Search results

 1. M

  Je wewe una mwanamke yoyote

  Pale mke wako anapoweka kichwa chake kifuani na taratibu anauliza, ′′Mpenzi, je wewe * * una mwanamke yeyote katika maisha yako zaidi yangu?"* * Kumbuka jibu lako sio muhimu kwa wakati huu, cha msingi ni * * mapigo yako ya moyo. Weka moyo wako katika udhibiti, inaitwa Cyber security threat...
 2. M

  Mbwa wangu hana maana

  Mbwa wangu hana maana, unaweza kufikiria mimi na mbwa wangu tulikimbizwa na mbwa.
 3. M

  Navutiwa na wanawake watu wazima

  Mambo vipi wadau Mimi kijana wa makamo 23 years Nina aleji ya kupenda wanawake watu wazima hususani walio single kuanzia 40 na kuendelea Wengi wao huwa wananikata haja zangu haraka nanikishafanya nao mapenzi basi nalizika tofauti na vibinti vya umri wangu kuna mmoja nilimpenda hadi nikawa...
 4. M

  Nataka kujitegemea nahofia hatima yangu

  Nataka kuondoka nyumbani sina pakuanzia Nahitaji kujitegemea wandugu mwenye connection ya kazi yoyote anipe sichagui kazi yoyote nipo tayari Nina umri 24 Nipo. Mkoa Tanga Nina diploma ya electrical engineering Nafanya kazi yoyote ile nipate angalau mtaji wa kuanza kujitegemea. Mawakala wa...
 5. M

  Ukishindana na mwenza wako kula utamfanya asikuache daima

  Kama title inavyooeleweka Ni kipindi kirefu nilikuwa natafuta njia za kumteka mpenzi wangu basi kila jioni tunatoka kwenda kula njee Basi tukifika mgahawani tunaagiza chakula kizuri kisha tunaanza kushindana kula kama mishkaki namwambia kabisa bhana ukila taratibu me nakumalizia na utaambulia...
 6. M

  Uwekezeji mkandarasi wa umeme

  Habari. Leo nimekuja na Nada tofauti kabisa. Nina mtaji wa 1M nahitaji kuomba leseni ya ufundi umeme wa majumbani na viwandani. Sijafahamu taratibu za kusajili kampuni, kuwa na Tin number na kuorodheshwa kwa wakandarasi wa umeme. Nani anaweza kunisaidia kukamilisha michakato yote. Tuwasiliane.
 7. M

  DEAR FATHER

  J okoch Makete Bwana mpendwa,Dingi Nimeandika barua hii kukuambia kuwa ninaishi shule yako kwa uzuri kabisa. Kwa nini shule hii ni shule yako teachas wanapiga hatari sana. Sometimes one day of upon a time nilitaka kulia but my friends telled me...
 8. M

  Tusikate tamaa

  Kukatishwa tamaa na changamoto ni sehemu ya maisha, lakini kamwe usikate tamaa na maisha. Leo ni ngumu, kesho ni mbaya zaidi, lakini hakika jua ni lazima litakuja. Kuwa wewe na usiruhusu yaliyopita yakutese. Chukua mafunzo bora kutoka kwake na uendelee mbele. Tazameni wema kwa kila hali badala...
 9. M

  Natafuta kazi za ndani (house boy) ndugu zangu nisaidieni

  Natafuta kazi za ndani (House boy) ninaweza kutunza bustani na kufanya usafi naombeni msaada. Mawasiliano yangu ni 0674709210
Top Bottom