Wizkidayo a.k.a StarBoy pamoja na Davido wote wameachia Album zao ambazo kwa sasa zimekuwa gumzo Afrika mpaka Worldwide.
Kama umepata fursa ya kuzisikiliza ipi umeielewa zaidi?
Wizkid MADE IN LAGOS Au Davido A BETTER TIME.
Forgive Me.
Wakuu umeona ujio wa Davido???
Baada ya hasimu wake kuachia Album ya Made In Lagos(Wizkidayo)
Mtu mzima Davido ameachia Album yake ya A Better time ikiwa na ngoma 17.
Chris Brown,Nick Minaj,Young Thung na Nas wasanii wakimataifa walioshiriki humo..
Afrika mashariki Sauti Soul tu ndio...
Wakuu kwema? Poleni na majukumu ya hapa na pale.
Kwa wasikilizaji na wapenda muziki wa Afrika,Mmeuona ujio wa Star Boy Wizkid(Made In Lagos)
Album yake ya MADE IN LAGOS ambayo kwa sasa ni gumzo WorldWide inakimbiza kinoma noma ikiwa na midundo 14..
Imeingia hadi kwenye top10 za Spotify album...