Search results

 1. K

  Polepole: Maendeleo ya watu na vitu, vinategemeana

  Na: Idara ya itikadi na uenezi CCM Taifa. 12 May 2018 Dodoma. Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg. Humphrey Polepole amefafanua kwa kina mahusiano yaliyopo kati ya maendeleo ya vitu na maendeleo ya watu katika mahafali ya Wanafunzi wa Vyuo na Vyuo Vikuu ambapo wanachama zaidi ya 1000 wa...
 2. K

  Prof. Mark Mwandosya ni mpotoshaji

  Na Jumanne Lutengano Majoka Mjasiriamali Mbeya Mjini. Hakuna mashaka kuwa mapokezi ya bashasha na kauli aliyoiandika Prof. Mark Mwandosya katika ukurasa wake wa Twitter baada Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi “Sugu” kuachiwa kwa msamaha wa Rais hapo jana anaungana na kauli ya Sugu mwenyewe...
 3. K

  Mwenyekiti UVCCM Taifa avipongeza vyombo vya habari kwa kuwasemea wananchi

  Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Ndg Kheri Denis James (MCC) ametembelea kituo Cha Habari Efm na Etv katika Ofisi zake zilizopo Mikocheni jijini Dar es Salaam Akiwa katika ziara hiyo ameahidi kuendeleza ushirikiano na vyombo vya habari pamoja na kupongeza wadau wa...
 4. K

  UVCCM yawatakia kila la heri wanafunzi wa kidato cha sita

  Umoja wa vijana wa CCM umewatakia kila la heri wanafunzi wa kidato cha sita nchi nzima katika mitihani ya Taifa inayoanza kesho.
 5. K

  Dhana potofu: Nyongeza ya mshahara Mei mosi

  Na Yahya Msangi (PhD). Lome - Togo Nimepitia kurasa mbalimbali za vijana na wengi leo wamelalamikia mishahara kutoongezwa na raisi. Siwalaumu sana kwa kuwa ndivyo walivyoaminishwa na hakuna anayewaelimisha. Wengi wananukuu au kuongozwa na historia; wananukuu "enzi ya Nyerere". Tatizo ni...
 6. K

  Tuvute subira, Tanzania yenye neema inakuja

  Na Dr. Anthony M. Diallo Historia nzuri sana hii Kuanzia mwaka 1978, ukuaji wa uchumi wa Tanzania na Kenya, vilikuwa ardhi na mbingu. Tanzania ilijikuta katika vita, na baada ya vita ikajikuta mufilisi. Fikiria Taifa lilihitaji dola milioni 300 tu hivi za kufufua uchumi, lakini...
 7. K

  Ufunuo wangu kuhusu tuzo ya Abdul Nondo

  Anaandika Joseph Kalala, Urbana University. Kama haujapata kuuelewa ufunuo basi huu ndio ufunuo wa kweli kuhusu mambo haya yanayoendelea Tanzania; 1. Mabalozi kadhaa kutweet na kuretweet tukio la hivi karibuni la tuzo za haki za binadamu ni ufunuo kuwa mabeberu wanateseka wa maendeleo...
 8. K

  Dr. Magufuli lifted veil: African economies could bask in sunlight

  By Derek Murusuri, Business Analyst 29-4-2018: INCONCEIVABLY when an influential business man based in Africa to try and convince the British Government to re-annex the United States of America to raise a hyper power on earth that would ensure a lasting world peace. In a world dominated by...
 9. K

  Sanaa ya maandamano na sikukuu: Nyuma ya pazia kuna wakubwa

  Anaandika Sheikh, Dr Yahya Msangi(PHD). LOME, TOGO. Ni vyema wenzangu mkaelewa yanayojiri nchi nyingine ili mtafakari kwa makini. Kumekuwa na harakati za kuandaa maandamano nchi mbalimbali Afrika toka kipite kimbunga cha ARAB SPRING. Kipunga kiklichoanzia Tunisia kikasambaa kwa kasi Misri...
 10. K

  Mfahamu Zahera Mwinyi, kocha mpya wa klabu ya Yanga

  Kuhusu Zahera Mwinyi. 1. Kuwa coach katika bara la Africa haihitaji Sana mtu mwenye utaalam mkubwa, Bali anahitajika mtu mzoefu na soka la Africa. "Ukocha ni project" Katika project kuna Mambo makuu matano. 1. Initiate Hapa tunaona kwamba Kuna uanzishwaji wa wazo(idea) katika project...
 11. K

  UVCCM yaanzisha mahusiano na chuo kikuu cha Whitworth Marekani

  TAARIFA 23/04/2018 Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Ndg.Kheri Denis James na mjumbe wa kamati kuu ya CCM Taifa amekutana na kufanya mazungumzo na Profesa Megan Hershey mhadhiri mwandamizi kutoka kitivo cha Sayansi ya Siasa katika Chuo Kikuu cha...
 12. K

  Nani mkweli kati ya Zitto Kabwe vs Serikali sakata la trilioni 1.5?

  Anaandika Abbas Mwalimu UKWELI NI UPI? Nchi yetu kwa sasa ipo katika hali ya sintofahamu ya taaluma ya uhasibu, kufuatia ripoti ya Mkaguzi Mkuu na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali (CAG) kuonesha kuwa kuna kiasi cha shilingi trilioni 1.5 ambazo inadaiwa na baadhi ya watanzania kuwa hazionekani...
 13. K

  Ripoti ya CAG katika Vyama inaonesha hakuna mbadala wa CCM Tanzania

  Na: Said Said Nguya Leo natumia fursa hii adhimu kuwaletea makala inayoeleza mustakabali wa Vyma vya Siasa na mbadala wa Chama Cha Mapinduzi kwa kuitizamia na kuichambua ripoti ya CAG iliyotolea hivi karibuni. Nianze na msemo maarufu unaotumiwa na mwanasiasa mmoja hapa nchini kuwa" Chama...
 14. K

  Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa, Shaka apokea wanachama 283 Zanzibar

  Mbali na kupokea na kukabidhi kadi kwa wanachama wapya 283 katika Mkoa wa Mjini Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Tanzania Ndugu Shaka Hamdu Shaka amezindua pia madaftari maalum ya wanachama kwa ajili ya kusajili upya wanachama wa UVCCM na kuhuisha takwimu zilizopo za wanachama. Vile vile aliyafungua...
 15. K

  Rais wa DARUSO amtumbua Martine Malisa kwa ufisadi

  Taarifa iliyotolewa na katibu mkuu ofisi ya rais DARUSO inasema rais wa serikali hiyo ya wanafunzi Ndg Jeremiah Jilili ametengua uteuzi wa Ndg Martine Malisa B, kama mbunge wa kuteuliwa na rais, waziri wa habari, mawasiliano, mambo ya nje na jumuiya za wanafunzi kuanzia leo kwa kutafuna fedha...
 16. K

  David Kafulila apangua hoja zote za Zitto Kabwe kuhusu ripoti ya CAG

  1. Baada ya Chama Cha ACT kutoa tamko lao kwa kina Jana kuhusu Ripoti ya CAG kwa hesabu za 2016/17, nimeulizwa na wadau wengi kuhusu maoni yangu kufuatia tamko hilo wakihusianisha na msimamo wangu kwamba serikali ya awamu ya tano ni tofauti sana na hivyo kutaka kunisikia maoni yangu kufuatia...
 17. K

  Atakayejaribu kuharibu amani yetu ni heri atangulie akatuandalie makazi ya milele

  Na Said Said Nguya Kutoka Nzasa Dodoma. Leo ninawaletea makala fupi yenye lengo la kukufahamisha wewe Mtanzania namna mbinu chafu za Wamagharibi( Marekani & Ulaya) zinavyotumika katika nchi nyingi za Afrika, Latini Amerika na Asia kuangusha Utawala uendao kinyume na matakwa yao. Nchi za...
 18. K

  UVCCM: Tanzania inaheshimu uhuru, katiba na sheria!

  Katika kutoa salam za krismas na mwaka mpya 2018 kwa watanzania Ndg Shaka Hamdu Shaka (MNEC) na kaimu katibu mkuu wa umoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi, CCM amesema Siku zote uongozi usioheshimu sheria na Katiba ya nchi huwa ni uongozi wa kidikteta. Tanzania haijawahi kuwaza, kufikiria wala...
 19. K

  Pongezi kwa Shaka Hamdu Shaka, Katibu Mkuu UVCCM Taifa

  Kijana huyu wa kizanzibar amestahili kuaminiwa tena na Ndugu Mwenyekiti wa CCM Taifa na UVCCM Taifa kushika wadhifa wa katibu mkuu UVCCM Taifa katika kipindi cha 2017-2022. Awali alikuwa naibu katibu mkuu wa UVCCM Zanzibar ambapo alifanya kazi nzuri sana na kupandishwa kuwa kaimu katibu mkuu...
Top Bottom