Wizkidayo a.k.a StarBoy pamoja na Davido wote wameachia Album zao ambazo kwa sasa zimekuwa gumzo Afrika mpaka Worldwide.
Kama umepata fursa ya kuzisikiliza ipi umeielewa zaidi?
Wizkid MADE IN LAGOS Au Davido A BETTER TIME.
Forgive Me.
Wakuu umeona ujio wa Davido???
Baada ya hasimu wake kuachia Album ya Made In Lagos(Wizkidayo)
Mtu mzima Davido ameachia Album yake ya A Better time ikiwa na ngoma 17.
Chris Brown,Nick Minaj,Young Thung na Nas wasanii wakimataifa walioshiriki humo..
Afrika mashariki Sauti Soul tu ndio...
Wakuu kwema? Poleni na majukumu ya hapa na pale.
Kwa wasikilizaji na wapenda muziki wa Afrika,Mmeuona ujio wa Star Boy Wizkid(Made In Lagos)
Album yake ya MADE IN LAGOS ambayo kwa sasa ni gumzo WorldWide inakimbiza kinoma noma ikiwa na midundo 14..
Imeingia hadi kwenye top10 za Spotify album...
Africa imenyamaza,Macho na akili zinautazama mziki wa Yemi Alade na Tiwa Savage kama Makwin wa mziki wa Afrika..
Hivi ni mimi Naefahamu Ubora wa Mwanamuziki Simi mbele ya Yemi na Tiwa???
Kuna midundo ya Simi kama..
Jericho ambayo Patoranking alipewa shavu mule ndani..
Joromi,Ayo,Love Don't...
Wizkid__Ojuelegba🙌🙌🙌
Huu mdundo ulipikwa sana sizani kama Star Boy atakuja kupika mdundo kuuzidi huo.
Ojuelegba the best Wizkid song Ever.
Wangapi Tuliwahi kuusikiliza?
Fireboy DmL,Joe Boy,Rema
Kwa sasa kwenye mziki wa Nigeria kuna Wasanii wameibuka na wanafanya vizuri sana Kama Rema,Joeboy,Fireboy au Mayorkun, N.k
Rema alitamba sana na EP ya Bad Commando ambayo ilipelekea raisi mstaafu Barack Obama kuiitaja ngoma yake ya Iron Man kwenye Playlist yake. Rema...
Wakuu kwanza poleni na majukumu.
Naombeni mnitajie zile ngoma kali za taratibu(slow kabisa) Mfano Ed Sheeran__Thinking out loud
Enrique Iglesias_Hero
Mnaozifahamu shusheni Playlist hapa...zile za Slow sio za kukimbia zile za kubembeleza...
Asanteni,forgive me.
Nikisikiliza hii DNA,All star akiwa na SZA,Humble,Loyality ft Rihanna,Element,Bitch don kill my vibe,Bad Blood akiwa na Taylor Swift....
Yupo wapi Kendrick Lamar? Mwana Hip Hop ambaye kwangu naona kazidiwa na Eminem tu.
Mkali wa Muziki tokea nchini Nigeria 🇳🇬 @davidoofficial , amewashukia Mastaa Wenzake @wizkidayo na @burnaboygram kwa kusema kuwa wanaungana ili kutaka kushinda nae Lakini hawatoweza kufanikiwa kwa hilo .
Akizungumza na kituo kimoja cha TV nchini Nigeria, Davido amesema alijitahidi sana kuepuka...
Wataalamu wa muziki ebu tukutane hapa kidogo.
Hivi kati ya Star Boy Wizkid na Davido nani zaidi kwenye nyanja ya muziki wa Afrika na kuvuka boda huko(U.s.a,U.K n.k)
Wizkidayo au Davido?
Habari zenu wakuu bila shaka mpo fresh kiafya.
Kwa wale wataalamu na wenye ufahamu kuhusu muziki naomba mje tusaidiane hapa kidogo ni hivi.
Wanatumia kigezo gani kusema nyimbo flani imekuwa Gold,silver kwenye nchi flani. mfano
Come closer ya Wizkid ft Drake ni Gold in U.S.A, Canada hiyo hiyo...