Search results

 1. D

  Mtazamo wangu kuhusu Mababeru

  Habari wana jamvi poleni na kazi, Katika harakati za hapa na pale kuhusu mustakabali wa taifa na mambo yote yanayoendelea ningependa kutoa mtazamo wangu kuhusu hawa watu wanaoitwa '' mababeru''. Ni jambo amabalo lianishangaza sana sana watu huku mitaani pia na kwenye majukwaa ya kisiasa kumekua...
 2. D

  Ni upi usahihi kuhusu uwepo wa Dinosaurs duniani?

  Katika kusoma soma huku na kule nimekuatana na kitu ambacho kimenichanganya; labda nilete kwenu wana ndugu. Ipo hivi: Katika kufuatilia historia ya Dinosaurs inasamekana kwamba waliishi miaka kama billions zilizopita ila na kwa kipindi hicho hakukuwa na binadamu, lakini katika maandkio...
 3. D

  Je, ni halali kwa mtanzania kumiliki elecrtoshock weapon kama taser gun?

  Naomba kuuliza kwa watu wenye uelewa kama anafahamu chochote kuhusu Serikali inaruhusu kumiliki hii kitu. Kwa msiofahamu taser gun ni kifaa ambacho kinatoa umeme volts kazaa pale mtu unapo kugusisha mwilini au kukufaytulia na kukufikia ina discharge na kumfanya apigwe na shoti kama mtu...
 4. D

  Ni wapi nitapata kibarua cha kuniwezesha kupata angalau Tshs 7000 kwa siku?

  Salam wakuu, Naombeni msaada mimi nina shida ya kama laki 3 ila naomba kulekezwa sehemu ambapo naweza ni kapata kibarua cha kuingiza hata 7000 kwa siku ili ni changamke nifanikishe lengo langu. Ahsanteni.
 5. D

  Bora mwanaume mnywa pombe au mvuta bangi?

  Jana katika mizunguko yangu nilienda sehemu kupata chakula kidogo kukawa kuna wadada wanabishana kuhusu jambo moja. Kati ya mwanaume mvuta bangi na mnywa pombe yupi ana afadhali ikiwa wote wanajiheshimu.. Je, wanawake wa humu JF swali langu ni bora uwe na mahusiano na mwanaume anaekula bangi...
 6. D

  Suala hili la ndoa na usaliti

  Wakuu habarini za kazi, poleni majukumu na shughuli za hapa na pale katika kujitafutia mkate wa kila siku na imani mko vizuri. Tuingie kwenye point, kiukweli mimi ni kijana wa miaka 25 nimekuwa member wa muda mrefu sana wa JF toka nikiwa na miaka 21 katika kusoma comments za watu mbali mbali...
Top Bottom