Wanabodi, kama heading inavyosomeka:
TLS- Tanganyika law society na wanasheria wengine, tuleteeni Test case dhidi ya NEC jinsi walivyooendesha uchaguzi huu chonde chonde.
Tunafahamu kwamba, katika katiba yetu hii ya 1977, "the legitimacy of presidential elections results cannot be questioned...
Yafuatayo yatafuata ndani ya miaka mitano ijayo 2020-2025.
1. Madeni yahusianayo na miradi mikubwa ya maendeleo kuwaelemea Watanzania. Miradi hiyo kukwama kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo Riba au kutokukopesheka.
1a. Kuwalalamikia wapinzani kama chanzo cha kukwama miradi hiyo ilihali kila...
Inavyooneka watu kwenda barabarani ni jambo linalotishia na na kuogepesha sana hasa kuhusu utulivu na amani ya nchi ...
watu kwenda barabarani ni kwenda kutafuta haki yao kwa namna moja au nyingine.
Ili kutoa haki:
Nawashauri tume ya uchaguzi - NEC wahesabu Kura pale pale zilipopigiwa na...
Tafadhali sana mheshimiwa sana, Raisi wetu, Dkt. Magufuli, yahusu huyu Tundu Lissu atakaporudi nyumbani Tanzania. Kama kweli alikuwa msaliti, ni Mungu tu ajuaye na ni Mungu tu aliye hakimu wa haki.
Mheshimiwa sana, wewe ni Mkatoliki na pia mseminari, waijua vema hadithi ya mwana mpotevu na...
Ndugu zangu, kichwa cha habari hapo juu chahusika.
Ni swali tu ambalo nimejiuliza sana bila majibu, hivi inawezekanaje kati ya wajumbe 1822 wote wawe na mazawo sawa? wote wampigie Pombe kura 1822 bila hata moja kuharibika? walikuwa wanahofia nini? Kutumbuliwa ikiwa atashinda? kupotezwa...
CHADEMA,
Fanyeni upesi, mtuletee Tundu Lissu aje Kumjambisha huyu wa maendeleo ya vitu Kuliko watu.
Lissu anafaa sana na ana vigevyo vyote. Pombe ikichacha humwagwa, nani wa kuimwaga basi, ni Lissu.
Pombe ya bia haiwezi kujiona bora bila kupambanishwa na vileo vingine kama gongo, whiskey...
Kama ni michango ya harusi- sote tunalipa
Kama ni michango ya ujenzi wa shule- tunalipa
Kaka sina Ada- tunalipa
Dada sina karo ya shule-tunalipa
Mama mwaka huu mvua haikunyesha- tunalipa
Mwanangu nikakufa na njaa- tunalipa
Mwanangu nyumba inaniangukia- tunalipa
Kaka sina viatu vya shule wala...
Wana jamii, niombe radhi kama kuna kati yenu hapa amekishwa post baada ya kuona hii article toka kwa majirani zetu wakenya wanaodai kwamba barabara ya Arusha- Musoma ikijengwa itazuia great migration ya wanyama kwenda Kenya na hivyo watakosa soko la watalii, wanyama watauwawa yaani mass...
Wana jamii, niombe radhi kama kuna kati yenu hapa amekishwa post baada ya kuona hii article toka kwa majirani zetu wakenya wanaodai kwamba barabara ya Arusha- Musoma ikijengwa itazuia great migration ya wanyamwa kwenda Kenya na hivyo watakosa soka la watalii, wanyama watauwawa yaani mass...