuongea nae, nikamtongoza, akanijibu nyodo. Sasa kwa sabu mi nampenda nataka nitumie njia ya zawadi kumlainisha. Kwa kipato changu cha kiswazi ni zawadi gani ya bei rahisi ? Nimewaza kuhusu vizawadi...
 5. J

  A woman is needed for serious relationship

  Hi! All members of this forum. I'll try to be as brief as possible. I need a woman for serious relationship that leads to marriage if things goes well and plans are clinched. I am 28 years old. I am 5.9 feet tall. Black Not thin nor too fat. I am living in Dar es salaam. The lady i need...
 6. J

  Benki nzuri kwa masuala ya Mastercard payments and refunds

  Napenda nianze kufanya manunuzi mitandaoni lakini NMB wamenikwamisha. Mimi ni mteja wa NMB lakini kadi zao za mastercard, hazina hiyo functionality naweza kusema. Nishajaza form yao wiki iliyopita ya kuniwezesha kununua mtandaoni (achana na form ya kulata Mastercard) lakini nikienda kujaribu...
 7. J

  Sifa kubwa ya mwanamke mdangaji

  Leo nataka ujue namna ya kujua mwanamke ambae anadanga. Yani ile umemfia ile mbaya unajitahidi kuhudumia lakini sasa hujui kama anadanga. Sifa yao kuu ni moja tu: UONGO. Sikiliza sana ulimi wao, sifa kubwa ya mwanamke mdangaji ni uongo na pretence.
 8. J

  Jamani Wasukuma nisaidieni kutafsiri hayo maneno

  Lekangishi ukwikala mutuhaya tulimbasha mangosha nimbule umbise tutamuyomba ishitwa shimo mbangosha Moye mbangosha ukuimilela makabila kila siku yambizile masukum nduhu ambakuhoyelwa umu ulutinamayo kwahgana umu walala nduhu
 9. J

  Wanawake wasio na sura nzuri sana ni wastaarabu sana

  Si ajabu ndio wanaoongoza kwa kuolewa. Hakuna mwanaume anaejielewa amuoe mwanamke wa hovyo hovyo kisa ana sura nzuri. Nyie wenye sura nzuri msipojirekebisha mtaishia kudanga tu. Samahani nilisahau kusalimia.
 10. J

  Je, Toyota IST itanifaa kwa urefu wangu wa 6. 1 feet?

  Habari za saa hizi members wa forum ya magari. Najua humu kuna wazoefu wa Gari aina ya Ist. Ndio gari yangu ya kwanza nnayotaka kuinunua kwa sababu tatu. I. Utumiaji mdogo wa mafuta (nachukua yenye cylinder ya 1300) II. Nimeambiwa Haichemshi kwa safari za Dar - Moshi. III. Upatikanaji...
 11. J

  Mwanamke jua unachohitaji mapema

  Leo naomba nizungumze na wanawake. Nyie wanawake baadhi yenu ni wa.pu.uzi sana. Umri ukienda ndio mnajua mnachohitaji yaani mwanaume serious mtu mzima tena mnatambua hilo baada ya kuchezewa sana sana na masharobaro na mabraza meni. Mnapokuwa katika umri mzuri na mna mvuto mnakuwaga na nyodo...
 12. J

  Wapi nitanunua simu kwa bei ya jumla

  Habari zenu wadau wa jukwaa la biashara. Mdau mwenzenu nimewaza sana biashara ya kufanya baada ya kudunduliza kwa mda mrefu sana Tsh 10 millions na nikakopa 10 million jumla nna 20 million, nimeona nifanye biashara ya kuuza simu. Mpango wangu ni huu. Soko/Frame: Arusha mjini. Brand: Samsung...
 13. J

  Mwanamke wa Kitanga akikutaka anakupata tu

  Habari za jioni. Kuna jambo nimejifunza ila nimechelewa sana kulijua. Lakini huu ndo ukweli. Naamini wanawake wa Kitanga kuna sehemu wanakwenda kufundishwa mambo. Kwa sababu hakuna mwanamke anaejua kumnasa mwanaume kama mwanamke wa kitanga. Mwanamke wa kitanga akikutaka anakupata. Tena bila...
 14. J

  Daah! Upweke unaniua. Natafuta mke

  Sina mengi ya kusema. Sitaki kuwa selective maana upweke unaniua. Kama we ni mwanamke, umri 20 - 27, dini yoyote, rangi yoyote basi njoo tuyajenge. Mimi ni Muajiriwa. Umri wangu ni miaka 28. Naishi Dar es salaam. Dini yangu mkristo. Mweusi, mrefu kidogo 5.7 feet. Njoo PM tuongee kama...
 15. J

  4G ina filisi

  Habari za saa hizi ndugu zangu. Leo nataka nishee nanyi jambo dogo tu. Nimeanza kutumia smartphone zenye uwezo wa 3G kwa mda mrefu na labda niseme kwa muda wote nimekuwa nikitumia simu zenye uwezo wa 3G. Yaani spidi ya mtandao ni ya 3G. Laikini nimekuwa nikisikia habari nyingi sana nzuri...
 16. J

  Nimerudi tena kutafuta mwanamke wa kuoa jamani aliye serious.

  Habari za saa hizi. Kwanza kabisa nikiri kuwa nishawahi kuja humu kutafuta kimwana ila ndo hivo mambo hayakuwa sawa. Kwanza kabisa nikiri kuwa nilipata kimwana ila hakuwa serious kabisaaa... Eti mtu tumewasiliana vizuri tu na kwa amani yote kuwa sawa basi tukutane. Siku ya kukutana...
 17. J

  King'amuzi gani ntaangalia nba.

  Jamani wapendwa mimi ni mpenzi wa NBA. Ila sasa sijui ni wapi ntatizama game angalau nne kwa wiki. Maana tv1 wanaonesha mbili tu kwa wiki halafu wanachaguliwa na kwese ipi waionyeshe. Mimi najua humu kuna wapenzi wa nba kama mimi sasa naombeni mniambie king'amuzi gani kinafaa zaidi kuenjoy nba.
 18. J

  Printer ya matumizi madogo

  Habari zenu wakuu. Kwakweli kwa nafasi niliopata kazini inanilazimu niwe na printer ili nifanyie baadhi ya kazi nyumbani. Sasa mie hizi mashine sizijui fresh, nikaona nikiingia kichwa kichwa kariakoo ntauziwa printer la stationery au printer la kitajiri lenye gharama kulitumia. Naomba msaada...
 19. J

  Natafuta mke

  Jamani nyie wenyewe mnajua maisha ya usingo yanavyochosha na umri nao unavosogea so mie nimeona sasa nitafute mke. Kwanza kabisa mie umri ni VERY LATE TWENTY Elimu yangu ni diploma ya sheria. Nimeajiriwa katika ki aasisi fulani (sio mfanyabiashara). Dini yangu Mkristu. Sivuti sigara wala...
 20. J

  Jamani huyu msichana mie simuelewi. Naombeni ushauri

  Habari za saa hizi wana jukwaa. Kwanza nikiri kabisa, nimekuwa single kwa mda mrefu na hii ni kutokana na kukataliwa na waschana wengi niliokuwa nikiwatongoza. Baada ya hapo nikaamua kupotezea mchongo wa mahusiano so sikutaka kujihusisha kimahusiano na msichana yeyote. Sasa juzi hapa kazini...
Top Bottom